hahhaaaa,,tamuuWazir mkuu alisema kuwa serikali imetoa trilion 1 kununua madawa. Magufuli akasema serikali imetoa billion 200 kunuNua dawa. Nani apo ni muongo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahhaaaa,,tamuuWazir mkuu alisema kuwa serikali imetoa trilion 1 kununua madawa. Magufuli akasema serikali imetoa billion 200 kunuNua dawa. Nani apo ni muongo?
Ndio maana mnyama yeyote akipata matatizo lazima Magembe kama waziri apewe taarifa na yeye ndio wa mwisho kuizinisha na kutoa tamko hiyo ndio kazi yake.
Huna Elimu ya juu
Go back to school Dude.
Mnyama yeyote akipata matatizo lazima waziri apewe taarifa?
Sina hakika na suala hili.
swissme
Si alisema anahamia mwezi wa tisa?Hivi Waziri Mkuu alishahamia Dodoma? watu wengine bhana, eti hawezi kusema uongo... absurd!!
Du haya bana bibi nyama!!!Ndio maana mnyama yeyote akipata matatizo lazima Magembe kama waziri apewe taarifa na yeye ndio wa mwisho kuizinisha na kutoa tamko hiyo ndio kazi yake.
Huna Elimu ya juu
Go back to school Dude.
swissme
Siku ya sherehe ya uhuru nani aliyesema FARU amezikwa?Wewe unaamini kuwa wanayama wote huko mbugani huwa wanazikwa... tuonyeshe hata kaburi moja.. mnyama akifa anaachwa mzoga wake usaidie kuwa chakula ya wengine na kuendeleza ecology, unadhani fisi na tai wange ishi vipi kama mizoga inazikwa. Hakuna kaburu la John Faru.
Kuna kila dalili kwamba Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amekalia kuti kavu, tena kavu kwelikweli.
Sakata la kuuzwa kwa faru John na kisha yeye kubariki uuzwaji huo ni udhaifu mkubwa sana na kigezo tosha cha kumfanya aondolewe kwenye nafasi yake ya sasa. Kwa mujibu wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa, inasemekana faru huyo aliuzwa kwa thamani ya Tsh milion 200, ambapo wauzaji walitanguliziwa malipo ya Tsh milioni 100. Waziri mkuu hawezi kusema uongo. Ni dhahiri anazo taarifa za uhakika za kiintelejensia kwamba faru ameuzwa kwa bei hiyo ya kutupwa. Ndio maana wahifadhi wanashindwa kuonyesha kaburi lake lilipo kama kweli mnyama huyo wa porini alikufa.
Sintofahamu hii inakolezwa zaidi na Maghembe mwenyewe aliyediriki kumdanganya Waziri Mkuu, kwa kushirikiana na wezi wenzake, kwamba faru yule 'amekufa' huku akijua kwamba anasema uongo. Kwa sababu hizi, pamoja na sababu nyingine ambazo bado hazijawekwa wazi ili kumtumzia heshima profesa huyu, kuna kila dalili kwamba huenda Rais, Dr Joseph Pombe akatengua uteuzi wake kabla hajamaliza faru wetu.
Ikiwa waziri mwenye dhamana ya kulinda rasilimali zetu, ama kwa kujua au kwa makusudi, ameamua kushirikiana na majangili kufilisi rasilimali zetu kuna haja gani ya kuendelea kukalia kiti cha uwaziri? Kwa dhati kabisa bila unafiki wowote, mimi namuunga mkono Rais Pombe katika utumbuaji huu. Ifike wakati kila mtu aheshimu rasilimali za taifa kwa manufaa ya watanzania wa sasa na vizazi vijavyo.
Mungu mbariki Rais wetu, Mungu wabariki watanzania, Mungu bariki rasilimali zetu za Taifa. Amen.
Kwaninii kilaaa wazirii anataka kumaliza faruuwetuu wanamajini ama??Kuna kila dalili kwamba Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amekalia kuti kavu, tena kavu kwelikweli.
Sakata la kuuzwa kwa faru John na kisha yeye kubariki uuzwaji huo ni udhaifu mkubwa sana na kigezo tosha cha kumfanya aondolewe kwenye nafasi yake ya sasa. Kwa mujibu wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa, inasemekana faru huyo aliuzwa kwa thamani ya Tsh milion 200, ambapo wauzaji walitanguliziwa malipo ya Tsh milioni 100. Waziri mkuu hawezi kusema uongo. Ni dhahiri anazo taarifa za uhakika za kiintelejensia kwamba faru ameuzwa kwa bei hiyo ya kutupwa. Ndio maana wahifadhi wanashindwa kuonyesha kaburi lake lilipo kama kweli mnyama huyo wa porini alikufa.
Sintofahamu hii inakolezwa zaidi na Maghembe mwenyewe aliyediriki kumdanganya Waziri Mkuu, kwa kushirikiana na wezi wenzake, kwamba faru yule 'amekufa' huku akijua kwamba anasema uongo. Kwa sababu hizi, pamoja na sababu nyingine ambazo bado hazijawekwa wazi ili kumtumzia heshima profesa huyu, kuna kila dalili kwamba huenda Rais, Dr Joseph Pombe akatengua uteuzi wake kabla hajamaliza faru wetu.
Ikiwa waziri mwenye dhamana ya kulinda rasilimali zetu, ama kwa kujua au kwa makusudi, ameamua kushirikiana na majangili kufilisi rasilimali zetu kuna haja gani ya kuendelea kukalia kiti cha uwaziri? Kwa dhati kabisa bila unafiki wowote, mimi namuunga mkono Rais Pombe katika utumbuaji huu. Ifike wakati kila mtu aheshimu rasilimali za taifa kwa manufaa ya watanzania wa sasa na vizazi vijavyo.
Mungu mbariki Rais wetu, Mungu wabariki watanzania, Mungu bariki rasilimali zetu za Taifa. Amen.
[HASHTAG]#bringbackourrhinoalive[/HASHTAG]
Inasemekana aliuzwa tangu mwaka jana kwa thamani ya Tsh milioni 200 lakini Waziri Maghembe na wasaidizi wake wakadanganya kwamba amekufa kumbe si kweli. Wamekuja kuumbuka baada ya kushindwa kumuonyesha Waziri Mkuu lilipo kaburi la mnyamapori huyo.Kwani huyo faru John aliuzwa mwaka gani
Mwaka Jana Mh Maghembe alikuwa waziri wa utalii Kwani?Inasemekana aliuzwa tangu mwaka jana kwa thamani ya Tsh milioni 200 lakini Waiziri Maghembe na wasaidizi wake wakadanganya kwamba amekufa kumbe si kweli. Wamekuja kuumbuka baada ya kushindwa kumuonyesha Waziri Mkuu lilipo kaburi la mnyamapori huyo.
Mkuu, Maghembe anahusika kwa 101%...wakati faru anapigwa bei yeye alikuwepo na amekuwa mstari wa mbele kumdanganya PM kwamba faru amekufa kumbe wamempiga bei kwa wazungu. Inauma sana.Sidhani kama Prof Maghembe anahusika moja kwa moja kwenye hili sakata, hivi huo mchakato wa kumhamisha Faru John ulifanyika wakati Prof ni waziri wa maliasili na utalii? au ndo dhana pana ya uwajibikaji?
Si ulukuwa huna akili ?
Idiothuyu waziri kinachomlinda ni wa upande uleee.....