50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 4,088
- 4,059
Idea ya maana mkuu. ItekelezeDawa ni kufungua Website wenye Nyumba wawe wanatangaza na sisi tunaingia na kukodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idea ya maana mkuu. ItekelezeDawa ni kufungua Website wenye Nyumba wawe wanatangaza na sisi tunaingia na kukodi
Porojo tu hakuna atakae fatiliaHatimae wameuona huu ujambazi!! Afadhali.
Hilo ndilo tatizo sasa!Porojo tu hakuna atakae fatilia
Madalali ndo wanaongeza na kupanga bei za nyumba. Bei ikiwa juu wa napata pesa Yao ya mwezi kubwa ziaidWanaopanga hawana shida kulipa maana si kazi rahisi kupata nyumba.
Sasa kama ni hivo dalali si anaweza kuongea na mwenye nyumba bei iwe juu ,kitu kile kile
Lukuvi hawa wapo kwenye mfumo wa biashara na sio mfumo wa siasa kuwadhibiti ni ngumu.
Kitengo Cha watumishi wa CCM. Watakula wapi? Nilifukiri zile ajira 40, 000 na Hawa wamo kumbe ni majambazi? Stakafulluh!!!!!!!Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amepiga marufuku Madalali kuwadai Wapangaji Fedha ya Mwezi Mmoja, akiita kitendo hicho kuwa ni ujambazi
Amesema, "Kuna baadhi ya Madalali wanapangisha nyumba halafu wanachukua kwa Wapangaji Kodi ya mwezi. Hawa wanaochukua pesa za wapangaji waache mchezo huo kwasababu ni wizi wa mchana kabisa. Wewe umeajiriwa na mwenye nyumba, yeye lazima akulipe wewe"
View attachment 2011900
Serikali ina mkono wa kuwafikia hao madalali? Maana huku uswazi sijui kama watafanikiwaHatimae wameuona huu ujambazi!! Afadhali.
Hapo na Serikali itapata kodi yake kihalali maana utakuwa mfumo rasmiDawa ni kufungua Website wenye Nyumba wawe wanatangaza na sisi tunaingia na kukodi
Kwamba waziri kuongea hivyo ndio tumepata suluhu, eti? Hizi ni porojo tu...nchi ya hovyo kila kitu kinaendeshwa hovyo tu!!Hatimae wameuona huu ujambazi!! Afadhali.
Nchi nyingi zanaofisi kabisa kwenye mtaa au kata. Na kazi zote za kukarabati mahouse girl n.k zinapatikana sehemu Kama hizo.Unless wairasimishe hii biashara ya udalali na kuwasajili na waweke kima cha Chini, la sivyo Hanna kitu
awaache tu, ni ugumu wa maisha, na wao wana familia za kutunza na hawana kipato kingine. bora hao hata kuturahisishia maisha wakati wa kutafuta nyumba wanapatikana, hatuwezi kukwepa ukweli kwamba wana umuhimu wake, na ukisema wawe registered walipe kodi, aisee watu wenyewe hata anapoenda kukuonyesha nyumba unamwona kabisa ni mtu anayeishi maisha magumu anatafuta ya kula tu.Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amepiga marufuku Madalali kuwadai Wapangaji Fedha ya Mwezi Mmoja, akiita kitendo hicho kuwa ni ujambazi
Amesema, "Kuna baadhi ya Madalali wanapangisha nyumba halafu wanachukua kwa Wapangaji Kodi ya mwezi. Hawa wanaochukua pesa za wapangaji waache mchezo huo kwasababu ni wizi wa mchana kabisa. Wewe umeajiriwa na mwenye nyumba, yeye lazima akulipe wewe"
View attachment 2011900
Madalali wataliondoa mchana kweupeKama una nyumba,chumba unapangisha
Inabidi sahvi nje uweke bango la tangazo
Kama unapangisha
Ova
Sema nchi zilizoendelea mkuu, chumba kimoja cha giza maeneo ya malamba mawili huko , nani atakitangaza kwenye classified magazine au website? Hapo ndo madalali wanaingilia katiNchi nyingi zanaofisi kabisa kwenye mtaa au kata. Na kazi zote za kukarabati mahouse girl n.k zinapatikana sehemu Kama hizo.
Kabisa tena ziwe na Rating kabisa .maana kuna nyumba zingine hovyo kabisa.Una weka rating ya maana kuwasanuwa wengineSikujua Kumbe bado nchi iko gizani halafu bado wanasema Jiwe alikusanya kodi hivi kodi kiasi gani imepotea kwa hawa watu wanaofanya udalali??
Kuna haja ya kuwa na website za rental houses mtu akitaka anaingia na kulipa akiridhika hij ni rahisi na salama na kila kitu kiko traced!
Happ kodi itaonekana na kukatwa kodi na hizo commision za udalali zitakatwa kodi pia
Kama mtu anataka chumba,nyumba inabd sasaMsishangilie hawa watu ni wagumu kuwadhibiti mana mwenye shida ya chumba,kiwanja,nyumba au shamba anakuwa hamjui mwenye mali. So lazima apitie kwa dalali na hapo ndo mzdalali wanapowavimbia.
Wakiamua hawashindwi.Serikali ina mkono wa kuwafikia hao madalali? Maana huku uswazi sijui kama watafanikiwa
Itakuwa ni Win Win Serikali za Mitaa nazo zitapata chao.Hapo na Serikali itapata kodi yake kihalali maana utakuwa mfumo rasmi