Kajole
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 1,668
- 1,660
Bado yupo salama waje wamchukue tu mbwa wao!.Ukimtafuta Mbwa ukaambiwa amefika Iringa we geuka tu usijisumbue.
Labda kama unahitaji ngozi yake.
Bado yupo salama waje wamchukue tu mbwa wao!.Ukimtafuta Mbwa ukaambiwa amefika Iringa we geuka tu usijisumbue.
Labda kama unahitaji ngozi yake.
Mkuu mimi kitambulisho cha uraia mbona nimechukua baada ya miezi 3? Tena nilichelewa mwenyewe tu kwenda ila waliniambia kilikua tayari baada ya wiki 2Leseni ya udereva mwezi wa tano huu bado haijatoka,
Kitambulisho cha uraia mwaka mmoja bado hakijatoka,
Kadi ya mpiga kura hadi bajeti ya kampeni ipite 2020,
Passport hadi uwe na mkono mrefu,
Kwa hili agizo nakuunga mkono Lugola.
Kaza kamba mzee baba....
Labda ule wa paspoti [emoji23]. Ingawa nasikia hata huko kuna figisuHivi kuna angalau mkataba mmoja hapa nchini kwetu ulio safi na wenye manufaa kwa Taifa kweli? I doubt it!
Maigizo lakini ndo mambo yanaenda hivyoMaagizo mengi, ngoja tusubirie mrejesho.
Tafadhari tusikimbiane wala kutishana pale mrejesho utakapo hitajika.
Mkuu tunahangaika na vi bilioni tuuu.matirioni ya ninj?Waliocheza na trilioni 1.5 ya watanzania ni watu kutoka nchi gani?
Unatafuta punje ya sukari kwenye mchanga??Hivi kuna angalau mkataba mmoja hapa nchini kwetu ulio safi na wenye manufaa kwa Taifa kweli? I doubt it!
Anaitisha mtambo upelekwe ofisini kwake Dodoma kivipi? Anaweza kuwa na point ila utekelezaji wake ndo tatizo. Suprisingly Jiwe anafarijika sana anaposikia na kuona hizi drama...