Hahahaaaa....Mbwa HOBBY kapatikana?
Au alimaanisha mwezi wa 12 sisi tukasikia saa 12 jioni?
Yale matamko mengine yamefanyiwa kazi mpaka sasa? Hasa lile la mbwa...Hapa kazi tu
Nchi ya chattle.Waliocheza na trilioni 1.5 ya watanzania ni watu kutoka nchi gani?
Ndio utajua hawa ni waigizaji, wala hutaisikia teeeena.Kwani Yule mbwa wa Bandarini hajapatikana .....!!!?
Kwani Zitto alisemaje?Kwanini haya maswali huwa hamumuilizi anayewakaririsha?Waliocheza na trilioni 1.5 ya watanzania ni watu kutoka nchi gani?
TrueHe he he he
Kichaa kapewa rungu...
Watapata tabu sana.
Kuna vijana wanasema walimuona IringaKwani Yule mbwa wa Bandarini hajapatikana .....!!!?
Hii tabia imeanza karibuni na naona mahakama inachukuliwa kazi yake!Wenye kuelewa wanisaidie hapa. Hao kina Mwanri si wana kesi ya matumizi mabaya ya ofisi mahakamani? Kama kesi ipo mahakamani ikiendeshwa na kuchunguzwa na takukuru, waziri anaruhusiwa kuiingilia kwa kuwaita watuhumiwa ofisini kwake? Kuwaita huko hakutaadhiri mwenendo wa mashtaka? Na je, huu sio muingiliano wa mihimili mingine? Wanasheria karibuni hapa msaada wenu ni muhimu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna vijana wanasema walimuona Iringa
Ukimtafuta Mbwa ukaambiwa amefika Iringa we geuka tu usijisumbue.Kuna vijana wanasema walimuona Iringa