Waziri Kombo: Raia akimrushia jiwe Polisi, general order yake inamwambia 'Attack first'

Waziri Kombo: Raia akimrushia jiwe Polisi, general order yake inamwambia 'Attack first'

Kuna principal inasema sikia kilichosemwa elewa ambacho hakijasemwa!
Una attack mtu mwenye jiwe!?
29 Oct police walikuwa Wana attack kwa njia ipi zaidi ya kudungua risasi za vichwa.
Ujumbe wake usikilize kulingana na context ya 29 Oct hiyo ndio tunaongelea na yeye anongelea.
Sioni kama Kuna kitu kigumu kuelewa hapo kwamba kama vile ni elimu ya rocket science
Kama October 29 Polisi wamwtumia risasi, ongea ya October 29th basi, maana hapa unampa msemo Kombo kwamba unachofanya wewe ni ku spin kumuwekea maneno ambayo yeye hajayasema.

Hakusema risasi. Twende na facts si kuongeza maneno.

Ukiongeza maneno unakuwa huna tofauti na CCM.

Kombo ana mengi ya kumsema bila kutunga neno risasi ambalo hajalisema.
 
Au Samia alipokuwa anamwambia ruto vijana wacharazwe viboko alikuwa anamaanisha viboko kweli!?

Samia kaua watu tayari, kwa nini unataka kuchunguza maneno yake ya kucharaza watu fimbo?

Yani wewe una kesi ya Samia kaua maelfu ya watu, halafu unajadili kama aliposema watu wacharazwe anasema kumaanisha wachapwe fimbo au ni tafsida ya kuwaua?

Kwa nini una litigate mauaji ambayo yanaweza yafanyike au yasifanyike wakati mtu kashafanya mauaji tayari?

Kwa nini unachambua hii kauli wakati Samia ana kesi ya kuruhusu maelfu ya watu wauawe?

Sasa na wewe unataka kumpinga Samia kwa kuwa mjinga kama Samia?

Hatuhitaji kutunga maneno ambayo hayajazemwa ili kuonesha ubaya wa CCM.

Kwa nini unamtungia maneno ya uobgo Kombo, wakati Kombo tayari ana kesi kubwa ya mauaji ambayo hata haihitaji umtengenezee maneno ya uongo?

Ukweli wa wanachosema na kufanya unatosha.

Mahmoud Kombo hakutaja risasi, hukuwa na haja ya kuspin kuwa kasema risasi.

It's not like kuna uhaba wa hoja za kuwasema CCM mpaka uanze kutunga maneno ambayo hayajasemwa.

Ukitunga maneno hivyo, hata utakaposema kweli watu watakutilia shaka.
 
Sasa na wewe unataka kumpinga Samia kwa kuwa kama Samia?

Hatuhitaji kutunga maneno ambayo hayajazemwa ili kuonesha ubaya wa CCM.

Ukweli wa wanachosema na kufanya unatosha.

Mahmoud Kombo hakutaja risasi, hukuwa na haja ya kuspin kuwa kasema risasi.

It's not like kuna uhaba wa hoja za kuwasema CCM mpaka uanze kutunga maneno ambayo hayajasemwa.

Ukitunga maneno hivyo, hata utakaposema kweli watu watakutilia shaka.
Mpaka Kombo kwenda kuongelea bungeni anongelea mauaji ya Oct 29 ambapo vijana waliuawa sio waliopigwa virungu. Na kwa walio uawa mataifa ya nje Kombo na Samia wamesema waliuawa kwa sababu walitaka kupindua serikali bungeni anasema waliuawa kwa sababu ya kurusha mawe.
Oct 29 sijasikia mtu akilalamikia vijana kupigwa virungu wala Kombo sijamsikia alisema kupiga virungu ni akili yako imetengeza hicho labda na wewe utuletee hayo malalamiko ya vijana kupigwa virungu mpaka Kombo akayaelezee bungeni virungu miaka yote waandamanaji wapinzani wanapigwa sio kitu kipya.
 
Mpaka Kombo kwenda kuongelea bungeni anongelea mauaji ya Oct 29 ambapo vijana waliuawa sio waliopigwa virungu. Na kwa walio uawa mataifa ya nje Kombo na Samia wamesema waliuawa kwa sababu walitaka kupindua nchi, bungeni anasema waliuawa kwa sababu ya kurusha mawe.
Oct 29 sijasikia mtu akilalamikia vijana kupigwa virungu wala Kombo sijamsikia alisema kupiga virungu ni akili yako imetengeza hicho.
Ongelea mauaji ya October 29 basi.

Huhitaji kumuwekea Kombo maneno ambayo hajayasema (risasi) ili kuonesha ubaya wake.

Kombo alishaenda Al-Jazeera mwenyewe akasema serikali ilizima mtandao kudhibiti hali.

Kuzima mtandao huku ndiko kuliwezesha mauaji yafanyike bila dunia kuona.

Ma Seneta wa Marekani wameliona na kulisema hili. Sisi pia tuliliona na kulisema hili awali kabisa.

Kombo hana uhaba wa mashtaka ya kumshitaki kukufanya wewe utunge uongo kusema kasema neno risasi ambalo hajalisema.

Huna haja ya ku spin na kuweka neno risasi sehemu ambayo Kombo hajasema risasi, utampa Kombo point aseme wewe muongo umeweka neno ambalo hajalisema.

Na watu ambao watataka kuchunguza kisa hiki wataangakia video wataona kweli, Kombo hajasema neno risasi, umelitunga mwenyewe.

Watakuona wewe muongo, unakaanga mbuyu.
 
Wewe umesema Kombo anaongelea kupiga virungu sio risasi tueleze hayo umetoa wapi!?
Kama kichwa chako hakiwezi kuelewa simple things kama hizi hayo mambo ya Mungu utaelewa kweli!?
 
Wewe umesema Kombo anaongelea kupiga virungu sio risasi tueleze hayo umetoa wapi!?
Wapi nimesema hivyo?

Unajua kusoma wewe?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Unajua fikra dhahania?

Is it right, in the current Tanzanian context, to interpret Kombo saying "attack" as meaning "shoot" or even "shoot to kill"?

Or is that bias, just the facts please, attack could be by baton, or other proportionate force?

That is the question.

Umeelewa?
 
Kombo: Polisi ukimlengea jiwe utaona, general oder yake inamwambia attack first. Tumeshaliponya Taifa acheni chokochoko
 
Relative to Oct 29 attack nini!? Zaidi ya kuua.
Kombo lini umemsikia akielezea watu kupigwa virungu!?
Dunia umeiskia lini ikielezea Tanzania watu wanapigwa virungu zaidi ya kuuawa.
Hayo mambo ya virungu umetoa wapi!?
Au ndio unataka ku-sound smart kwenye kila kitu una mawazo unique!?
 
Wakuu Jana bungeni Waziri wa diplomasia na mambo ya nje Kombo raia wa Zanzibar anayefanya kazi Tanganyika amesema katiba yetu inataka polisi akirushiwa jiwe ampige risasi haraka raia anayerusha na kilochotokea Oct 29 ni cha kikatiba Yale mauaji yalfanyika kwa sababu polisi walirushiwa mawe.

Huyu bwana alionekana akishangilia na kupiga makofi Samia alipokuwa anamwambia ruto washirikiane kucharaza viboko gen ZView attachment 3595938
Je, wajua IQ inapungua by 5 units kila ukiangalia clip ya bunge tukufu la jamhuri.
Fuatilia habari za bunge at your own risk.
 
Relative to Oct 29 attack nini!? Zaidi ya kuua.
Kombo lini umemsikia akielezea watu kupigwa virungu!?
Dunia umeiskia lini ikielezea Tanzania watu wanapigwa virungu zaidi ya kuuawa.
Hayo mambo ya virungu umetoa wapi!?
Au ndio unataka ku-sound smart kwenye kila kitu una mawazo unique!?
Sasa kama una tukio la mauaji tayari Kombo kashaua, kwa nini hushikilii mauaji ambayo yashatokea, hayahitaji tafsiri ya neno "attack", unaenda kushikilia hoja inayotegemea subjective interpretation kuhusu neno "attack" kuhusiana na mauaji ambayo yanaweza kufanyika au yasifanyike?

Kombo kashaua tayari by virtue of collective responsibility of the senior Tanzanian government officials . Kombo kazima mtandao mauaji yasionekane. Kombo kaenda Al-Jazeera kasema kazima mtandao tayari. Haya yote hayana ubishi.

Kwa nini unashindwa kusimamia kesi ya mauaji ambayo yashatokea, unataka kumuwekea maneno yenye utata, maneno yanayoweza kumpa point Kombo kwamba hajayasema na wewe ni mchonganishi tu, kwa nini unazusha maneno kwa Kombo ili kuonesha kuwa Kombo ni muuaji wakati Kombo ni muuaji bila hata ya kumzushia maneno?
 
Wewe ni nani unaamua maneno flani yana utata na maneno flani hayana utata.
Wewe hayo ya virungu umetoa wapi kama sio kuzusha!? Mimi naongelea kilochotokea mtaani attack ilimaanisha risasi hiyo attack ya virungu labda huko US na Kombo anaiambia dunia watu waliuawa kwa sababu ya kurusha mawe sio walipigwa virungu.
Hizi akili unawezaje kuijadili mambo ya creation vitu vidogo kama hivi huelewi.
The only philosophy unayoijua wewe ni materialistic
 
View attachment 3596014

Kombo: Polisi ukimlengea jiwe utaona, general oder yake inamwambia attack first. Tumeshaliponya Taifa acheni chokochoko
Screenshot_20260520-120305~2.png
 
Wewe ni nani unaamua maneno flani yana utata na maneno flani hayana utata.
Wewe hayo ya virungu umetoa wapi kama sio kuzusha!? Mimi naongelea kilochotokea mtaani attack ilimaanisha risasi hiyo attack ya virungu labda huko US na Kombo anaiambia dunia watu waliuawa kwa sababu ya kurusha mawe sio walipigwa virungu.
Hizi akili unawezaje kuijadili mambo ya creation vitu vidogo kama hivi huelewi.
The only philosophy unayoijua wewe ni materialistic
Twende na facts tupu, maana tafsiri kila mtu anaweza kuja na yake.

Kombo hajasema risasi.

Ukiweka neno risasi sehemu ambayo yeye kasema "attack" umeweka tafsiri yako ambayo inaleta utata.

Utata unatokana na ukqeli kwamba neno "attack" si lazima limaanisha risasi.

Uzi huu unaongelea alichosema Kombo si kilichotokea mtaani.

K9mbo ana mabaya mengi ya kumshitaki.

Lakini, so far, umemuwekea neno ambalo hajalisema.

Kombo hajasema neno risasi.

Video nimeweka hapo juu.

Labda kama una video nyingine aliposema risasi iweke tuione.
 
Kuna Maimani hayafai kwa makuzi ya ufahamu wenye afya

Majitu yanazeeka yakiwa ya hovyo hovyo

Kuna vidude vya imani fulani vinatakiwa kuishia utendaji wa kijiji basi
 
Back
Top Bottom