Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Gentleman,Here we are: By Mpare Mpoli
Nimejitahidi kuangalia katika katiba yetu ya 1977, nimeshindwa kuona ibara ambayo inasema kuua ni kawaida ! @Advocate_Jebra @TonnyAdamms @AdvMahinyila @Mwabuk2Boniface naomba mnisaidie kwenye hilo ili nielimike
hebu weka kavideo tuskie alivyotamka hayo, kabla ya upotoshaji wako wa artwork 🐒