Waziri Kombo: Raia akimrushia jiwe Polisi, general order yake inamwambia 'Attack first'

Waziri Kombo: Raia akimrushia jiwe Polisi, general order yake inamwambia 'Attack first'

Hakuna anayeruhusu au kusifia polisi kupigwa jiwe, ishu ni moja tu huwezi tumia siraha za moto kwa raia aliyeshika fimbo. Au jiwe, yale mavioo yanayonunuliwa kwa kodi za wananchi kazi zake ni nini??
Mkuu acha kuhalalisha uhalifu kwa hoja dhaifu. Hakuna sababu ya kumpiga mawe polisi. Jiepushe na matatizo yasiyo ya lazima
 
Wakuu Jana bungeni Waziri wa diplomasia na mambo ya nje Kombo raia wa Zanzibar anayefanya kazi Tanganyika amesema katiba yetu inataka polisi akirushiwa jiwe ampige risasi haraka raia anayerusha na kilochotokea Oct 29 ni cha kikatiba Yale mauaji yalfanyika kwa sababu polisi walirushiwa mawe.

Huyu bwana alionekana akishangilia na kupiga makofi Samia alipokuwa anamwambia ruto washirikiane kucharaza viboko gen ZView attachment 3595938
Kichaa kabisa
 
Wakuu Jana bungeni Waziri wa diplomasia na mambo ya nje Kombo raia wa Zanzibar anayefanya kazi Tanganyika amesema katiba yetu inataka polisi akirushiwa jiwe ampige risasi haraka raia anayerusha na kilochotokea Oct 29 ni cha kikatiba Yale mauaji yalfanyika kwa sababu polisi walirushiwa mawe.

Huyu bwana alionekana akishangilia na kupiga makofi Samia alipokuwa anamwambia ruto washirikiane kucharaza viboko gen ZView attachment 3595938
Kweli wahenga walikuwa sahihi,Kifo cha nyani matawi hudondoka!
 
Twende na facts tupu, maana tafsiri kila mtu anaweza kuja na yake.

Kombo hajasema risasi.

Ukiweka neno risasi sehemu ambayo yeye kasema "attack" umeweka tafsiri yako ambayo inaleta utata.

Utata unatokana na ukqeli kwamba neno "attack" si lazima limaanisha risasi.

Uzi huu unaongelea alichosema Kombo si kilichotokea mtaani.

K9mbo ana mabaya mengi ya kumshitaki.

Lakini, so far, umemuwekea neno ambalo hajalisema.

Kombo hajasema neno risasi.

Video nimeweka hapo juu.

Labda kama una video nyingine aliposema risasi iweke tuione.
Mkuu watu wa nchi hii wana uvivu mkubwa sana kiasi cha kuwa dumping place ya taarifa yoyote hata isiyo ya kweli.
 
Mkuu,Si Wazanzibari wote wana Chuki na Watanganyika,tupambane na hoja za hawa wachache bila kujumuisha watu wote.na pia tuwe makini tusiingie kwenye TEGO la CCM la kutugawa ili tusiweze kuwa na sauti moja ya kudai mabadiliko,Kwenye suala la Muungano wanakuja na michezo yao kuhakikisha Watanganyika na Wazanzibari tunachukiana na hivyo hatuwezi kuwa na sauti moja kushinikiza kero za Muungano zifanyiwe kazi,Wanapotengeneza Vikundi vya Waislamu na Wakristo fake lengo lake ni kutaka Waislamu na Wakristo wawe maadui na wasiweze kuwa na sauti mojo lakini nyuma ya Pazia,Uhuru wa kuabdu hakuna,linapokuja suala la Katiba mpya kuna vyama vya Siasa fake kibao,kuhakikisha tu kamwe hakutakuwa na Watu kuungana kudai mabadiliko,hili ni tatizo sugu kwa Tanzania,lazima tuwe makini sana na tuanze kuzitambua hizi mbinu zao ,Tunahitaji collective action kuleta mabadiliko ,CCM wamefakiwa kuhakikisha hilo alifanikiwi kwa kutengeneza vitu vinavyotengesha watu,
Wazanzibar hawakupendi. Punguza shobo
 
Kwa hiyo mnaona kumrushia polisi mawe ni sawa? Ndo nyie mnalilia uhuru wa kutukana mkidai ni kutoa maoni. Msipobadilika mtazidi kuumia kila siku. Epuka kumrushia jiwe polisi ili uwe salama.
polisi ni mtumishi wa umma babu, kinyume na hapo atatupiwa mawe tu pamoja na bunduki yake yenye risasi
 
gentleman,
mimi ukweli ndio maisha yangu,
na sio porojo, uzushi na unafiki nonsense kama mnaoendekeza wafuata mkumbo :pulpTRAVOLTA:
Mkuu kuna tofauti ya ukweli na msimamo, wewe una msimamo unajulikana msimamo wako na umekuwa ukiusimamia vizuri tu huo msimamo wako.
 
Back
Top Bottom