Waliowateka Watanzania ni Hamas. Kwa nini asingeongea na Balozi wa Palestina ili wawaachie ndugu zetu?
Nionavyo, ni rahisi zaidi kwa Watanzania wanaoshikiliwa mateka kutoka salama endapo Hamas wataridhia kuwaachia kuliko Israeli kutumia nguvu kiwaokoa.
Waziri afanye mazungumzo na mamlaka za Palestina kuhusiana na Watanzania waliotekwa na Hamas.