Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
al haramaini, al farouq, na sasa Feza. hizi taasisi kumbe zina wafazili huko Torabora?
Unaanzaje kuita uzushi wkt ujafanya research
"Mtakalofunga Duniani na Mbinguni limefungwa"Wakatoliki utawajua tuu. Wamezoea fitina majungu
Lakini bado hao hao unaowaita wewe Freemasons wanakuongoza na we we huna ubavu wa kukataa kuongoza na wanaamua ww taasisi yako ya kushughulika na imani yako iweje. Teh teh the machozi ya SamakiNi kweli kwani ndio waanzilishi wa freemason duniani. Waliobadili mafundisho sahihi ya Yesu.
Waliokugeuza ukawa mtumwa wa kifkra kwa kila jambo
Punguza hasira. Taarifa inadai baadhi ya waalimu kutumia mbinu za kigaidi kufundishia.Nani kasema dini hapa? Huyo gulan na hao wengine ni dini gani? Kwa nini mnakuwa wapumbavu? Tunaongelea taarifa iliyop mezani ya ugaidi na uhaini, wewe unaibuka na upumbavu mwingine. Tafadhali kama huwezi kuwa focused acha kujadili na mimi.
Hebu thibitishaLakini bado hao hao unaowaita wewe Freemasons wanakuongoza na we we huna ubavu wa kukataa kuongoza na wanaamua ww taasisi yako ya kushughulika na imani yako iweje. Teh teh the machozi ya Samaki
Na sikuwaita mimi. Soma kitabu chenu 'Danieli na siku zetu, Pambano kuu,Utabiri wa mambo yajayo' vyote vya A.WheteLakini bado hao hao unaowaita wewe Freemasons wanakuongoza na we we huna ubavu wa kukataa kuongoza na wanaamua ww taasisi yako ya kushughulika na imani yako iweje. Teh teh the machozi ya Samaki
Thibitisha we uliyesema ni FreemansonsHebu thibitisha
Punguza hasira. Taarifa inadai baadhi ya waalimu kutumia mbinu za kigaidi kufundishia.
Yani mtu akianza tu kuongelea Freemason, nampuuza ,namuona bwege, uwezo mdogo sana wa kufkiria, namhurumia.Ni kweli kwani ndio waanzilishi wa freemason duniani. Waliobadili mafundisho sahihi ya Yesu.
Waliokugeuza ukawa mtumwa wa kifkra kwa kila jambo
unamaanisha wakina aunt nani vile majina fulani vileKama ushoga ulivyo dini fulani
Mkuu Mombasa din gani kwani?Kama ushoga ulivyo dini fulani
Kama al-haramain vile. Wanaanza kuichimbia kaburi taratibu. Kutoka one of the best shule mpaka shule ya ovyo-ovyo.Waturuki wenyewe wanasema FEZA ni magaidi alafu nyie wabongo mnaleta ubishi..... Povu jingi..... Subirini muone
Waturuki wenyewe wanasema FEZA ni magaidi alafu nyie wabongo mnaleta ubishi..... Povu jingi..... Subirini muone
Kama njia za kigaidi ndo zinafanya wafaulu nafikiri njia hizi ni nzuri sanaNadhani Ni Wanafunzi Waliosoma FEZA tu pekeyao Ndiyo Wenye Haki Kamili Hapa Ya Kuja Kututhibitishia Hayo Madai Yaliyotolewa Ya Kuwa Walimu Wanatumia Njia Za Kigaidi Kufundishia Je Ni Kweli? Njooni Mutupe Ushuhuda...