GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
- Thread starter
-
- #21
Kwa heshima na taadhima kwa mleta hoja,Nakuheshimu sana.
.
Kuna jambo silielewi toka kwako kwa muda wa takriban wiki mbili toka leo kurudi nyuma.Usinifikirie vibaya bro,ila kwenye ukweli wacha tuseme...Serikali ya TZ inaogopeka afrika mashariki(naamini unaelewa hili),na pia usikiapo neno TANZANIA,lazima mapigo ya moyo yaende resi(najua pia unaelewa hili japo kwa ubishi wako utakataa maana mara leo wewe mkurya,mara uko poland,mara mtutsi mara hutu),kwa hiyo naomba uchukue jambo hili...,TANZANIA NI NCHI HURU na haiogopi kunguni ama chawa yeyote ndani ya E.A.,Sasa basi kawaambie waliokutuma(kama wapo)kuwa HATUTETEREKI,Nini kuchoma vifaranga??tunasubiri tukamate wahamiaji haramu tupige moto.NCHI inaongozwa na sheria!
Mmmmh Utakuwa unatembea na mhuri wa ikulu bro dah sio kwa kujiamini hivyoKwa heshima na taadhima kwa mleta hoja,Nakuheshimu sana.
.
Kuna jambo silielewi toka kwako kwa muda wa takriban wiki mbili toka leo kurudi nyuma.Usinifikirie vibaya bro,ila kwenye ukweli wacha tuseme...Serikali ya TZ inaogopeka afrika mashariki(naamini unaelewa hili),na pia usikiapo neno TANZANIA,lazima mapigo ya moyo yaende resi(najua pia unaelewa hili japo kwa ubishi wako utakataa maana mara leo wewe mkurya,mara uko poland,mara mtutsi mara hutu),kwa hiyo naomba uchukue jambo hili...,TANZANIA NI NCHI HURU na haiogopi kunguni ama chawa yeyote ndani ya E.A.,Sasa basi kawaambie waliokutuma(kama wapo)kuwa HATUTETEREKI,Nini kuchoma vifaranga??tunasubiri tukamate wahamiaji haramu tupige moto.NCHI inaongozwa na sheria!
Acha uongo basi we jamaa,,Kenya inafahamika in and out haina lolote.Mkuu,hongera sana siku hizi unawajibu watu vitu sana tena kwa hoja...ingelikuwa ni enzi zako huyu Bwana angelikuwa ameshayaoga matusi ya kutosha
Nikirudi kwenye mada,najua sisi hatuna uwezo wa kupambana na Wakenya kwa lolote...wenzetu wanazo-strategies kwenye kila field;iwe ni biashara,elimu,ulinzi,ustaarabu mpaka intertainment so,kupambana na Wakenya ni kupoteza muda!
Tutsi and hima empire...congtrats dogo.Watanzania mnapenda sana ' Kujidanganya ' na kudhani ni nyie tu ndiyo mna uwezo wa kila Kitu hasa ' Kimedani ' wakati yawezekana Wenzenu wapo vizuri zaidi ila hawana ' mikogo ' ya Kimbwigira / Kishamba kama yenu. Shauri zenu ila kuna Siku madhara yake mtakuja kuyaona. Waziri Mahiga nakuomba sana ingilia Kati haraka hili jambo kwani ' Agenda ' yetu Sisi wengine ya Tutsi na Hima Empire ndani ya Afrika ya Mashariki haiwezi kutimia kama Wakubwa nyie Tanzania na Kenya mpo katika hii ' Unending Trade War ' yenu. Tanzania, Kenya na Burundi ndiyo Wateja wakubwa wa Tutsi and Hima Empire ambayo tunataka hadi kufikia 2025 au 2030 iwe imeshatimia na nyote muwe chini yetu kusudi tuweze sasa kukamilisha lengo letu la muda mrefu tulilokuwa nalo. Hebu Watanzania na Wakenya patateni upesi bhana!
Tuweke hapa huo uzi uliouanzisha ili tuthibitishe utendewe haki uliyonyimwa.Rekebisha Kauli unaposema ' Nyie ' ina maana na Mimi unanijumuisha? Kuna Uzi humu niliuanzisha kuitaka Tanzania imalize hili tatizo na Kenya kwa njia za Kidiplomasia sasa leo unaposema kwamba na Mimi GENTAMYCINE nilifurahia unakuwa hunitendei haki na kama ukiwa Muungwana naomba uniombe radhi kwa ' Kunisingizia ' hili jambo Mkuu.
Kwa heshima na taadhima kwa mleta hoja,Nakuheshimu sana.
.
Kuna jambo silielewi toka kwako kwa muda wa takriban wiki mbili toka leo kurudi nyuma.Usinifikirie vibaya bro,ila kwenye ukweli wacha tuseme...Serikali ya TZ inaogopeka afrika mashariki(naamini unaelewa hili),na pia usikiapo neno TANZANIA,lazima mapigo ya moyo yaende resi(najua pia unaelewa hili japo kwa ubishi wako utakataa maana mara leo wewe mkurya,mara uko poland,mara mtutsi mara hutu),kwa hiyo naomba uchukue jambo hili...,TANZANIA NI NCHI HURU na haiogopi kunguni ama chawa yeyote ndani ya E.A.,Sasa basi kawaambie waliokutuma(kama wapo)kuwa HATUTETEREKI,Nini kuchoma vifaranga??tunasubiri tukamate wahamiaji haramu tupige moto.NCHI inaongozwa na sheria!
Naweza kukusaidia kuchange id!.ni PM.Ovyooo
jiwe huwa linaongeaga kinyumenyume!Ila nakumbuka Mh Magufuli alipokuwa Nairobi alitaka masuala haya yatatulike kwa mawaziri linapotokea suala ambalo linawezekanika.Jambo hiki waziri wa Kilimo ajiongeze kwa hili maana mkuu alilitolea ufafanuzi
tuanzie kwenye bajeti yao ya mwaka, sisi na wao ikoje!Huwaga kuna liongo moja huuw linaaminishwa na wa tz wenzetu eti Kenya uchumi upo juu sana wametuacha mbali sana....mmmh ile nchi wana njaa ya hatari usiiome nairobi ukajua ndio kenya yote ipo hivyo hiyo nairibu yenyewe kuna slams za kutosha wana import chakula hakuna mfano tunawalisha acha wazuie ili bei ya mchele ipande wapate akili..!
Ujinga huu ndo mnafundishwa pale Lumumba evening class sio? Yaani nchi yenye uchumi twice ours inaanzaje kuwa ya kizezeta? Yaani ukichukua chumi zote za nchi za EAC combined hatuifikii afu ww unasemaje? Soko letu kubwa liko kwao na tunajifunza na kuiga mengi kutoka kwaoHuwaga kuna liongo moja huuw linaaminishwa na wa tz wenzetu eti Kenya uchumi upo juu sana wametuacha mbali sana....mmmh ile nchi wana njaa ya hatari usiiome nairobi ukajua ndio kenya yote ipo hivyo hiyo nairibu yenyewe kuna slams za kutosha wana import chakula hakuna mfano tunawalisha acha wazuie ili bei ya mchele ipande wapate akili..!
CC Jenerali UlimwenguMlipo choma wale vifaranga vyao visivyo na hatia mlifikiria mnachoma vifaranga vya chadema au kukata mazao ya Mbowe ?
Tanzania kwa kifupi kwenye Diplomasia tumefeli kuliko wakati wowote katika historia ya nchi hii
Hilo jiwe hapo juu ni kama nyundo kila tatizo kwake anafikiri ni msumari
Gentam waache watu watoe maoni yao kwa Uhuru na sio kama unavyotaka wewe.
Ungesoma kidogo tu au ungejua angalau tu a,b.c's za Diplomasia ( hasa Economic Diplomacy ) usingeandika hapa huu Upupu / Upuuzi wako. Ni Mwendawazimu tu ndiyo leo hii anaweza kusema kwamba Wakenya hawatuwezi wakati Kiuhalisia na kwa wale wenzangu na mie tuliobahatika kidogo tu kutembelea hiyo nchi ukweli ni kwamba Wakenya wametuacha nyuma ' almost ' kwa Vitu vingi na katika Nyanja / Sekta nyingi tu. Siku zingine mnapoona Mada nzito kama hizi ambazo zinahitaji michango ya Great Thinkers na Wewe ukijijua kabisa ama Kichwani mwako hazikutoshi au Bangi kama siyo Gongo imekutawala basi usiwe unapoteza muda wako Kuchangia kwani utakuwa unajidhalilisha tu na tutazidi Kukupuuza vile vile.
Hivi hujui kuna wastaafu wanawashwa!???Wakati JK akilifunga bunge mwaka 2015 (bunge lake la mwisho kuhutubia kama Rais) alisema mojawapo ya vitu anavyojivunia ni kuacha uhusiano imara baina ya Kenya na Tanzania kuliko wakati wowote katika Historia ya nchi yetu.
Na anaamini uhusiano huo utaendelezwa labda tupate kiongozi mwendawazimu kweli kweli.
Nimekumbusha tu