Waziri Makamba ana "traits" za kuwa Rais baada ya Samia. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

Ndoto gani unaota?

Jambazi na jizi hili?

Hustahili kuwa jf wewe
 
Fisadi mkubwa huyo! Kati ya mawaziri wa hovyo huyu ni namba moja! Umeme umekuwa hovyo nchini! Ni vile tu boss wake naye anakula kwa urefu wa kamba! Vinginevyo hafai kabisa hata ukuu wa wilaya! Labda awe Rais wa Wasafi [emoji3]
 
Tunamnyonga na haki hatumpi...
 
Kiongozi hapa unaiongelea Ikulu gani?
Halafu haya mambo ndio maana hatuendelei
Hivi kwani ni lazima fulani awe Rais jaman?
Hebu acheni hizo Rais HAKUNA amjuaye sio huyo wala yule mwingine
We'll cross the bridge when we reach!!
 
Katika baraza la mawaziri lote waziri wa hovyo ni Makamba. Nadhani umeweka huu uzi ili upate ukweli dhidi yake.
 
Fisadi mkubwa huyo! Kati ya mawaziri wa hovyo huyu ni namba moja! Umeme umekuwa hovyo nchini! Ni vile tu boss wake naye anakula kwa urefu wa kamba! Vinginevyo hafai kabisa hata ukuu wa wilaya! Labda awe Rais wa Wasafi [emoji3]
Huo uhovyo wake na ufisadi uwe unausema ila kupayuka kama Musiba wa Membe sasa anaishia kulia kama mtoto ni upumbavu wenye msukumo wa chuki
 
Eti nini?
Yaani Kigogo14 wa Msoga team?

Kwa hiyo mlimuondoa yule mtu mnayemuita Bush star [emoji93] ili waizi mjipange upya?

Hivi unajua maana rasmi ya kifo cha CCM?

Hivi watanzania woote nchini wewe unatembelea hao vilaza wa kijani tu?

Huongelei watu wasafi ila unaongelea wezi watupu?

Mkishavimbewa na urefu wa kamba huwa mnajipa ndoto za kufikiria kwa niaba ya watanzania wote sio?

Ndio maana mnaidhalilisha CCM kwa sababu ya ujinga na mawazo yenu ya kutumia utumbo kufikiri?

Kwa hiyo mnakawiza katiba mpya ili mjipange upya kuiba na kisha hela hizohizo mzitumie kuiba kura?

Wewe ni mjomba wake shetani binamu wa Ibilisi dada yake Firauni.

Usiwe unatuchokoza wakati hatutaki uchokozi zaidi....

Watu tuna hasira zetu bado......

Commonmwananchi
10101
2022
 
Katika baraza la mawaziri lote waziri wa hovyo ni Makamba. Nadhani umeweka huu uzi ili upate ukweli dhidi yake.
Na mimi nataka uweke huo u hovyo wake vinginevyo chuki binafsi zinakusumbua au hata huelewi unaemchukia kwa sababu gani.

Mimi nilikuwa simkubali Mwendazake hata kidogo na sababu ninaso hadi kesho.
 
Mleta mada upo sahihi kwa mawazo yako. Ikulu si mahali pakukimbilia, lkn kama kuna mtu atakuwa ana shauku ya kufanya hivyo ni lazima watanzania tuhoji , analo dhumuni gani ? Kazi ya urais haipaswi kuwa ya kawaida tu kama marais wa shirikisho.
 
Kuwa Msoga team kuna tatizo? Timu inayotakiwa ni ipi? Acha kuhemka kama unabalehe,njoo kwa hoja.
 
Mkuu The Sunk Cost Fallacy , kwanza naunga mkono hoja, pili asante sana kwa kuliona hili Leo,

Angalia tarehe za mabandiko haya uone sisi wenzio tumemuona lini,





Na kwa wale mtakao pata muda Leo saa 12:30 jioni, tazama ITV msikilize January Makamba akizungumza kwenye kipindi cha "Kwa Maslahi ya Taifa"

p
 
Rais anayemfuata Samia atakuwa ni mkatoliki. Ndiyo historia ya CCM inavyosema, kila awamu inakuja na dini tofauti.
 
Mwepesi sana ukimsikiliza unless labda kwa watu wasioelewa discipline au industry reasoning ya vitu anavyodadavua.

Yaani mpaka upate uwaziri ndio ujue mkataba wa mafuta ulikwamia kwenye commercial agreement na si porojo za mitandaoni. This is why people have always argued hiyo siyo aspect ya mkataba ya kumlilia mwekezaji it’s a timing game who gives in first losses in an impasse situation.

Kwa namna tulivyolilia wawekezaji uitaji kuona wamekubaliana nini kujua tumepigwa. Waingereza wanamsemo ‘it’s only easier, if you know it’.
 
Labuda hawe rahisi wa wasengerema ¡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…