GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Gentamycine ni nyinyi mlifurahia wakati vifaranga vinatiwa moto na ng'ombe kunadiwa !!. Leo kwa sababu tumepatikana mnashtuka ?!.
Tuongoze nchi yetu kwa hekima na werevu. Tusijione special, tunategemeana [emoji120] [emoji40]
Mkuu,hongera sana siku hizi unawajibu watu vitu sana tena kwa hoja...ingelikuwa ni enzi zako huyu Bwana angelikuwa ameshayaoga matusi ya kutoshaRekebisha Kauli unaposema ' Nyie ' ina maana na Mimi unanijumuisha? Kuna Uzi humu niliuanzisha kuitaka Tanzania imalize hili tatizo na Kenya kwa njia za Kidiplomasia sasa leo unaposema kwamba na Mimi GENTAMYCINE nilifurahia unakuwa hunitendei haki na kama ukiwa Muungwana naomba uniombe radhi kwa ' Kunisingizia ' hili jambo Mkuu.
Ndugu Kwanza nikujuze tu, wafugaji wanaangaika Sana, Tanzania hatuna vifaranga vya kutosha. Wafugaji wanalipia pesa ila unapata baada ya miezi mitatu!!! Oda zishawazidia wazalishaji. Wangeruhusu tu vifaranga viingie.Gentamycine ni nyinyi mlifurahia wakati vifaranga vinatiwa moto na ng'ombe kunadiwa !!. Leo kwa sababu tumepatikana mnashtuka ?!.
Tuongoze nchi yetu kwa hekima na werevu. Tusijione special, tunategemeana [emoji120] [emoji40]
Ila nakumbuka Mh Magufuli alipokuwa Nairobi alitaka masuala haya yatatulike kwa mawaziri linapotokea suala ambalo linawezekanika.Jambo hiki waziri wa Kilimo ajiongeze kwa hili maana mkuu alilitolea ufafanuziNiliona hili kwa jicho la tatu mara baada ya kauli za viongozi zisizo na afya juu ya majirani.... Regional politics huwa haziko kama baadhi ya viongozi wetu wanavyodhani.
Wale madogo tu, hawatuwezi
Sawa mwanadiplomasia, mtanzania msomi na anayeijua Kenya vizuri... Yo good man
Ungesoma kidogo tu au ungejua angalau tu a,b.c's za Diplomasia ( hasa Economic Diplomacy ) usingeandika hapa huu Upupu / Upuuzi wako. Ni Mwendawazimu tu ndiyo leo hii anaweza kusema kwamba Wakenya hawatuwezi wakati Kiuhalisia na kwa wale wenzangu na mie tuliobahatika kidogo tu kutembelea hiyo nchi ukweli ni kwamba Wakenya wametuacha nyuma ' almost ' kwa Vitu vingi na katika Nyanja / Sekta nyingi tu. Siku zingine mnapoona Mada nzito kama hizi ambazo zinahitaji michango ya Great Thinkers na Wewe ukijijua kabisa ama Kichwani mwako hazikutoshi au Bangi kama siyo Gongo imekutawala basi usiwe unapoteza muda wako Kuchangia kwani utakuwa unajidhalilisha tu na tutazidi Kukupuuza vile vile.
Ulinzi???????? Nani kudanganywa?Mkuu,hongera sana siku hizi unawajibu watu vitu sana tena kwa hoja...ingelikuwa ni enzi zako huyu Bwana angelikuwa ameshayaoga matusi ya kutosha
Nikirudi kwenye mada,najua sisi hatuna uwezo wa kupambana na Wakenya kwa lolote...wenzetu wanazo-strategies kwenye kila field;iwe ni biashara,elimu,ulinzi,ustaarabu mpaka intertainment so,kupambana na Wakenya ni kupoteza muda!
Sawa mwanadiplomasia, mtanzania msomi na anayeijua Kenya vizuri... Yo good man