Waziri Makamba avunja Kitengo cha Habari na Mawasiliano TANESCO kwa tuhuma za kushindwa kulisemea Shirika

Waziri Makamba avunja Kitengo cha Habari na Mawasiliano TANESCO kwa tuhuma za kushindwa kulisemea Shirika

Pole kwa Dada Johari kwa kufurumushwa , ila nimeambiwa kwamba huu ni mkakati wa kumrudisha mtu wao pendwa ambaye hana qualifications lakini ni wao na mwana siasa mwenzao. How on earth suala la kukatika kwa umeme liwe ishu ya Kitengo cha Mawasiliano, inamaana kama umeme unakatika kama feni kitengo na chenyewe kila baada ya dakika kumi kitoe taarifa hata kama ni usiku? na wanajua kwamba kukata umemwe ni mchakato lazima waandae plan itangazwe kwa wananchi ndipo watekeleze? Kuna harufu ya uonevu hapa, mzee kipara afanye kazi yake asitafute mbuzi wa kafara. Haya kavunja kitengo mgao kama kawaida kikowapi sasa. Kuna jambo nalifuatilia kwa ukaribu sana kwenye hili sakata kuna mambo yale ya ngoswe penzi kitovu cha uzembe niki confirm naruka nayo fasta.
 
Back
Top Bottom