Patrice Diounis
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 1,086
- 2,254
Kum a kabisa huyu.
Gentleman,Napotosha kwamba watu hawajafa? Wengine hawakufa majumbani kwao?? Na watoto hawajafa??
Au napotoshaje mkuuu??

Basi imeisha hiyo!Kwa hiyo wamekubali polisi waliua watu. Kilichobaki wanatafuta justification ya mauaji yao
Siku utakayoamua kukubaliana na ukweli ndio siku utakayokubaliana na mimi.Gentleman,
changamoto ulio nayo ni kutokuelewa unachotaka kujua katika jambo hilo ambalo tume ya jaji chande iliweka wazi na kubainisha kila kitu,
sasa sijui ni uvivu wa kuelewa mambo au ni ubishi tu wa kuzaliwa kama muungwana anesota korokoroni? hata hivyo huo ni mzigo wako mwenyewe, uatake kuelewa ukweli ulivyo au ukatae kuelewa na ung'ang'anae na porojo, its none of our bussness but yours![]()
gentleman,Siku utakayoamua kukubaliana na ukweli ndio siku utakayokubaliana na mimi.

WanajaaTaratibu tu watasema wenyewe. Sasa wameanza kukubali kuwa police walirusha risasi. Mpaka watatajana majina tu huko mbeleni.
Zanzibar chuki Yao ipo waziLile jamaa mavi kaabissa
AiseeWakuu Jana bungeni Waziri wa diplomasia na mambo ya nje Kombo raia wa Zanzibar anayefanya kazi Tanganyika amesema katiba yetu inataka polisi akirushiwa jiwe ampige risasi haraka raia anayerusha na kilochotokea Oct 29 ni cha kikatiba Yale mauaji yalfanyika kwa sababu polisi walirushiwa mawe.
Huyu bwana alionekana akishangilia na kupiga makofi Samia alipokuwa anamwambia ruto washirikiane kucharaza viboko gen ZView attachment 3595938
Sana na atazidi kuiharibu zaidi ya hapaHuyu mama kaharibu nchi!
Kumbe ni kulipiza kisasi,Ni mtoto wake, mama yake ni mwarabu, kwenye lile shambulio lilimuua Karume yeye Thabit Kombo alinusurika lakini alitandikwa risasi ya tako.
Amesema risasi?Wakuu Jana bungeni Waziri wa diplomasia na mambo ya nje Kombo raia wa Zanzibar anayefanya kazi Tanganyika amesema katiba yetu inataka polisi akirushiwa jiwe ampige risasi haraka raia anayerusha na kilochotokea Oct 29 ni cha kikatiba Yale mauaji yalfanyika kwa sababu polisi walirushiwa mawe.
Huyu bwana alionekana akishangilia na kupiga makofi Samia alipokuwa anamwambia ruto washirikiane kucharaza viboko gen ZView attachment 3595938
Kuna principal inasema sikia kilichosemwa elewa ambacho hakijasemwa!Amesema risasi?
Mini nina video hapa hajasema risasi amesema ukimpiga jiwe polisi "general order yake inamwambia attack first".
Attack si lazima iwe kwa risasi.
Simtetei, natafuta ukweli tu.
View attachment 3595980
Au Samia alipokuwa anamwambia ruto vijana wacharazwe viboko alikuwa anamaanisha viboko kweli!?Amesema risasi?
Mini nina video hapa hajasema risasi amesema ukimpiga jiwe polisi "general order yake inamwambia attack first".
Attack si lazima iwe kwa risasi. Inawezekana akakupiga virungu.
Simtetei, natafuta ukweli tu.
Nasisitiza, sijasikia neno risasi kwenye audio hii.
View attachment 3595980