Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mimi nimeziweka hapa ili kukazia bandiko lang la Jana kuhusu huo uteuzi mpya wa mawaziri wa Mh SamiaHizi habari zipo tokea Juzi hapa? Nikadhani kuna jipya kumbe ni yale yale ya kutafuta furusa za upigaji?
Bandari haziwezi kuporwa maana zitaendelea kuwepo hapo zilipo hata baada ya miaka elfu ijayo !Bandari zetu katika hatari ya kuporwa!
Shida yako nini!?..uarabu wa imarati au dini zao!?..angekua mzungu ungehara jamvini!?Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) amekutana na kuzungumza na Waziri wa Viwanda na Tekinolojia ya Juu wa Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Sultan Ahmed Al Jaber Jijini Nairobi, Kenya.
Waziri Makamba amekutana na Mhe. Al Jaber pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabia Nchi unaofanyika Nairobi, Kenya.
Pamoja na mambo mengine, Mhe. Waziri Makamba ameihakikishia UAE kuwa Tanzania itashiriki Mkutano wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP 28) mwezi Disemba 2023, ambapo miongoni mwa masuala itakayoyatilia mkazo ni ufadhili wa miradi ya nishati safi ya kupikia kwa akina mama vijijini.
Aidha, Mheshimiwa Waziri Makamba amesisitiza kuwa Tanzania itaungana na nchi za Afrika na nchi nyingine zinazoendelea duniani, kuhimiza Nchi Wanachama, hususan zilizoendelea kutekeleza ahadi za kupunguza hewa ukaa, kuchangia fedha kwa ajili ya Uhimilivu na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi na upatikanaji wa teknolojia kwa ajili ya jitihada hizo.
Kwa upande wake, Mhe. Sultan Ahmed Al Jaber, aliishukuru Tanzania kwa kuahidi kushiriki Mkutano wa COP 28 na kwamba Umoja wa Falme za Kiarabu umejipanga kuhakikisha Mkutano wa COP 28 unaleta matokeo chanya katika jitihada za kukabiliana na athari za mabadiliko ya Tabianchi Duniani.
Aidha, Mhe. Al Jaber aliahidi kuunga mkono masuala ya kipaumbele ya Tanzania katika Mkutano huo kwa kuzingatia uhusiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na UAE.
Mhe. Al Jaber ni Rais ajaye wa Mkutano wa Cop 28 unaotarajiwa kufanyika Dubai, mwezi Disemba 2023.
#newsupdatemedia2023View attachment 2743874
Pia soma
Mabadiliko Mawaziri tuliingizwa Kingi
Mabadiliko yaliyofanywa na Rais Samia kwenye baraza la Mawaziri.Ni kiini macho. Uhalisia ni kwamba Rais Samia alikusudia na anaendelea kujisimika na kujiimarisha kwa mbinu zozote zile ili kujiwekea mazingira ya ushindi wa urais 2025. Hili kumuweka mkwewe kwenye Tamisemi ni mpango rasmi...www.jamiiforums.com
Mabadiliko Mawaziri tuliingizwa Kingi
Kwanini makamba anaingilia wizara nyingine? Inamaana wizara ya mazingira Haina waziri?Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) amekutana na kuzungumza na Waziri wa Viwanda na Tekinolojia ya Juu wa Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Sultan Ahmed Al Jaber Jijini Nairobi, Kenya.
Waziri Makamba amekutana na Mhe. Al Jaber pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabia Nchi unaofanyika Nairobi, Kenya.
Pamoja na mambo mengine, Mhe. Waziri Makamba ameihakikishia UAE kuwa Tanzania itashiriki Mkutano wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP 28) mwezi Disemba 2023, ambapo miongoni mwa masuala itakayoyatilia mkazo ni ufadhili wa miradi ya nishati safi ya kupikia kwa akina mama vijijini.
Aidha, Mheshimiwa Waziri Makamba amesisitiza kuwa Tanzania itaungana na nchi za Afrika na nchi nyingine zinazoendelea duniani, kuhimiza Nchi Wanachama, hususan zilizoendelea kutekeleza ahadi za kupunguza hewa ukaa, kuchangia fedha kwa ajili ya Uhimilivu na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi na upatikanaji wa teknolojia kwa ajili ya jitihada hizo.
Kwa upande wake, Mhe. Sultan Ahmed Al Jaber, aliishukuru Tanzania kwa kuahidi kushiriki Mkutano wa COP 28 na kwamba Umoja wa Falme za Kiarabu umejipanga kuhakikisha Mkutano wa COP 28 unaleta matokeo chanya katika jitihada za kukabiliana na athari za mabadiliko ya Tabianchi Duniani.
Aidha, Mhe. Al Jaber aliahidi kuunga mkono masuala ya kipaumbele ya Tanzania katika Mkutano huo kwa kuzingatia uhusiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na UAE.
Mhe. Al Jaber ni Rais ajaye wa Mkutano wa Cop 28 unaotarajiwa kufanyika Dubai, mwezi Disemba 2023.
#newsupdatemedia2023View attachment 2743874
Pia soma
Mabadiliko Mawaziri tuliingizwa Kingi
Mabadiliko yaliyofanywa na Rais Samia kwenye baraza la Mawaziri.Ni kiini macho. Uhalisia ni kwamba Rais Samia alikusudia na anaendelea kujisimika na kujiimarisha kwa mbinu zozote zile ili kujiwekea mazingira ya ushindi wa urais 2025. Hili kumuweka mkwewe kwenye Tamisemi ni mpango rasmi...www.jamiiforums.com
Mabadiliko Mawaziri tuliingizwa Kingi
Bandari isiyo nufaisha taifa husika kwa muda husika ili kuineemesga Jamii husika!Bandari haziwezi kuporwa maana zitaendelea kuwepo hapo zilipo hata baada ya miaka elfu ijayo !
Ila kwenye madini ndipo unapoweza kuporwa usipokuwa makini maana baada ya miaka kadhaa utabakiwa na mashimo tupu yaliyojaa nyoka !!
Mkuu much know ... Tunaposema Makamba ni mwizi muwe mnatuelewa.Kwanini makamba anaingilia wizara nyingine? Inamaana wizara ya mazingira Haina waziri?
Wewe umemezwa kwenye kanzu.Shida yako nini!?..uarabu wa imarati au dini zao!?..angekua mzungu ungehara jamvini!?
Arabs wanafanya biashara kwa sasa kwa sababu Wazungu wameamua kwanza waziteketeze pesa zao kwa vita huko Ukraine 🇺🇦 mpaka ajulikane ni nani mbabe wa Dunia !Yale mashirika waliouzia wazawa wakayatelekeza sasa yamefika pake.
Huko Ar ilikuwepo general tairi
huko mbeya ikawepo hi soap, mbeya tex, sido vyombo
Vyote vyote wakapewa watu wakafanya ma godown
Sasa je? Huyu mjomba wa Mheshimiwa kuna kitu atafanya au atanunua viwanda na raia?
And why Arabs only?
Wataliacha taifa likiwa Hoi bin Taaban!Arabs wanafanya biashara kwa sasa kwa sababu Wazungu wameamua kwanza waziteketeze pesa zao kwa vita huko Ukraine [emoji1255] mpaka ajulikane ni nani mbabe wa Dunia !
Akishapatikana wanarudi kuzitawala Nchi zote za Dunia ya tatu wakiwemo na hao Arabs [emoji120][emoji120][emoji383]
Kwanini tuliwaonda wakoloni wakati hata wasingeondoka nchi yetu ingeendelea kuwepo kwa miaka 10000000Bandari haziwezi kuporwa maana zitaendelea kuwepo hapo zilipo hata baada ya miaka elfu ijayo !
Ila kwenye madini ndipo unapoweza kuporwa usipokuwa makini maana baada ya miaka kadhaa utabakiwa na mashimo tupu yaliyojaa nyoka !!
Suala hapa ni kwamba muda si mrefu Mafuta yatakuwa sio issue Duniani kutokana na aidha akiba kuisha huko Ardhini au Pia kutokana na ujio wa matumizi ya Umeme zaidi kwenye vyombo vya moto badala ya Mafuta.Arabs wanafanya biashara kwa sasa kwa sababu Wazungu wameamua kwanza waziteketeze pesa zao kwa vita huko Ukraine [emoji1255] mpaka ajulikane ni nani mbabe wa Dunia !
Akishapatikana wanarudi kuzitawala Nchi zote za Dunia ya tatu wakiwemo na hao Arabs [emoji120][emoji120][emoji383]
Bila chenga kabisaa!Duu huyu jamaa anatumiwa na yule mzee mstaafu kuuza TANGANYIKA kwa waarabu
Kama kuna mtu mwingine amezichukuwa kwa utapeli na kuzitumia kwa manufaa yake ni nini hichoBandari haziwezi kuporwa maana zitaendelea kuwepo hapo zilipo hata baada ya miaka elfu ijayo !
Ila kwenye madini ndipo unapoweza kuporwa usipokuwa makini maana baada ya miaka kadhaa utabakiwa na mashimo tupu yaliyojaa nyoka !!
😂😂😂🔥 UhuRutoHizi abadi mbona zilitakiwa kutolewa na Mkuu wa nchi?
😁🙏Sasa yanetimia yapi?