GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
- Thread starter
- #21
Kwa heshima na taadhima kwa mleta hoja,Nakuheshimu sana.
.
Kuna jambo silielewi toka kwako kwa muda wa takriban wiki mbili toka leo kurudi nyuma.Usinifikirie vibaya bro,ila kwenye ukweli wacha tuseme...Serikali ya TZ inaogopeka afrika mashariki(naamini unaelewa hili),na pia usikiapo neno TANZANIA,lazima mapigo ya moyo yaende resi(najua pia unaelewa hili japo kwa ubishi wako utakataa maana mara leo wewe mkurya,mara uko poland,mara mtutsi mara hutu),kwa hiyo naomba uchukue jambo hili...,TANZANIA NI NCHI HURU na haiogopi kunguni ama chawa yeyote ndani ya E.A.,Sasa basi kawaambie waliokutuma(kama wapo)kuwa HATUTETEREKI,Nini kuchoma vifaranga??tunasubiri tukamate wahamiaji haramu tupige moto.NCHI inaongozwa na sheria!
Watanzania mnapenda sana ' Kujidanganya ' na kudhani ni nyie tu ndiyo mna uwezo wa kila Kitu hasa ' Kimedani ' wakati yawezekana Wenzenu wapo vizuri zaidi ila hawana ' mikogo ' ya Kimbwigira / Kishamba kama yenu. Shauri zenu ila kuna Siku madhara yake mtakuja kuyaona. Waziri Mahiga nakuomba sana ingilia Kati haraka hili jambo kwani ' Agenda ' yetu Sisi wengine ya Tutsi na Hima Empire ndani ya Afrika ya Mashariki haiwezi kutimia kama Wakubwa nyie Tanzania na Kenya mpo katika hii ' Unending Trade War ' yenu. Tanzania, Kenya na Burundi ndiyo Wateja wakubwa wa Tutsi and Hima Empire ambayo tunataka hadi kufikia 2025 au 2030 iwe imeshatimia na nyote muwe chini yetu kusudi tuweze sasa kukamilisha lengo letu la muda mrefu tulilokuwa nalo. Hebu Watanzania na Wakenya patateni upesi bhana!