FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kama hakuwa Waziri wa Utalii mbona hujiulizi inakuwaje awe mstari wa mbele kumdanganya PM kwamba mnyama huyo kafa?
Sasa wewe unasema yuko hai au kafa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hakuwa Waziri wa Utalii mbona hujiulizi inakuwaje awe mstari wa mbele kumdanganya PM kwamba mnyama huyo kafa?
Kumbe hata yule anaye sema Richmond sio yake na yeye sio fisadi kama Watanzania wengi tubavyojua, anaweza akawa anasema uongo!!?Mkuu sio kweli kwamba waziri mkuu hawezi kusema uongo.
Faru anawahenyesha watu wazima. Tunaacha kufanya ya msingi wanahangaika na faru aliepigwa dili.
Ndio maana mnyama yeyote akipata matatizo lazima Magembe kama waziri apewe taarifa na yeye ndio wa mwisho kuizinisha na kutoa tamko hiyo ndio kazi yake.
Huna Elimu ya juu
Go back to school Dude.
swissme
Waziri ni msimamizi wa sera, hizo taarifa ni za kufanyia kazi wataalam na watendaji wengine.
maa yautendajiiKumtumbua Maghembe ni uonevu mkubwa. Kama jambo hili la faru john limefanyika ndani ya awamu hii basi waziri mkuu Majaliwa Kasimu Majaliwa ajiuzuru.
Yeye ndiye mtendaji mkuu wa serikali, iweje waziri aliye chini yake auze nyara za umma halafu waziri mkuu ajipe kazi ya kukata mkono wake (waziri)
angekuwa msema ukweli siku ile bungeni angejibu swali la mh Mbowe kuhusu rushwa ya mil 10 kwa kila mbunge wa ccm.Mkuu sio kweli kwamba waziri mkuu hawezi kusema uongo.
Uongo aliowambia watanzania waishio London.Mkuu sio kweli kwamba waziri mkuu hawezi kusema uongo.
Kumbe zingine humu ni bifu zenuAlinifukuza chuo huyu akafanya nihamie bara lingine kabisa . Naamini zamu yake nae imefika kuishi kama shetani.
[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG].