Waziri Lugola: Aliyekuwa Mkurugenzi NIDA, Dickson Maimu na Jack Gotham wasipoitikia wito ‘watapata tabu sana’

Swali hapa ..... ni kwa nini atutangazie kwenye vyombo vya habari kuwa fulani na fulani ni lazima wafike ofisini kwake siku fulani. La sivyo watapata tabu sana.

Wewe huoni kuwa anawadhalilisha hao watu ....!!
Ah! Mkuu sazingine vitisho vinajenga nidhamu buana!
Ungekuwepo miaka ya 80' enzi za Lyatonga Mrema akiwa na wadhifa huohuo alionao Lugola leo, unakumbuka alivyonasa madhahabu pale air port, unakumbuka alivyokuwa akiwaita na kuwapangia matajiri na wahujumu uchumi kwenda kuripoti kwake kwa muda alioutaka yeye na walitii?
Nyani ukiwachekea utaambulia mabua.
Hii nchi ilikuwa imefikia pabaya
Acha kuwatisha tu, awasweke ndani na kuwafungulia mashitaka wakajibu tuhuma zao mahakamani huko wasipotekeleza maagizo yake.
 
hivi hawa kwa nini wanaogopa kumjibu Lugola ki-Trump-Trump??

"WE WE WE!! USITHUBUTU KURUDIA KUTUTISHA. UKIRUDIA TU, YATAKAYOKUSIBU NI WACHACHE SANA DUNIA HII YAMEWAHI KUWAPATA. SISI SI WATU WA MCHEZO MCHEZO BANA - HATUOGOPI VITISHO VYAKO WALA UBABE WAKO WALA KIFO. JIHADHARI SANA KIJANA!"
 
Acha hai wakina Gotham waitwe tu...mbona kipindi cha nyuma humu Jf kulikuwa na nyuzi nyingi zikiwashuku kwa kufanya madudu

Ova
 
Inaelekea huamini katika utawala wa sheria.
 

Sasa kama kila kundi la Chama huweka mikakati ya namna hii ili kujinyakulia madaraka nchi itaendeleaje?
 
Mdogo mdogo tu ipo siku na aliyeuza nyumba za umma atatakiwa kuripoti makao makuu ya sungusungu.
"atapata tabu sana"!
Acha ushabiki wa kijinga Wewe..serikali IPO madarakani kusimamia Mali na fedha kwa niaba ya wananchi Mimi sina mlengo wa kichama ila kwa hili ninampongeza kangi
 
K
Kwa waziri anapoagiza hasa wa ulinzi lazima wayekeleze mfano..mbwa tiyari kashapatikana,arusha RPC ametekeleza maagizo yote ya waziri mpaka Jana, Etc. Tuache ushabiki
 
Kwakukusaidia ni kwamba mwenye dhamana ya usemaji wa mwisho kuhusu mambo yote yahusiyo wizara ni waziri husika hawa wengne kama watu wa PR. Ni watu ambao hutumika pale mwenye ofusu anapowapangia utaratibu na kuainisha mipaka yao.. inawezekana mwenye ofisi yake ameamua kuwa msemaji wa wizara yake which is fine.. And kumbuka maagizo yote ya kangi lugola ameyatatoa akiwa sight au ziarani sio akiwa na press conference..ni maagizo ya ghafla ambayi hayahusiani ni PR...QUOTE="Mkara-tu, post: 27720201, member: 482919"]Huyu mtu labda anatekeleza aliyotumwa na boss wake (which is fine), lakini hili la ku-summon suspects kila siku kupitia media linakera. Kama kuna ushahidi wa kutosha wa kosa la jinai mbona mahakama ya ufisadi ipo kwa ajili hiyo! By the way, hivi wizara ya mambo ya ndani haina public relations officer? Too much of media stunts, seriously.[/QUOTE]
Kwa
 
Sawa tunasubili utekelezaji waziri
 
Anaingilia kazi za wengine kwa hawa wapelekwe kwenye vyombo vinavyo husika watoe maelezo na sio kumwona yeye huyu Alikuwa alikuwa na kesi ya rushwa
 
Waziri akiwa kizimbani
 

Attachments

  • IMG-20180726-WA0009.jpg
    74.6 KB · Views: 60
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…