Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Maybe ndio mwanzo.Kwamba waziri kuongea hivyo ndio tumepata suluhu, eti? Hizi ni porojo tu...nchi ya hovyo kila kitu kinaendeshwa hovyo tu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maybe ndio mwanzo.Kwamba waziri kuongea hivyo ndio tumepata suluhu, eti? Hizi ni porojo tu...nchi ya hovyo kila kitu kinaendeshwa hovyo tu!!
Asante Mkuu,ila hata wewe unaweza ukaanzisha.Idea ya maana mkuu. Itekeleze
Hapo mtatapeliwa mpaka mkumbuke kuwa heri kulipa pesa ya mwezi kwa dalali kuliko hayo.Dawa ni kufungua Website wenye Nyumba wawe wanatangaza na sisi tunaingia na kukodi
Tatizo bongo kila kitu ni deal, yaani wale ma agent wa kutafuta wadada wa kazi wengi ni wapigaji hakuna uaminifuNchi nyingi zanaofisi kabisa kwenye mtaa au kata. Na kazi zote za kukarabati mahouse girl n.k zinapatikana sehemu Kama hizo.
Mkuu tatizo la serikali yetu ni kuanzisha vita isivyoviweza.Wakiamua hawashindwi.
Ukishaiona si unaenda kufanya ukaguzi.Hapo mtatapeliwa mpaka mkumbuke kuwa heri kulipa pesa ya mwezi kwa dalali kuliko hayo.
Maana Nyumba/chumba hujaiona na uambiwe utaetanguliza ndio atapata. Mtakimbizana kutanguliza bila kumuona mwenye nyumba au mkaonyeshwa mwenye nyumba feke.
Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amepiga marufuku Madalali kuwadai Wapangaji Fedha ya Mwezi Mmoja, akiita kitendo hicho kuwa ni ujambazi
Amesema, "Kuna baadhi ya Madalali wanapangisha nyumba halafu wanachukua kwa Wapangaji Kodi ya mwezi. Hawa wanaochukua pesa za wapangaji waache mchezo huo kwasababu ni wizi wa mchana kabisa. Wewe umeajiriwa na mwenye nyumba, yeye lazima akulipe wewe"
View attachment 2011900
Sasa solution yake ni ipi maana hata ukisena ni wizi je unatusaidia nini??!!Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amepiga marufuku Madalali kuwadai Wapangaji Fedha ya Mwezi Mmoja, akiita kitendo hicho kuwa ni ujambazi
Amesema, "Kuna baadhi ya Madalali wanapangisha nyumba halafu wanachukua kwa Wapangaji Kodi ya mwezi. Hawa wanaochukua pesa za wapangaji waache mchezo huo kwasababu ni wizi wa mchana kabisa. Wewe umeajiriwa na mwenye nyumba, yeye lazima akulipe wewe"
View attachment 2011900
Atadaiwa kodi kubwa zaidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaopanga hawana shida kulipa maana si kazi rahisi kupata nyumba.
Sasa kama ni hivo dalali si anaweza kuongea na mwenye nyumba bei iwe juu ,kitu kile kile
Mhitaji ni mgeni,dalali ameongezewa mbinu kula zaidi na mmiliki.Sasa kipi afadhali maana bila hivo anaweza asikupatie nyumba
Salute mkuuAsante Mkuu,ila hata wewe unaweza ukaanzisha.
Hapa jf tunapeana Ideas ili maisha yawe bora kwa Watanzania wenzetu.
Hela ya udalali inauma asee, yaani unatoa 70k hivi hivi kwa jamaa anayepiga stori kitaa na umeisotea asee.
Hatukatai madalali wana msaada ila wachukue asilimia flani.