PostGE2025 Waziri Kombo: Viongozi wa Afrika wamempongeza Rais Samia kwa ushindi mnono wa Oktoba 29, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waziri wa Mambo ya Nje, Mohamed Thabit Kombo, amesema "Viongozi wa Afrika wamempa moyo Rais Samia kwa yaliyotokea oktoba 29, na wamempongeza kwa ushindi Mnono alioupata kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 29"

Aidha, amesema Vurugu za Oktoba 29 wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania zimejadiliwa kwenye Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika uliofanyika Addis Ababa.

Waziri wa Mambo ya Nje, Mohamed Thabit Kombo, amesema Rais Samia aliwapa viongozi wenzake taarifa juu ya hatua zinazochukuliwa na Tanzania, ikiwemo kuundwa kwa tume huru ya kuchunguza vurugu hizo pamoja na kuanzishwa kwa wizara mpya za vijana na mahusiano ya jamii.

Amesisitiza pia kuwa vurugu zilizotokea Tanzania ni ndogo ukilinganisha na mataifa mengine ya Afrika.

Vurugu za Oktoba 29 wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania zimejadiliwa kwenye Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika uliofanyika Addis Ababa.

Ku*'bbs*"!(+&#$@*'ye, watu 10,000 kupigwa risasi deliberately ni vurugu ndogo! Ki*@$(+'vnvbc¢¢€¥{©π~|×§∆}{][©%mye zake mavi!
 
Vurugu za Oktoba 29 wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania zimejadiliwa kwenye Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika uliofanyika Addis Ababa.

Waziri wa Mambo ya Nje, Mohamed Thabit Kombo, amesema Rais Samia aliwapa viongozi wenzake taarifa juu ya hatua zinazochukuliwa na Tanzania, ikiwemo kuundwa kwa tume huru ya kuchunguza vurugu hizo pamoja na kuanzishwa kwa wizara mpya za vijana na mahusiano ya jamii.

Amesisitiza pia kuwa vurugu zilizotokea Tanzania ni ndogo ukilinganisha na mataifa mengine ya Afrika.
Kwahyo wameamua kuhalalisha maovu yao

Daaah
 
Thabiti acha mambo hayo, hebu tutajie nchi unazojilinganisha nazo kwamba zimefanya vurugu(more interestingly massacre done by the country's security forces) ili tupime namna hizo nchi unazozisema jinsi vyombo vyao vya ulinzi na usalama vilivyoua raia wao na jinsi wewe mwenyewe Thabiti, Samia na timu yenu nzima ya vyombo vyenu mlivyoua Watanganyika.
Zitaje hizo nchi ili tulinganishe wenyewe, tujue level ya mauaji yetu na mnazotulinganisha nazo. Obviously hapo we Thabiti unamaanisha hao Watanganyika waliouawa are just irrelevant citizens and as far as you're concerned they don't mean anything.
 
Kuua watu zaidi ya kumi alfu bdo ni ndogo?anataka kuua wangapi ili iwe kubwa? na kwanini alinganishe vifo? sisi hatuna civil war bali tuna vurugu za kisiasa inayosababishwa na ccm
 
Makombo akae afahamu hatujasahau na hakuna propaganda itasafisha mauaji ya October 29.

Huyu mama wenyeji wanasema alienda kutafuta mahitaji dukani huko Geita alipigwa risasi akiwa hapo dukani.

Hana silaha hana chochote cha kuhatarisha hadi ashambuliwe hivyo.

Tumeshuhudia hata maiti za watanzania zilizofia katika ulingo wa vita kule Urusi na Israel ziliweza kurejeshwa na kuzikwa kwa heshima ila wao waliua watanganyika na kuwafukia katika makaburi ya halaiki wakifikiri itasahaulika au itapita kirahisi tu.

Makombo na wajinga wenzio siku yenu itafika tu hili wala halitoweza kupita kirahisi.
20260127_081047.jpg
 
Vurugu za Oktoba 29 wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania zimejadiliwa kwenye Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika uliofanyika Addis Ababa.

Waziri wa Mambo ya Nje, Mohamed Thabit Kombo, amesema Rais Samia aliwapa viongozi wenzake taarifa juu ya hatua zinazochukuliwa na Tanzania, ikiwemo kuundwa kwa tume huru ya kuchunguza vurugu hizo pamoja na kuanzishwa kwa wizara mpya za vijana na mahusiano ya jamii.

Amesisitiza pia kuwa vurugu zilizotokea Tanzania ni ndogo ukilinganisha na mataifa mengine ya Afrika.
Kumbe ICC inaogopesha hivi!!!??????
 
Ni shoga na mpumbavu pekee ndio anaweza kutoa kauli ya kishoga kama hiyo sio kwa mwanaume rijali na timamu kiakili
 
Jamaa hata kuongea ni shida, kiingereza au kifaransa angeweza kuelewa kweli hadi kuja na hii stori.
 
Ogopa teknolojia, katika Marais waliotambulishwa hatujaona dikteta bora wa Afrika wa mwaka 2025, halafu huyu Kombo naye ni mzanzibari?
 
Back
Top Bottom