Waziri Lukuvi atekeleza agizo la Rais Magufuli, aikabidhi Halmashauri ya Kigamboni ekari 715 za ardhi

Kama kuna rushwa,akistaafu ndio kesi imeisha haguswi?Mimi naona hapa kuna jambo halijakaa sawa!
 
Kama kuna rushwa,akistaafu ndio kesi imeisha haguswi?Mimi naona hapa kuna jambo halijakaa sawa!
Ni heri kuchukua ardhi yako na kuachana nao tu,ingekuwa wameiba hela wangetemeshwa na mahakamani wangeenda,lakin ardhi haifichiki ni ku revoke makaratasi tu
 
Nenda wizarani kwa majibu sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mzee atakuja kulipa very high prices kwa roho mbaya yake na dhulma kubwa anafanya kwa kutumia cheo chake....unless akae milele ktk hicho cheo ila atakuja juta huo ubabe wake utamtokea puani tu mtashangaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli hii Katiba haitufai.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usikariri , kuna makosa na tarifa yako
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui sheria , hakuna kitu kama hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…