Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Akizungumza na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Walimu Zanzibar katika Ukumbi wa Taasisi ya Utalii Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja, amesema kuwa na Mwalimu aliefaulu vizuri masomo yake lakini hana maadili ni bomu linaloenda kuiangamiza Jamii.
Aidha, amewahimiza Walimu kujadili suala la maadili katika mkutano huo ili kuendelea kuwa na walinzi na Wakufunzi wema kwa Wanafunzi.