Waziri Lukuvi alitembelea nyota ya Dkt. Magufuli, hana uwezo nje ya dola na mbele ya msingi wa haki

Waziri Lukuvi alitembelea nyota ya Dkt. Magufuli, hana uwezo nje ya dola na mbele ya msingi wa haki

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Mhe. Lukuvi awamu iliyopita alikuwa anazunguka na kutoa amri zakufuta hati kila siku huku akiwatetemesha makampuni ya upimaji wa ardhi yakimbizane na deadlines. Alionekana Kama anajua kazi yake na ana uwezo wakusimamia kazi ikaenda.

Leo hii ameondoka aliyekuwa bosi wake na yeye amepotea Kwenye ramani ya uwaziri. Upimaji umesimama, migogoro imeanzq upya, watendaji wameanza kula Rushwa, uuzaji holela wa viwanja umeanza nk na Wala hakuna anayesema.

Wakuu wa Mikoa wameanza kukimbizana na matapeli waliowaibia fedha wananchi kwa ajili ya upimaji huku Waziri aliyeyapa hayo makampuni tenda akiwa kimya.

Hii siyo hujuma Bali Ni uwezo binafsi haupo. Mzee Lukuvi alipewa sifa zisizo zake, Mzee Lukuvu alishiriki kukwapua ardhi ambayo Sasa analazimika kuirejesha kwa wenye nayo Jambo linalomfanya aone aibu.

Mzee kwa Hali ilivyo Sasa less than a year omba ustaafu uwaziri usichafuke zaidi.
 
Ni bora apumzike kwa kweli na alijitahidi ila soda imeisha gesi.
 
Mhe. Lukuvi awamu iliyopita alikuwa anazunguka na kutoa amri zakufuta hati kila siku huku akiwatetemesha makampuni ya upimaji wa ardhi yakimbizane na deadlines. Alionekana Kama anajua kazi yake na ana uwezo wakusimamia kazi ikaenda.

Leo hii ameondoka aliyekuwa bosi wake na yeye amepotea Kwenye ramani ya uwaziri. Upimaji umesimama, migogoro imeanzq upya, watendaji wameanza kula Rushwa, uuzaji holela wa viwanja umeanza nk na Wala hakuna anayesema. Wakuu wa Mikoa wameanza kukimbizana na matapeli waliowaibia fedha wananchi kwa ajili ya upimaji huku Waziri aliyeyapa hayo makampuni tenda akiwa kimya. Hii siyo hujuma Bali Ni uwezo binafsi haupo. Mzee Lukuvi alipewa sifa zisizo zake, Mzee Lukuvu alishiriki kukwapua ardhi ambayo Sasa analazimika kuirejesha kwa wenye nayo Jambo linalomfanya aone aibu. Mzee kwa Hali ilivyo Sasa less than a year omba ustaafu uwaziri usichafuke zaidi.
Yuko sawa , Waziri ufanyaji wake kazi hutegemea na boss wake ,kama boss ni mrendamrenda unatarajia nini ?,
 
Back
Top Bottom