Waziri Kombo asimulia Madereva 75 wa Tanzania walivyofeli kuendesha magari Qatar

Madereva wa Mabus wangefaulu Ukizingatia Bus kama Tahmeed anatumia Scania za kisasa full automatic gear burton tu... Volvo Lorry zile za Bakhera nakumbuka zilikuwa Auto ziendazo DRC
Wangetangaza wangepatikana
 

100% moja ya tatizo kubwa la elimu nyingi hapa kwetu hazipo na wakati husika. Juzi nilipita shule moja ya Computer watoto wanasomeshewa Microsoft word 2007
 
Nafanya biashara ya logistics kwahiyo naelewa kuliko madereva wanavyoelewa, hizo 113 tatizo lake kubwa ni kufeli breki
113 huko Qatar ziko jumba la makumbusho.
 
Mkuu unaichukuliaje hiyo Qatar?
Mstari wangu wa mwisho hapo, "kuna maswali hayajibiki hapa" cause Qatar hawatengenezi magari, huko wanako kwenda ndio wote tuna nunua malori huko then how huko yanako tengenezwa madereva wetu wanafanya vizuri but Qatar wame fail? Huoni bado kama kuna maswali hayajibiki hapo? Is either wana siasa waliingilia mchakato wa kupata madereva kama kawaida yao au lile jambo letu
 
Habari za muda huu.

Habari za chini ya carpet ni kwamba wale madereva walioshindwa majaribio ya kuendesha magari ya kisasa asilimia kubwa walikuwa Wazanzibari.

Ngongo kwasasa Doha.
 
Uko sahihi kabisa.Waliopelekwa sio madereva sahihi
 
Ingekuwa kipindi cha magu hao madereva wangefikia lock up na waziri kutumbuliwa sema tu ni kwamba kama unataka kufeli kwenye mipango yako mshirikishe mzanzibari
NIT hawana shida isipokuwa shida ni hao waliofoji vyeti vya NIT na kwenda zao huko kwa kubebwa na kwenye koti la muungano
 
Habari za muda huu.

Habari za chini ya carpet ni kwamba wale madereva walioshindwa majaribio ya kuendesha magari ya kisasa asilimia kubwa walikuwa Wazanzibari.

Ngongo kwasasa Doha.
Twafungua nchi ati
 
Yakheee twaaacheeni nyie wabaraa hata ngekuwa nyie msingeweza atiii kitufe cha kuwashia gari kipo kwa juu ya paa ya Fuso yakhee tumeshindwa hata kupiga honi yakhee
 
Sasa wewe unafikiri dereva akitoka NACHINGWEA na hawai kuja DSM,,unavikiri anaweza kuensha hapa mjini?
 
Japo limekaa kiubinafsi tukujuwa walipelekwaje ila ni aibu kwenu.

Hivi leo vyuo vikubwa vinaweza kufundisha what is Bunsen burner Wakati kuna majiko ya gesi ya kupikia.

Sijaleta mada ya bunsen burner ila nimetoa maana kuwa bado vyuo kama NIT vipo kwenye zama za mawe kutokukubari kuna mabadiliko ya dunia.
 
Mitala za kufundishia hazina weledi, Zina uchawa wa CCM
 
Baada ya miaka 60 ya #Uhuru 👇👇
 

Attachments

  • Madereva wa Kitanzania 70 Wafeli Kimataifa #tanzania #waziri #wizara #driver #drivers.mp4
    20.4 MB
Serikali tulivu ya mama sa100 italifanyia kazi Hilo🤒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…