Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 2,411
- 3,941
Kuna Maimani hayafai kwa makuzi ya ufahamu wenye afya
Majitu yanazeeka yakiwa ya hovyo hovyo
Kuna vidude vya imani fulani vinatakiwa kuishia utendaji wa kijiji basi
Wewe ni Islamophobe. Na chuki hii ina madhara kwako wewe mwenyewe. Wengine tunajua kuwa hizi chuki dhidi ya watawala Waislam ni kutokana na Islamophobia ambayo baadhi yenu mnayo. Na baadhi yenu hamuwezi hata kujificha. Kelele zote hizi moja ya sababu ni Islamophobia. Hii Nchi mnahisi ni nyinyi tu ndio mnatakiwa kutawala. Kila anapokuja Rais Muislam mtamsumbua na kumuwekea mazingira magumu kufanya Nchi isitawalike aonekane hafai.
Ni watu mmejaa husuda na chuki. Tunamuomba Allah Atukinge na Shari yenu.
