mama yake mwarabu nani alikudanganya ?? Watu wa bara mumetiwa chuki mbaya sana na waarabu na huyu laanatullahi Nyerere. Mama yake ni muhindi safi wa Bombay. Wala Thabit Kombo hakupigwa risasi ya tako , alipigwa ya mguuNi mtoto wake, mama yake ni mwarabu, kwenye lile shambulio lilimuua Karume yeye Thabit Kombo alinusurika lakini alitandikwa risasi ya tako.