Waziri Mahiga: Serikali ya Uturuki imetuambia wamiliki wa shule za Feza ni magaidi

Waziri Mahiga: Serikali ya Uturuki imetuambia wamiliki wa shule za Feza ni magaidi

Nani kasema dini hapa? Huyo gulan na hao wengine ni dini gani? Kwa nini mnakuwa wapumbavu? Tunaongelea taarifa iliyop mezani ya ugaidi na uhaini, wewe unaibuka na upumbavu mwingine. Tafadhali kama huwezi kuwa focused acha kujadili na mimi.
wewe ndo unaleta upumbavu,maana hakuna point ya maana unaongea hapa,so kwakuwa imeletwa mezani basi we ushaconclude kuwa ni kweli?.
Huoni hata waziri kashitukia..
Ha ha ha,we Tabby ni hopelless case,yaani upoupo tu,no wopndert kila unachoshabikia humu ndani huwa hakizai matunda kwasababu hauko focussed,
ha ha ha,yaani upoupo tuuu,huishughulishi akili kujua lipi liko hivi na lipi liko hivi,
mwita waitara akisema ,"tutaikomboa UDA na kuirudisha kwa wananchi",wewe tayari ushashabikia na kuona kweli,

saa ingine nilikuwa nadhani ni miongoni mwa wale wa Udom,kumbe sijui una degree ya ndalishako
 
Hapo kunatengenezwa uzushi kuzichafua hizo shule hakuna lingine,tunajua upande flani hauna haki hapa tanzania basi tuachieni hata hivyo vichache jamani.
Waturuki ni upande huu unaosema hawana haki. Wao ndio wametoa hizo tuhuma kupitia Balozi wao. Hatujawahi kuwa na tofauti au tuhuma zozote juu ya Feza schools.

F
Wagaratia wanaozungumziwa kwenye biblia ndio Waturuki haswa.. Nadhani waislam wote waeleweni hii jamii ndio tabia yao wakigombana wao kwa wao na wewe una urafiki nao wote wanakuambia uchague upande mmoja. Zama hizo waliitwa watu wapumbavu.

Erdogan anatumia mwanya Wa mapinduzi kuteketeza adui zake wote... Hadi walimu wauza pipi n.k yaani mpango wake sio kuwazuia au kuwafunga Bali kuwanyonga wote... Watatoa msimamo wao soon na hizo shule watazichukua serikali ya Ankara
Fetullah Gulein ni Mturuki tena mwanazuoni Wa kimataifa. Ni mwandishi pia wa Vitabu Na Sheikh. Kwa maneno yako ni Mgalatia Mpumbavu!?!?
 
Waturuki kwa hili waongo... tena wajinga kabisa kwa hili.. sbb wenyewe wameshindwana huko kwao, kisa serikali ilitaka kupinduliwa na wafuasi wa Gullen, na sasa wanataka kuzitaifisha na kufilisi mali zote za Gullen duniani kote...

Huu ni uhuni wa serikali ya Uturuki... Gullen angekuwa gaidi asingepewa hifadhi na U.S.A...

Turkey govnt hovyo kabisa kwa hili..!!
 
Hawa Uturuki si ndiyo walio dondosha ndege ya jeshi la Rusia?
halafu Endorgan kamkamata yule Rubani alieitungua ndege ya russia,kwamba ni gullenist,na alitumwa na marekani,yuko lockup.

Huyo ndo endorgan,anabadirika mda wowote,
sasa ameunda coalition ya vita dhidi ya isis.
Russia,Turkey,iran,syria,iraq,lebanon
 
Chakuongeza ni kwamba huyu BALOZI UCHWARA asingekuwa anakenua mimeno yake leo tanzania na kupata kipupwe cha nguvu kama sio hao waturuki wa feza. Hawa jamaa zamani walikuwa wakitaka viza na mambo ya usafiri hadi waende kenya, wao ndio walioomba serikali yao na yetu kufungua ubalozi hapa tz ili kurahisisha safari na mambo mbalimbali.
Ha ha [emoji38] mkuu hii sio hoja.
Japo najua tuko pamoja.
 
Nimekusoma Mkuu!
Icheki Situation Hii..

Erdogan: Ni Mfuasi Wa Siasa Za Kiarabu, Almost ni Saudia Arabia.

Feitullah: (Mwanamapinduzi) Ni Mfuasi Wa Siasa Za Kimagharibi, Almost Marekani inayomfadhili.

Erdogan: Anawaita Wanamapinduzi Magaidi.

Wanamapinduzi: Wanamwita Erdogan Ni Gaidi anaewafadhili ISIS.

Marekani: Kasaport Kisiri Mapinduzi dhidi ya Erdogan.

Russia: Ndiye Aliyekwamisha Mapinduzi Kwa Kumtonya Erdogan Mchongo Wote Wa Maandalizi.

Jibu Hapo Unalo wewe Mimi Sikusaidii Kuwa Nani Ni Gaidi..

By The Way!!! Hapo Unaweza Jikuta Upo Middle of the War...

Et the End Hivyo ni Vita Kati Ya MAREKANI na URUSI wanavopambana Kidizaini.

Lakini Mbona Turkey ni NATO member?

Kwa lipi USA i-messed up na Turkey? Kwanini USA ASAPOTI.
NA MBONA AnaLYSIS YAKO IKO KAma INAONYESHA KUA;-feitullah ameshirikiana na obama pengine ili kuleta demokrasia kama analysis yako inaunganisha movie.
Na inadaiwa usa imemhifadhi fetullah.
Je huu si ndio uhaini wenyewe wa Fetullah?

Mfano:-
Familia ya kifalme ya Saudi ilikua ina urafiki wa kibiashara na George W. Bush na osama alikua mdau.
Bush anatuhumiwa kukwamisha osama asikamatwe na kuwaondoa kwa siri wasaudia ili wasidhuriwe na wamarekani waliokua na hasira kwa tukio la septemba 11. Lakini mpaka kesho USA HAIKUGOMBANA NA UFALME ULE. Unaodaiwa kua na mkono wake katika shambulio lile.

Back to topic
WHAT IF TURKEY wanafanya kama usa ilivyofanya.

JAPO BINAFSI SI SAPOTI DEMOKRASIA KATIKA HIZO NCHI.
WATAUANA BURE.
Huyo fetullah hajui demokrasia ni anti-religion. Matokeo yake.yatakua mabaya kwa taifa zima
Kuna watu wametulia kwasababu ya udikteta. Ukileta demokrasi utaua taifa zima.
Huyu fetullah wangefungia shule zake tu na akaunt zote ili kumdhibiti.
 
Wagaratia wanaozungumziwa kwenye biblia ndio Waturuki haswa.. Nadhani waislam wote waeleweni hii jamii ndio tabia yao wakigombana wao kwa wao na wewe una urafiki nao wote wanakuambia uchague upande mmoja. Zama hizo waliitwa watu wapumbavu.

Erdogan anatumia mwanya Wa mapinduzi kuteketeza adui zake wote... Hadi walimu wauza pipi n.k yaani mpango wake sio kuwazuia au kuwafunga Bali kuwanyonga wote... Watatoa msimamo wao soon na hizo shule watazichukua serikali ya Ankara
Erdogan naye dikteta uchwara tu!
 
Ugomvi wa gullen na endorgan ulianza mwaka 2013 hasa baada ya wafuasi wa gullen kuibua scandal ya rushwa dhidi ya baadhi ya mawaziri wa endorgan na pia mtoto wa endorgan,hiyo scandal ikapelekea mawaziri wa endorgan kupigwa chini,endorgan akamshutumu gullen kuwa ndo amechochea hiyo scandal ili kumwangusha yeye endorgan.
Scandal ilihusika na baadhi ya maofisa kuvikiuka vikwazo vya kiuchumi dhidi ya iran,vilivyowekwa na marekani,
iligundulika hao maofisa akiwemo mtoto wa endorgan wakifanya biashara na iran kwa siri,kwa kubadilishana mafuta na gase toka iran kwa dhahabu,inawezekana gulen alipewa siri na wamarekani ili alisanue,toka hapo ndo gullen akaitwa ni gaidi wa kuiba siri nyeti na kuzianika hadharani kwa lengo la kumpindua Endorgan.
Gülen was once an ally of President Recep Tayyip Erdoğan, but the relationship fell apart when the latter accused the cleric of “ trying to topple him” in December 2013. Gülen has lived in the U.S. since 1999, when he fled the then-government on “charges of anti-secular activities.”
Reuters readthe indictment, which states the cleric “is the number one suspect among 69 people accused of running a ‘terrorist group’ behind 2013 corruption investigations.” Authorities targeted Erdoğan’s inner circle and led to their dismissal.
All of the suspects face life imprisonment, but Gülen faces a number of additional charges, since authorities believe him to be the mastermind of the alleged terrorist group. The indictment sayshe formed and led the group and obtained “secret information for the aim of political espionage.”
“We have gone into their lairs, and we will go into them again,” Erdoğan declared last year. “Whoever is beside them and behind them, we will bring down this network and bring it to account.”
Authorities have targeted anyone connected to Gülen, which led to failing businesses and people losing their jobs. One of the largest banks in Turkey lost its prominence. Critics of Erdoğan, not necessarily connected to Gülen, accused him of using the controversy “to reshuffle the judiciary system in his favor and crack down on dissent.” Erdoğan has a history of shutting down anyone, including kids, who dares insultor questionhis motives.
 
Nimewahi kusikia kiongozi wa kidini wa uturuki anayeishi marekani fetulla Gullen anamiliki shule nyingi sana hapa duniani yawezekana feza ni mojawapo. Na huyu jamaa inasadikika ndo mfadhili wa mpango wa mapinduzi yaloshindwa.
Hatakamaaaa kwaniii mtoaa bikiraaa n lazimaa awe bwanaharusii wevipi
 
Lakini Mbona Turkey ni NATO member?

Kwa lipi USA i-messed up na Turkey? Kwanini USA ASAPOTI.
NA MBONA AnaLYSIS YAKO IKO KAma INAONYESHA KUA;-feitullah ameshirikiana na obama pengine ili kuleta demokrasia kama analysis yako inaunganisha movie.
Na inadaiwa usa imemhifadhi fetullah.
Je huu si ndio uhaini wenyewe wa Fetullah?

Mfano:-
Familia ya kifalme ya Saudi ilikua ina urafiki wa kibiashara na George W. Bush na osama alikua mdau.
Bush anatuhumiwa kukwamisha osama asikamatwe na kuwaondoa kwa siri wasaudia ili wasidhuriwe na wamarekani waliokua na hasira kwa tukio la septemba 11. Lakini mpaka kesho USA HAIKUGOMBANA NA UFALME ULE. Unaodaiwa kua na mkono wake katika shambulio lile.

Back to topic
WHAT IF TURKEY wanafanya kama usa ilivyofanya.

JAPO BINAFSI SI SAPOTI DEMOKRASIA KATIKA HIZO NCHI.
WATAUANA BURE.
Huyo fetullah hajui demokrasia ni anti-religion. Matokeo yake.yatakua mabaya kwa taifa zima
Kuna watu wametulia kwasababu ya udikteta. Ukileta demokrasi utaua taifa zima.
Huyu fetullah wangefungia shule zake tu na akaunt zote ili kumdhibiti.
inaonekana kuwa Gullen ni plan B ya obama,baada ya arab spring kushindikana,
ukiangalia uislamu wa huyu Gullen ni ule unahimiza elimu,yaani kujenga mashule,inovation,business na ni pro west,
sasa wamarekani walikuwa wanaanda huyu mtu akamate madaraka uturuki baada yua kuona endorgan ni too radical.
Na kutoka uturuki taratibu ushawishi wa uturuki ungeenda unaenea taratibu syria,iraq,yemen,lebanon etc,ambao ungekuwa friendly to west.

Sasa naona deal limefail vibaya sana
 
Hapo kunatengenezwa uzushi kuzichafua hizo shule hakuna lingine,tunajua upande flani hauna haki hapa tanzania basi tuachieni hata hivyo vichache jamani.

Huko uturuki huo upande flani haki zao zinanyang'anywa na nani? watanzania?
 
Wagaratia wanaozungumziwa kwenye biblia ndio Waturuki haswa.. Nadhani waislam wote waeleweni hii jamii ndio tabia yao wakigombana wao kwa wao na wewe una urafiki nao wote wanakuambia uchague upande mmoja. Zama hizo waliitwa watu wapumbavu.

Erdogan anatumia mwanya Wa mapinduzi kuteketeza adui zake wote... Hadi walimu wauza pipi n.k yaani mpango wake sio kuwazuia au kuwafunga Bali kuwanyonga wote... Watatoa msimamo wao soon na hizo shule watazichukua serikali ya Ankara

sikujua asee, ndio maana wagalatia walikua wanafundishwa lakini hawaelewi mpk nguvu ya ziada
 
Waturuki Kwahili Ni Wazushi, Wao Walitaka Kupinduana...
Sasa Mas-ala Yao Ya Kisiasa Wameamua Kumfatilia Kila Mpinzani Anayeishi Hata Kama Nje Ya Nchi Katika Sehemu Yeyote Hile Duniani ikiwemo Tanzania Kumzima Kwa Njia Yoyote hile.
Kwahiyo Wanataka Kuitumia Tanzania Kisiasa Kutaka Kuwazima Wamiliki wa Feza Kwakuwa Chama Kinachotawala Uturuki Kinaamini Kuwa Ni Wapinzani.
Na Kwa Mujibu Wa Uturuki Katika Jitihada Zao Za Kutaka Kuzima Upinzani Basi Wamehukumu Kuwa Kila Mpinzani Basi Kwa Njia Moja au Nyengine Itakuwa Alihusika Katika Mapinduzi.
Sawa na CCM Zanzibar wanavyofanya dhidi ya wapinzani na hasa wapemba sasa Darjani, Soko la Mwanakwerekwe na Fuoni, Kijangwani na hata soko la Machomane fagip la kuwavunjia maduka na magenge yao yameshamiri
 
Vita kama ya Kikwete na Lowassa. Mmoja ana hela sana mwingine ana utawala.

Matokeo yake hata rais wa sasa ni matokeo ya huo mpambano.

Uturuki nako wanaelekea yabhuku kwetu. Gulen ataamua hatma ya uturuki ijayo. Kwa mema au mabaya.
 
Back
Top Bottom