Waziri Makamba afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Eli Cohen

Waziri Makamba afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Eli Cohen

Waliowateka Watanzania ni Hamas. Kwa nini asingeongea na Balozi wa Palestina ili wawaachie ndugu zetu?

Nionavyo, ni rahisi zaidi kwa Watanzania wanaoshikiliwa mateka kutoka salama endapo Hamas wataridhia kuwaachia kuliko Israeli kutumia nguvu kiwaokoa.

Waziri afanye mazungumzo na mamlaka za Palestina kuhusiana na Watanzania waliotekwa na Hamas.
Mamlaka za kipalestina zilizopo inchi hazipo kwenye good terms na Hamas.
Hamas alijichanganya sana kuvamia na kuuwa raia. Hii imepelekea Israeli kumdindia yoyote anayetaka asitishe mashambulizi kwa Hamas
Raia nao wamewekwa mtu kati. Israeli anasema waondoke while Hamas anawazuia. Hamas anatambua kuwa bila raia kuwepo naye hatokuwepo.
 
Back
Top Bottom