Pre GE2025 Waziri Lukuvi aitaka Ofisi ya Waziri Mkuu kuanzisha Daftari la "Faida Za Samia" kila eneo nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu William Lukuvi ameitaka Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu kuandaa Daftari la Faida litakaloonesha kazi na shughuli za Serikali zilizofanyika katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kabla ya Oktoba 2025, kipindi cha uchaguzi mkuu.

lukuviii.png

Akizungumza na watendaji wa ofisi hiyo leo Machi 14, 2025 Jijini Dodoma, Waziri Lukuvi amewataka kutumia ubunifu na kila njia kuhakikisha taarifa za utekelezaji wa miradi na mafanikio ya Serikali katika kila eneo la nchi zinasema na kusikika kwa wananchi wote kwa kuwa ni haki ya wananchi kufahamu Serikali yao imefanya nini.

“Sasa wananchi wale tunatarajia watamuunga mkono Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi ambazo amezifanya katika kipindi chake cha uongozi…hiki kipimdi cha kwanza lakini wananchi watazijuaje?. Nafahamu wanajua kwa kuwa kazi hizi zimefanyika kila mahali vijijini wiliayani na mikoani lakini sisi ofisi ya waziri Mkuu tunalojukumu la kuziunganisha hizo kazi na kuwaambia wananchi kwa uhakika”. amesema Waziri Lukuvi
 
Kumbe huyu mlambwa bado yuko dunia hii !!
 
Lukuvi huwa ana muonekano wa nje kama mtu makini sana, alipowekwa benchi kwenye wakati awamu hii inaanza nilidhani wanamuonea kumbe ni lidebe litupu!

Vyakula gani tunakula watanzania ambavyo vinatufamya kuwa misukule namna hii?
 
Wakuu,

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu William Lukuvi ameitaka Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu kuandaa Daftari la Faida litakaloonesha kazi na shughuli za Serikali zilizofanyika katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kabla ya Oktoba 2025, kipindi cha uchaguzi mkuu.

Akizungumza na watendaji wa ofisi hiyo leo Machi 14, 2025 Jijini Dodoma, Waziri Lukuvi amewataka kutumia ubunifu na kila njia kuhakikisha taarifa za utekelezaji wa miradi na mafanikio ya Serikali katika kila eneo la nchi zinasema na kusikika kwa wananchi wote kwa kuwa ni haki ya wananchi kufahamu Serikali yao imefanya nini.

“Sasa wananchi wale tunatarajia watamuunga mkono Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi ambazo amezifanya katika kipindi chake cha uongozi…hiki kipimdi cha kwanza lakini wananchi watazijuaje?. Nafahamu wanajua kwa kuwa kazi hizi zimefanyika kila mahali vijijini wiliayani na mikoani lakini sisi ofisi ya waziri Mkuu tunalojukumu la kuziunganisha hizo kazi na kuwaambia wananchi kwa uhakika”. amesema Waziri Lukuvi
Ccm wanahangaika sana kumnadi huyu Mkizimkazi asiye kubalika popote
 
Kwa hiyo na pesa za kuandaa hilo daftari zinatafutwa kabisa na kupatikana kwa ajili huo uchawa! Viongozi wetu wanawaza kutawala tu kuliko hali za wananchi wao.

Vv
 
Kumekucha na campaign. Kama kafanya vizuri mahangaiko ya kumnadi yanini? Lukuvi angepumzika tu. Maana Jimbo lake la isimani ni masikini sana. Hakuna alichofanya.
 
Wakuu,

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu William Lukuvi ameitaka Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu kuandaa Daftari la Faida litakaloonesha kazi na shughuli za Serikali zilizofanyika katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kabla ya Oktoba 2025, kipindi cha uchaguzi mkuu.

Akizungumza na watendaji wa ofisi hiyo leo Machi 14, 2025 Jijini Dodoma, Waziri Lukuvi amewataka kutumia ubunifu na kila njia kuhakikisha taarifa za utekelezaji wa miradi na mafanikio ya Serikali katika kila eneo la nchi zinasema na kusikika kwa wananchi wote kwa kuwa ni haki ya wananchi kufahamu Serikali yao imefanya nini.

“Sasa wananchi wale tunatarajia watamuunga mkono Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi ambazo amezifanya katika kipindi chake cha uongozi…hiki kipimdi cha kwanza lakini wananchi watazijuaje?. Nafahamu wanajua kwa kuwa kazi hizi zimefanyika kila mahali vijijini wiliayani na mikoani lakini sisi ofisi ya waziri Mkuu tunalojukumu la kuziunganisha hizo kazi na kuwaambia wananchi kwa uhakika”. amesema Waziri Lukuvi
Kila mtu yupo na kauli mbiu yake hadi hawakumbuki kama kuna kauli mbiu rasmi iliyopitishwa na vikao vya chama Dodoma😄
 
Wakuu,

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu William Lukuvi ameitaka Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu kuandaa Daftari la Faida litakaloonesha kazi na shughuli za Serikali zilizofanyika katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kabla ya Oktoba 2025, kipindi cha uchaguzi mkuu.

Akizungumza na watendaji wa ofisi hiyo leo Machi 14, 2025 Jijini Dodoma, Waziri Lukuvi amewataka kutumia ubunifu na kila njia kuhakikisha taarifa za utekelezaji wa miradi na mafanikio ya Serikali katika kila eneo la nchi zinasema na kusikika kwa wananchi wote kwa kuwa ni haki ya wananchi kufahamu Serikali yao imefanya nini.

“Sasa wananchi wale tunatarajia watamuunga mkono Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi ambazo amezifanya katika kipindi chake cha uongozi…hiki kipimdi cha kwanza lakini wananchi watazijuaje?. Nafahamu wanajua kwa kuwa kazi hizi zimefanyika kila mahali vijijini wiliayani na mikoani lakini sisi ofisi ya waziri Mkuu tunalojukumu la kuziunganisha hizo kazi na kuwaambia wananchi kwa uhakika”. amesema Waziri Lukuvi
Kumbe na huyu ni takataka!
 
Lukuvi na Majaliwa ni wakati wao wa kuachia nafasi vijana

Waoga sana maisha mitaani kwa nini wakati wana mafao kibao miaka nenda rudi

Mama Samia nanshukuru kwenye succession plan kumuweka Nchimbi

Hivi vikongwe ni muda kuwa phased out

Mama Samia spearhead zoezi la ku phase out hivi vizee visivyoamini kuwa vijana chini ya age yao wanaweza

Tusaidie tafadhali ku vi phase out

Nchi haiwezi kuwa kila wakati inategenea vikongwe tu ambavyo havina mpango wa succession plan kwenye majimbo yao au kuwa tayari kuwa phased out

Lukuvi na Majaliwa phase out Mheshimiwa mwenyekiti hao kwa hiari yao hawana mpango wa kutoka

Make a very bold decision to phase them out
 
Back
Top Bottom