Waziri Mahiga hii ' Trade War ' baina ya Tanzania na Kenya inaweza ikaathiri mno Utengamano wa Afrika ya Mashariki

Waziri Mahiga hii ' Trade War ' baina ya Tanzania na Kenya inaweza ikaathiri mno Utengamano wa Afrika ya Mashariki

Safi s
Wakenya ni watu wa visasi, utamfanyia leo Utasahau alafu yeye atakuja lipiza keshokutwa, "once you deal with a Kenyan you should be smart"
Safi sana wakenya Dawa ya moto ni moto
 
Hata bia za Tanzania wamezikamata t
Kuna hiki la mto Mara nalo si la kupuuzia, wakati ule wa Vita baridi tulikuwa kiitikadi tunatofautiana ila kwa sasa wote tunategemea mabwana wamoja
wnaziita "Magu" Aiseee hawa jamaa inaonekana wanataka kutupuga knock out moja mbaya sana
1) wamekamata bia ( tbl mauzo yatapungu)
2)wamesema wanajenga dam MTO Mara ( hapa serengeti national park itakauka)
3) wanazuia mchele wetu ( hapa kama Luna alikopa benk ili alime inakula kwake)
 
Hii vita ni kali nimeona gari za fuel ya transit inayotoka Mombasa port imepigwa pin border huu ni mwezi wa pili
 
Kwa heshima na taadhima kwa mleta hoja,Nakuheshimu sana.
.
Kuna jambo silielewi toka kwako kwa muda wa takriban wiki mbili toka leo kurudi nyuma.Usinifikirie vibaya bro,ila kwenye ukweli wacha tuseme...Serikali ya TZ inaogopeka afrika mashariki(naamini unaelewa hili),na pia usikiapo neno TANZANIA,lazima mapigo ya moyo yaende resi(najua pia unaelewa hili japo kwa ubishi wako utakataa maana mara leo wewe mkurya,mara uko poland,mara mtutsi mara hutu),kwa hiyo naomba uchukue jambo hili...,TANZANIA NI NCHI HURU na haiogopi kunguni ama chawa yeyote ndani ya E.A.,Sasa basi kawaambie waliokutuma(kama wapo)kuwa HATUTETEREKI,Nini kuchoma vifaranga??tunasubiri tukamate wahamiaji haramu tupige moto.NCHI inaongozwa na sheria!
Usingecomment tu mkuu umeandika sh*t sema una Uhuru wa kutoa mawazo
 
Wakati JK akilifunga bunge mwaka 2015 (bunge lake la mwisho kuhutubia kama Rais) alisema mojawapo ya vitu anavyojivunia ni kuacha uhusiano imara baina ya Kenya na Tanzania kuliko wakati wowote katika Historia ya nchi yetu.

Na anaamini uhusiano huo utaendelezwa labda tupate kiongozi mwendawazimu kweli kweli.

Nimekumbusha tu
Haya mbna yametimia tayari? Tunaye kichaa in the house
 
Huwaga kuna liongo moja huuw linaaminishwa na wa tz wenzetu eti Kenya uchumi upo juu sana wametuacha mbali sana....mmmh ile nchi wana njaa ya hatari usiiome nairobi ukajua ndio kenya yote ipo hivyo hiyo nairibu yenyewe kuna slams za kutosha wana import chakula hakuna mfano tunawalisha acha wazuie ili bei ya mchele ipande wapate akili..!
Bro mi nimeishi kenya na by then kulikuwa na mikoa 8 cjui sasa hiv tulitembea mjin na vijijin. Nimerud hapa home ni kama nimeimaliza mikoa yote japo sio yote kabisa. Iko hiv
wakenya wako mbali sana sio kidogo yaan mbali sana. Yaan kila familia haikos watu wawili au mmoja aliyesoma kisawasawa. Au yuko nje ya nchi ile kitu walikuwa wanaita harambee ili wasaidia sana.
Pili wakenya wengi sana wako nje ya nchi yao. Cc tunajifariji tu lakin hata nusu yao kimaendeleo hatuwafikii.
Cc hawa jamaa tunawazidi kuwa na fursa za kuendelea sema hatuna viongoz wenye future. Tuna kila kitu kasoro uongoz. Wakat kenya leo hii wanaajir kwa kuangalia utaalam cc hapa tunaangalia mtu wetu. Wakati wao wanakonect uchumi wao na ulimwengu sisi mpaka leo tunaangalia humu humu ndan. Kinachotuua hapa tuna viongoz wasiofikiria kesho wao ni kila kitu wanafikir ubabe tu. Sasa mzee uchumi hauendeshwi kiubabe mzee unaendeshwa kidiplomasia.
 
Unawezakana umekaa miaka 8 ulikuwa na cycle gani mimi nimefanya tafiti mbali mbali huko za kiuchumi,elimu, na mazingira chini ya world bank si kenya tu...ninapokuambia wametuzid kingereza nina maana kenya wameendelea kijamii haswa jamii ya wajaluo na kikuyu ila hao wakalenj sijui waluya wwchwa nyuma sana uchumi wa kenya umeshikwa na watu wachavhe na asilimia kubwa wapo nairobi na nduo maana hata juz ripor imetoka nairob nia ya 6 kiutajiri africa na moja ya vigezo na shughuli za kichumi mpato yanaoingia na kutoka pamoja na watu matajiri wanao ishi hapo nairobi matajiri ni wengi kuliko dar by far ili ukitoka nje ya hapo hali ni ngumu,upatikanaji wa chakula sio rahisi kama hapa kwetu hizo scheme za kilimo zinafanywa ma wenye fedha mi nimefanya tafit najua ninachikisema mbaya zaid uchumi wao utaenda kungia matatizon muda si mrefu kutokana na aima ya maden wanayoingia sasa hivi...kwenye makaratasi kenya wapo mbali ya tanzania ila ukiigia deep kwemye maisha ya watu wana hali ngumu.!
 
Bro mi sio mtu wa tafiti ila ni mtu wa uhalisia. Maana kuna vitu vingine wala huitaji utafiti.
Kenya eneo lote la kusin ni lizur kwa maana ya ardhi ila kaskazin mwa kenya ni kama jangwa flan. Sasa iko hiv ukienda vijijin huko tuseme homa bay au bungoma au hata machakos huwez kulinganisha na vijiji vyetu vyenye nyasi tupu bro kuwa mkweli. Mi Tz hii tumeenda minadan na mikoan huko watu wengine hata hawajui rais wa Tz ninan. Wewe unazungumzia uchumi wa Nairobi zungumzia kwa mfano kenyampaka sasa wana maprofesa au madokta au mainjinia wangapi ukilinganisha na sisi. Utakuta wako mbali sana tu hapo ni elimu tu.sasa hebu chukulia kwa mfano mji kama Voi au mariakan ambao haujulikan lakin kwa hapa kwetu ni levo ya miji mikubwa kabisa. Ni kweli kenya walitangulia kuwa mabepar so wako watu wenye hela nyingi sana. Lakin mbona hutuambii kuwa kenya ndio nchi ya pili kuwekeza hapa kwetu ukiitoa uingereza hii nini maana yake. Ni sawa na kulinganisha vijiji vya moshi au bukoba huko na vijijin labda huko tabora cjui singida. Mwaka 2011 Emates airway walitangaza nafas za kaz kwa cabin crew na zilikuwa ni kwaajili ya Watz walikosa wakarudia tena miez mitatu walipata wapemba wawili ikabid wawaruhus wakenya wakawapata in 5 dys na popote utakapoenda huko magharib au hata hapo uarabun wafanyakaz wengi ni wakenya so busara ni kukubali wametuz then kujipanga kuwaandaa watoto kuja kupambana nasio kujifariji.wewe hujajiuliza kwanini serikali yetu inaenda pole pole kuruhusu east africa comunity hawa jamaa wameshaendelea ukiwaruhusu ghafla mmekwisha mzee. Hilo la vijiji vinafana na sisi hilo lipo africa nzima hata south africa au namibia au hata Botswana vipo inshu tumelingana kichwan? Nikupe siri moja mi katika tu mi baada ya kwenda sana china nilipofika vijijin nilishangaa au india vijijin ni kubaya hutaish na wapo masikin wengi tu sasa hiyo haimaanish tumelingana. Wachina wao hawana tofauti na wamasai. Tena wachina smart ni wale wa fujian hasa wachina wanaoongea kimadharin ila ukienda kwa wale wachina warefu ni wakawaida sana.
 
Unawezakana umekaa miaka 8 ulikuwa na cycle gani mimi nimefanya tafiti mbali mbali huko za kiuchumi,elimu, na mazingira chini ya world bank si kenya tu...ninapokuambia wametuzid kingereza nina maana kenya wameendelea kijamii haswa jamii ya wajaluo na kikuyu ila hao wakalenj sijui waluya wwchwa nyuma sana uchumi wa kenya umeshikwa na watu wachavhe na asilimia kubwa wapo nairobi na nduo maana hata juz ripor imetoka nairob nia ya 6 kiutajiri africa na moja ya vigezo na shughuli za kichumi mpato yanaoingia na kutoka pamoja na watu matajiri wanao ishi hapo nairobi matajiri ni wengi kuliko dar by far ili ukitoka nje ya hapo hali ni ngumu,upatikanaji wa chakula sio rahisi kama hapa kwetu hizo scheme za kilimo zinafanywa ma wenye fedha mi nimefanya tafit najua ninachikisema mbaya zaid uchumi wao utaenda kungia matatizon muda si mrefu kutokana na aima ya maden wanayoingia sasa hivi...kwenye makaratasi kenya wapo mbali ya tanzania ila ukiigia deep kwemye maisha ya watu wana hali ngumu.!

Well said bro
 
Hata wamasai wakenya au wajaluo wa kenya au wakurya wa kenya wamewapita sana wa hapa kwetu. Kabila pekee lililopo kenya na Tz tuliolingana ni wadigo.
 
Gentamycine ni nyinyi mlifurahia wakati vifaranga vinatiwa moto na ng'ombe kunadiwa !!. Leo kwa sababu tumepatikana mnashtuka ?!.

Tuongoze nchi yetu kwa hekima na werevu. Tusijione special, tunategemeana [emoji120] [emoji40]
Kwani ni Kenya tu ndiyo wanawezanunua mchele wetu?wakifungia na sisi tutawafungia hata bia za Tanzania nazo wanafungia.
 
Mkuu,hongera sana siku hizi unawajibu watu vitu sana tena kwa hoja...ingelikuwa ni enzi zako huyu Bwana angelikuwa ameshayaoga matusi ya kutosha

Nikirudi kwenye mada,najua sisi hatuna uwezo wa kupambana na Wakenya kwa lolote...wenzetu wanazo-strategies kwenye kila field;iwe ni biashara,elimu,ulinzi,ustaarabu mpaka intertainment so,kupambana na Wakenya ni kupoteza muda!
Ila mfahamu kuwa sisi hatuwayegemei sana wakenya wao ndo wamewekeza kwa wingi kwetu
 
Mlipo choma wale vifaranga vyao visivyo na hatia mlifikiria mnachoma vifaranga vya chadema au kukata mazao ya Mbowe ?

Tanzania kwa kifupi kwenye Diplomasia tumefeli kuliko wakati wowote katika historia ya nchi hii

Hilo jiwe hapo juu ni kama nyundo kila tatizo kwake anafikiri ni msumari
Huwezikukubali vifaranga kuingizwa nchini kinyume na sheria ni lazima sheria zifuatwe ukifanya hayo mambo kiholela ni hatari sana. Ugonjwa wa kuku ukija nchini kwa njia hiyo wewe utakua wa kwanza kulalamika. Km machadema na mbowe wenu mnaunga mkono vitu viingizwe nchini kiholela basi nyie hamfai kabisa kuongoza nchi hii.
 
Mkuu,hongera sana siku hizi unawajibu watu vitu sana tena kwa hoja...ingelikuwa ni enzi zako huyu Bwana angelikuwa ameshayaoga matusi ya kutosha

Nikirudi kwenye mada,najua sisi hatuna uwezo wa kupambana na Wakenya kwa lolote...wenzetu wanazo-strategies kwenye kila field;iwe ni biashara,elimu,ulinzi,ustaarabu mpaka intertainment so,kupambana na Wakenya ni kupoteza muda!
Mkuu kuwa mzalendo,tetea chako
 
KQ anatua kila siku Tanzania, tuwape masharti watupe route moja ya Dar-Nairobi iende ATCL yetu kila siku.
 
Back
Top Bottom