Waziri Mahiga: Serikali ya Uturuki imetuambia wamiliki wa shule za Feza ni magaidi

Mbona mimi nimesoma hiyo shule siyo gaidi?
 
Hizi ndio akili za watu waliofirisika ubongo na kuweza kumuuzia timu muhindi mmoja kwa siku moja wakati babu zenu kwa miaka 80 waliijenga timu hiyo.

Sikuelewi unamaanisha nini.
 
Hapo kunatengenezwa uzushi kuzichafua hizo shule hakuna lingine,tunajua upande flani hauna haki hapa tanzania basi tuachieni hata hivyo vichache jamani.
Unaanzaje kuita uzushi wkt ujafanya research au kwasababu mmefundishwa kila kitu kupinga ata usipoielewa mada
 
al haramaini, al farouq, na sasa Feza. hizi taasisi kumbe zina wafazili huko Torabora?
 
shule za Kanisa unazoponda ndiyo wanao wanasoma
Niwie radhi Mkuu, pamoja na kuwa sikuponda shule yoyote lakini kuhusu mtoto wangu kushiriki kumfurukisha ni jinai na nafsi yangu itanisuta!
 
Niwie radhi Mkuu, pamoja na kuwa sikuponda shule yoyote lakini kuhusu mtoto wangu kushiriki kumfurukisha ni jinai na nafsi yangu itanisuta!

Badala ya kuona unafuu Tupate shule nzuri kama hizo unaanza kuleta ushindani usio na maana we Jamaa Bwana kweli zao la uhayawani
 
Hapo kunatengenezwa uzushi kuzichafua hizo shule hakuna lingine,tunajua upande flani hauna haki hapa tanzania basi tuachieni hata hivyo vichache jamani.
Pepo la udini limekujaa, shule za feza kwani za bakwata au jumuiya ya waislam? We vipi wewe
 
Kusoma hujui hata picha pia zimekushinda kutazama?we kweli hamnazo.
 
Badala ya kuona unafuu Tupate shule nzuri kama hizo unaanza kuleta ushindani usio na maana we Jamaa Bwana kweli zao la uhayawani
Tusi si dawa na hekima ya kujibu hoja ili ni upungufu wa kutafakari na dharau ya kutolielewa fungu lako la jamii yako asili.Pole
 
Pepo la udini limekujaa, shule za feza kwani za bakwata au jumuiya ya waislam? We vipi wewe
Kwani shule za St Mary, St Joseph nk. ni shule za jumuia ya makanisa? si zinamilikiwa na watu binafsi?
 
Mkuu asante sana! Tabia zile zile zilizopelekea Mtume Paulo kuwaandikia barua "kali" bado zingalipo kabla na hata baada ya kugeukia "miungu mingine". "... enyi wagalatia msio na akili ..." bado inawahusu hadi leo maana ndio desturi na utamaduni wao. Sidhani kama baadhi akina FaizaFoxy Kaabah Ritz nasmapesa na wengineo wanajua hii kitu ...
 
H
Kwani shule za St Mary, St Joseph nk. ni shule za jumuia ya makanisa? si zinamilikiwa na watu binafsi?
Hujielewi na wewe , seminary zote za Kanisa ukitoa hizo st nyingine za wasanii. Hivi hamuweI kukaa bila kuhusianisha kila kitu na dini eeh, hovyo kweli, mnashindana na kivuli. Jiaminini
 
Hao Hawana Ulazima Wa Kujua Hayo Kwasababu Ni Uongo Usiofaa Kwa Lolote Bali Unaaminiwa Na Wale BrainWashed tu
 
Hivi hamuweI kukaa bila kuhusianisha kila kitu na dini eeh

Samahani Mkuu! Usidandie Gari Kwa Mbele, Hebu Anza Kupitia Reply #1 uendelee ili ujue Ni Nani na Wa Dini Gani alieanza Kuleta Udini Kwenye Uzi Huu.
Siku Munatengeneza Mazingira Ya Kuwa Muzungumzie Jambo Nyinyi tu, Tukijibu Hoja Munajitetea Kwa Kutuita Wadini!! Kwanini iwe Hivyo???
 
Sima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…