Waziri Makamba akutana kwa mazungumzo na Waziri wa Viwanda na Teknolojia ya Juu wa Serikali ya UAE

Hizi habari zipo tokea Juzi hapa? Nikadhani kuna jipya kumbe ni yale yale ya kutafuta furusa za upigaji?
Mkuu Mimi nimeziweka hapa ili kukazia bandiko lang la Jana kuhusu huo uteuzi mpya wa mawaziri wa Mh Samia
Unaweza kulisoma tena
[emoji116]

Mabadiliko Mawaziri tuliingizwa Kingi
 
Shida yako nini!?..uarabu wa imarati au dini zao!?..angekua mzungu ungehara jamvini!?
 
Kwanini makamba anaingilia wizara nyingine? Inamaana wizara ya mazingira Haina waziri?
 
Bandari haziwezi kuporwa maana zitaendelea kuwepo hapo zilipo hata baada ya miaka elfu ijayo !
Ila kwenye madini ndipo unapoweza kuporwa usipokuwa makini maana baada ya miaka kadhaa utabakiwa na mashimo tupu yaliyojaa nyoka !!
Bandari isiyo nufaisha taifa husika kwa muda husika ili kuineemesga Jamii husika!
Ina tofauti gani na iliyoporwa?
 
Arabs wanafanya biashara kwa sasa kwa sababu Wazungu wameamua kwanza waziteketeze pesa zao kwa vita huko Ukraine πŸ‡ΊπŸ‡¦ mpaka ajulikane ni nani mbabe wa Dunia !
Akishapatikana wanarudi kuzitawala Nchi zote za Dunia ya tatu wakiwemo na hao Arabs πŸ™πŸ™πŸ’°
 
Wataliacha taifa likiwa Hoi bin Taaban!
 
Bandari haziwezi kuporwa maana zitaendelea kuwepo hapo zilipo hata baada ya miaka elfu ijayo !
Ila kwenye madini ndipo unapoweza kuporwa usipokuwa makini maana baada ya miaka kadhaa utabakiwa na mashimo tupu yaliyojaa nyoka !!
Kwanini tuliwaonda wakoloni wakati hata wasingeondoka nchi yetu ingeendelea kuwepo kwa miaka 10000000
 
Suala hapa ni kwamba muda si mrefu Mafuta yatakuwa sio issue Duniani kutokana na aidha akiba kuisha huko Ardhini au Pia kutokana na ujio wa matumizi ya Umeme zaidi kwenye vyombo vya moto badala ya Mafuta.
Waarabu wanaona mbali na kuwahi hizi fursa kupitia viongozi walafi na wasiojitambua wa kiafrika.
 
Bandari haziwezi kuporwa maana zitaendelea kuwepo hapo zilipo hata baada ya miaka elfu ijayo !
Ila kwenye madini ndipo unapoweza kuporwa usipokuwa makini maana baada ya miaka kadhaa utabakiwa na mashimo tupu yaliyojaa nyoka !!
Kama kuna mtu mwingine amezichukuwa kwa utapeli na kuzitumia kwa manufaa yake ni nini hicho
 
"Aidha, Mhe. Al Jaber aliahidi kuunga mkono masuala ya kipaumbele ya Tanzania katika Mkutano huo kwa kuzingatia uhusiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na UAE."

Hayo Mahusiano Mazuri ni yapi hapa nchini,Ilhali kuja kwao ndiyo kumechochea kuni za Ufisadi nchini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…