Waziri Mahiga hii ' Trade War ' baina ya Tanzania na Kenya inaweza ikaathiri mno Utengamano wa Afrika ya Mashariki

Waziri Mahiga hii ' Trade War ' baina ya Tanzania na Kenya inaweza ikaathiri mno Utengamano wa Afrika ya Mashariki

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Katika hali isiyokuwa ya kawaida japo ni jambo ambalo linafichwa na sijui ni kwa maana gani au kwa faida ya nani ni kwamba katika muendelezo ule ule wa ' Trade War ' baina ya Tanzania na Kenya hatimaye Serikali ya Kenya imezuia uingizwaji wa Mchele kutoka nchini Tanzania kwa sababu ambazo hata ukizisikia hazina kichwa wala miguu bali ni katika ' Kukomoana ' na kulipizana ' Visasi '.

Source: The Citizen.com

Nawasilisha.
 
Gentamycine ni nyinyi mlifurahia wakati vifaranga vinatiwa moto na ng'ombe kunadiwa !!. Leo kwa sababu tumepatikana mnashtuka ?!.

Tuongoze nchi yetu kwa hekima na werevu. Tusijione special, tunategemeana [emoji120] [emoji40]

Rekebisha Kauli unaposema ' Nyie ' ina maana na Mimi unanijumuisha? Kuna Uzi humu niliuanzisha kuitaka Tanzania imalize hili tatizo na Kenya kwa njia za Kidiplomasia sasa leo unaposema kwamba na Mimi GENTAMYCINE nilifurahia unakuwa hunitendei haki na kama ukiwa Muungwana naomba uniombe radhi kwa ' Kunisingizia ' hili jambo Mkuu.
 
Mlipo choma wale vifaranga vyao visivyo na hatia mlifikiria mnachoma vifaranga vya chadema au kukata mazao ya Mbowe ?

Tanzania kwa kifupi kwenye Diplomasia tumefeli kuliko wakati wowote katika historia ya nchi hii

Hilo jiwe hapo juu ni kama nyundo kila tatizo kwake anafikiri ni msumari
 
Wakati tunachoma vifaranga watu walifurahi..na kuona tumewakomoa...leo wamepiga marufuku mchele tunalialia....
Mwisho wa ubaya ni ubaya tu
 
Rekebisha Kauli unaposema ' Nyie ' ina maana na Mimi unanijumuisha? Kuna Uzi humu niliuanzisha kuitaka Tanzania imalize hili tatizo na Kenya kwa njia za Kidiplomasia sasa leo unaposema kwamba na Mimi GENTAMYCINE nilifurahia unakuwa hunitendei haki na kama ukiwa Muungwana naomba uniombe radhi kwa ' Kunisingizia ' hili jambo Mkuu.
Mkuu,hongera sana siku hizi unawajibu watu vitu sana tena kwa hoja...ingelikuwa ni enzi zako huyu Bwana angelikuwa ameshayaoga matusi ya kutosha

Nikirudi kwenye mada,najua sisi hatuna uwezo wa kupambana na Wakenya kwa lolote...wenzetu wanazo-strategies kwenye kila field;iwe ni biashara,elimu,ulinzi,ustaarabu mpaka intertainment so,kupambana na Wakenya ni kupoteza muda!
 
Gentamycine ni nyinyi mlifurahia wakati vifaranga vinatiwa moto na ng'ombe kunadiwa !!. Leo kwa sababu tumepatikana mnashtuka ?!.

Tuongoze nchi yetu kwa hekima na werevu. Tusijione special, tunategemeana [emoji120] [emoji40]
Ndugu Kwanza nikujuze tu, wafugaji wanaangaika Sana, Tanzania hatuna vifaranga vya kutosha. Wafugaji wanalipia pesa ila unapata baada ya miezi mitatu!!! Oda zishawazidia wazalishaji. Wangeruhusu tu vifaranga viingie.
 
Kuna hiki la mto Mara nalo si la kupuuzia, wakati ule wa Vita baridi tulikuwa kiitikadi tunatofautiana ila kwa sasa wote tunategemea mabwana wamoja
 
Niliona hili kwa jicho la tatu mara baada ya kauli za viongozi zisizo na afya juu ya majirani.... Regional politics huwa haziko kama baadhi ya viongozi wetu wanavyodhani.
 
Niliona hili kwa jicho la tatu mara baada ya kauli za viongozi zisizo na afya juu ya majirani.... Regional politics huwa haziko kama baadhi ya viongozi wetu wanavyodhani.
Ila nakumbuka Mh Magufuli alipokuwa Nairobi alitaka masuala haya yatatulike kwa mawaziri linapotokea suala ambalo linawezekanika.Jambo hiki waziri wa Kilimo ajiongeze kwa hili maana mkuu alilitolea ufafanuzi
 
Wale madogo tu, hawatuwezi

Ungesoma kidogo tu au ungejua angalau tu a,b.c's za Diplomasia ( hasa Economic Diplomacy ) usingeandika hapa huu Upupu / Upuuzi wako. Ni Mwendawazimu tu ndiyo leo hii anaweza kusema kwamba Wakenya hawatuwezi wakati Kiuhalisia na kwa wale wenzangu na mie tuliobahatika kidogo tu kutembelea hiyo nchi ukweli ni kwamba Wakenya wametuacha nyuma ' almost ' kwa Vitu vingi na katika Nyanja / Sekta nyingi tu. Siku zingine mnapoona Mada nzito kama hizi ambazo zinahitaji michango ya Great Thinkers na Wewe ukijijua kabisa ama Kichwani mwako hazikutoshi au Bangi kama siyo Gongo imekutawala basi usiwe unapoteza muda wako Kuchangia kwani utakuwa unajidhalilisha tu na tutazidi Kukupuuza vile vile.
 
Wakati JK akilifunga bunge mwaka 2015 (bunge lake la mwisho kuhutubia kama Rais) alisema mojawapo ya vitu anavyojivunia ni kuacha uhusiano imara baina ya Kenya na Tanzania kuliko wakati wowote katika Historia ya nchi yetu.

Na anaamini uhusiano huo utaendelezwa labda tupate kiongozi mwendawazimu kweli kweli.

Nimekumbusha tu
 

Ungesoma kidogo tu au ungejua angalau tu a,b.c's za Diplomasia ( hasa Economic Diplomacy ) usingeandika hapa huu Upupu / Upuuzi wako. Ni Mwendawazimu tu ndiyo leo hii anaweza kusema kwamba Wakenya hawatuwezi wakati Kiuhalisia na kwa wale wenzangu na mie tuliobahatika kidogo tu kutembelea hiyo nchi ukweli ni kwamba Wakenya wametuacha nyuma ' almost ' kwa Vitu vingi na katika Nyanja / Sekta nyingi tu. Siku zingine mnapoona Mada nzito kama hizi ambazo zinahitaji michango ya Great Thinkers na Wewe ukijijua kabisa ama Kichwani mwako hazikutoshi au Bangi kama siyo Gongo imekutawala basi usiwe unapoteza muda wako Kuchangia kwani utakuwa unajidhalilisha tu na tutazidi Kukupuuza vile vile.
Sawa mwanadiplomasia, mtanzania msomi na anayeijua Kenya vizuri... Yo good man
 
Mkuu,hongera sana siku hizi unawajibu watu vitu sana tena kwa hoja...ingelikuwa ni enzi zako huyu Bwana angelikuwa ameshayaoga matusi ya kutosha

Nikirudi kwenye mada,najua sisi hatuna uwezo wa kupambana na Wakenya kwa lolote...wenzetu wanazo-strategies kwenye kila field;iwe ni biashara,elimu,ulinzi,ustaarabu mpaka intertainment so,kupambana na Wakenya ni kupoteza muda!
Ulinzi???????? Nani kudanganywa?
 
Sawa mwanadiplomasia, mtanzania msomi na anayeijua Kenya vizuri... Yo good man

Najua ' Sindano ' ya ' dozi ' niliyokupa imeshakuingia vizuri hivyo siku nyingine utakuwa unapima Kwanza Kina cha Maji.
 
Kwa heshima na taadhima kwa mleta hoja,Nakuheshimu sana.
.
Kuna jambo silielewi toka kwako kwa muda wa takriban wiki mbili toka leo kurudi nyuma.Usinifikirie vibaya bro,ila kwenye ukweli wacha tuseme...Serikali ya TZ inaogopeka afrika mashariki(naamini unaelewa hili),na pia usikiapo neno TANZANIA,lazima mapigo ya moyo yaende resi(najua pia unaelewa hili japo kwa ubishi wako utakataa maana mara leo wewe mkurya,mara uko poland,mara mtutsi mara hutu),kwa hiyo naomba uchukue jambo hili...,TANZANIA NI NCHI HURU na haiogopi kunguni ama chawa yeyote ndani ya E.A.,Sasa basi kawaambie waliokutuma(kama wapo)kuwa HATUTETEREKI,Nini kuchoma vifaranga??tunasubiri tukamate wahamiaji haramu tupige moto.NCHI inaongozwa na sheria!
 
Back
Top Bottom