Fedha ya upimaji 150,000(urasimishaji)
Malipo ya hati yanategemeana na ukubwa wa eneo lako.anayeshughulikia hati au kutoa hati ni kamishina wa ardhi akishirikiana na ofisi ya ardhi wilayan
Nenda pale halmashauri,utapata maelezo ya kutosha.
Tatizo wananchi hawajapewa elimu kuhusu urasimishaji na haya makampun nayo yana kautapeli fulani hivi sababu wananchi hawaelewi hatua za kufuata mpaka upate hati