Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 4,476
- 9,583
Kombolela, taratibu tunazijua. Twambie ni rais gani wa tanzania ambaye pongezi zake zimewahi kutolewa kwa njia ya mdomo au kutolewa baadaya ya miezi mitano? Pia ujue watu wanaweza toa pongezi za mdomo huku wanakung'ong'a. Unajua propaganda ni upuuzi sana. Hakuna sababu ya kutumia nguvu kutwambia kwamba mtu fulani kapongezwa kwa ushindi wakati mara zote pongezi hizo utumwa mara tu baada ya kutangazwa mshindi.