Kabisa linazeeja mpaka Roho.Lina zeeka vibaya sana
Muungano hauna future. Wameturahisishia kuuvunja.Huu muungano bora tuuvunje tu,maana askari walioua watu wengi ni wale KMKM toka nchi jirani ya Zanzibar
Arudi akafanye upumbavu wake kwao huko Zanzibar, tumeshawachoka hawa wahamiaji.Wakuu Jana bungeni Waziri wa diplomasia na mambo ya nje Kombo raia wa Zanzibar anayefanya kazi Tanganyika amesema katiba yetu inataka polisi akirushiwa jiwe ampige risasi haraka raia anayerusha na kilochotokea Oct 29 ni cha kikatiba Yale mauaji yalfanyika kwa sababu polisi walirushiwa mawe.
Huyu bwana alionekana akishangilia na kupiga makofi Samia alipokuwa anamwambia ruto washirikiane kucharaza viboko gen Z
yuko sahihi kabisa 100%🐒Wakuu Jana bungeni Waziri wa diplomasia na mambo ya nje Kombo raia wa Zanzibar anayefanya kazi Tanganyika amesema katiba yetu inataka polisi akirushiwa jiwe ampige risasi haraka raia anayerusha na kilochotokea Oct 29 ni cha kikatiba Yale mauaji yalfanyika kwa sababu polisi walirushiwa mawe.
Huyu bwana alionekana akishangilia na kupiga makofi Samia alipokuwa anamwambia ruto washirikiane kucharaza viboko gen Z
Una support mauaji ya raia sio??yuko sahihi kabisa 100%🐒
Wakuu Jana bungeni Waziri wa diplomasia na mambo ya nje Kombo raia wa Zanzibar anayefanya kazi Tanganyika amesema katiba yetu inataka polisi akirushiwa jiwe ampige risasi haraka raia anayerusha na kilochotokea Oct 29 ni cha kikatiba Yale mauaji yalfanyika kwa sababu polisi walirushiwa mawe.
Huyu bwana alionekana akishangilia na kupiga makofi Samia alipokuwa anamwambia ruto washirikiane kucharaza viboko gen Z
Hivi la kufuta Sheria ya forfeiture ni kweli ama ni uzushi?Huyu mama kaharibu nchi!
Walioshiriki hawajulikani labda kwa nyendo zao.Una support mauaji ya raia sio??
Ni sahihi lakini linapotokea tatizo kwenye nchi wa kwanza kupewa lawama ni nani?Walioshiriki hawajulikani labda kwa nyendo zao.
Mwenye dhamana ya nchiNi sahihi lakini linapotokea tatizo kwenye nchi wa kwanza kupewa lawama ni nani?
Mkuu,Si Wazanzibari wote wana Chuki na Watanganyika,tupambane na hoja za hawa wachache bila kujumuisha watu wote.na pia tuwe makini tusiingie kwenye TEGO la CCM la kutugawa ili tusiweze kuwa na sauti moja ya kudai mabadiliko,Kwenye suala la Muungano wanakuja na michezo yao kuhakikisha Watanganyika na Wazanzibari tunachukiana na hivyo hatuwezi kuwa na sauti moja kushinikiza kero za Muungano zifanyiwe kazi,Wanapotengeneza Vikundi vya Waislamu na Wakristo fake lengo lake ni kutaka Waislamu na Wakristo wawe maadui na wasiweze kuwa na sauti mojo lakini nyuma ya Pazia,Uhuru wa kuabdu hakuna,linapokuja suala la Katiba mpya kuna vyama vya Siasa fake kibao,kuhakikisha tu kamwe hakutakuwa na Watu kuungana kudai mabadiliko,hili ni tatizo sugu kwa Tanzania,lazima tuwe makini sana na tuanze kuzitambua hizi mbinu zao ,Tunahitaji collective action kuleta mabadiliko ,CCM wamefakiwa kuhakikisha hilo alifanikiwi kwa kutengeneza vitu vinavyotengesha watu,Wazanzibari wote wana chuki na Watanganyika,nashangaa kwa nini CCM inawakumbatia hawa mafedhuli.
Tambua hawezi kukwepa lawama mpaka pale waliohusika watakapopatikana.Mwenye dhamana ya nchi
Hakuna anayeruhusu au kusifia polisi kupigwa jiwe, ishu ni moja tu huwezi tumia siraha za moto kwa raia aliyeshika fimbo. Au jiwe, yale mavioo yanayonunuliwa kwa kodi za wananchi kazi zake ni nini??Kwa hiyo mnaona kumrushia polisi mawe ni sawa? Ndo nyie mnalilia uhuru wa kutukana mkidai ni kutoa maoni. Msipobadilika mtazidi kuumia kila siku. Epuka kumrushia jiwe polisi ili uwe salama.
Gentleman,Una support mauaji ya raia sio??
Afro Shirazi na ukatili. Soma historia.Sikujua kama mtoto wa thabit Kombo anaweza kuwa katili hivi