Waziri Kombo: Raia akimrushia jiwe Polisi, general order yake inamwambia 'Attack first'

Kwahiyo waliouwawa walikuwa magaidi??
Shukuru Mungu hakuna aliyedhurika katika familia yako. Usingekuja kusupport huu upuuzi
naona unaweweseka gentleman huelewi wala kujua unataka nini, right?

ghasia na maafa yaliyopangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekeleza na AZAKI wamemuathiri kila mTanzania,

Kwahiyo huna haja ya kua na hisia potofu nonsense namna hiyo kuhusu jambo hilo 🐒
 
Gentleman, nadhani hujanielewa lengo langu.
Mimi sisifii wala sipongezi kwa watu kufanya maandamano, jambo langu ninalopishana na ww ni kusema kuuliwa ilikuwa haki yao.
Hapo tu..
 
sina haja hata kidogo kujua au kuelewa lengo lako gentleman,

in fact,
nachojua mimi ni kwamba,
hata kwenye bibilia imeandikwa "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" sasa kama hata kwenye bibilia iko hivyo, unafiki wa kindezi wa nini kwa gaidi lofa aliebebwa ufala wa kifikra na wenzake akaangamizwa kwenye upimbi alokua anafanya?

ni muhimu sana kuacha unafiki,
yaani gaidi anamkata vidole mpiga kura halafu aachwe au achekewe tu right?🐒
 
Najua umekula kiapo cha kumtetea na kumlinda lakini kiapo kisikufanye upoteze utu wako gentleman.
Kuna waliokufa wakiwa majumbani kwao nao ni magaidi??
 
gentleman,
kiapo changu ni kusema ukweli mtupu, kwenye mambo ya msingi tu,

sibabaiki wala sihangaiki kumtetea yeyote popote bali kusimamia ukweli bila chembe ya haya, uoga au unafiki.

acha kuendekeza upotoshaji, , unafiki, porojo na kung'ang'ania stori ghushi za kizushi, itakusaidia sana gentleman 🐒
 
Napotosha kwamba watu hawajafa? Wengine hawakufa majumbani kwao?? Na watoto hawajafa??
Au napotoshaje mkuuu??
 
HJUKFy2WQAA6TpN.jpeg
 
General order haimwambii askari polisi kujilinda dhidi ya raia apige risasi ya kichwa au kifuani au mgongoni mtu anayeshambulia askari kwa mawe.
Bora kiongozi angenyamaza.
Awaachie wizara ya mambo ya ndani wafanye utetezi humu ndani ya nchi bungeni.
 
Wakuu Jana bungeni Waziri wa diplomasia na mambo ya nje Kombo raia wa Zanzibar anayefanya kazi Tanganyika amesema katiba yetu inataka polisi akirushiwa jiwe ampige risasi haraka raia anayerusha na kilochotokea Oct 29 ni cha kikatiba Yale mauaji yalfanyika kwa sababu polisi walirushiwa mawe.

Huyu bwana alionekana akishangilia na kupiga makofi Samia alipokuwa anamwambia ruto washirikiane kucharaza viboko gen Z

Taratibu tu watasema wenyewe. Sasa wameanza kukubali kuwa police walirusha risasi na kuua. Mpaka watatajana majina tu huko mbeleni.
 
Back
Top Bottom