Waziri Lukuvi njoo Tanga utatue kero za Urasimishaji mashamba na viwanja unaofanywa na H/ya wilaya ya Muheza na Mkandarasi aitwaye MAKAZI SOLUTIONS

Waziri Lukuvi njoo Tanga utatue kero za Urasimishaji mashamba na viwanja unaofanywa na H/ya wilaya ya Muheza na Mkandarasi aitwaye MAKAZI SOLUTIONS

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Huu ni mradi wa urasimishaji wa mashamba na viwanja katika Wilaya ya Muheza. Mkandarasi niMakazi Solutions. Ni katika yaliyokuwa mashamba ya Geiglizi na wawekezaji wengine wa Kizungu tanga ukoloni.
Kero baadhi
1. Mradi kutokamilika
2. Ahadi za kutoa hati zisizotekelewa
3. Malipo yasiyo na udhibiti maana hatujui tunapashwa kulipia kiasi gani na hasa kama ni halali. Ulisema viwanja visizidi 150,00. Je mashamba? Magufuli alisema wapewe bura hata eka tano. Wao wanauza...
4. Kutotenda haki katika upimaji bila kuwasikiliza wahusika
5. etc etc
 
Fedha ya upimaji 150,000(urasimishaji)

Malipo ya hati yanategemeana na ukubwa wa eneo lako.anayeshughulikia hati au kutoa hati ni kamishina wa ardhi akishirikiana na ofisi ya ardhi wilayan

Nenda pale halmashauri,utapata maelezo ya kutosha.

Tatizo wananchi hawajapewa elimu kuhusu urasimishaji na haya makampun nayo yana kautapeli fulani hivi sababu wananchi hawaelewi hatua za kufuata mpaka upate hati
 
kamishina wa ardhi akishirikiana na ofisi ya ardhi wilayan
Hawa ndio mumiani, hawajui kuwa watu waahitaji hati, they are doing things at their own leisure
 
Back
Top Bottom