Hivi umeambiwa mafuta yamefichwa, au umeambiwa meli zilizobeba mafuta zisipofika within 15 days inaweza kusababisha uhaba wa mafuta?!Kazi imeanza mmeshaanza kuhujuma hadi mafuta jamani nchi kama viel amna kiongozi madili kila mahala yameshaamza kutengenezwa
Mkurugenzi wa TPDC pia wapigaji wana mpango wa kumtema. Kumbukeni teuzi za mama za kwanza walimtema saa24 zilizofuata wakamrejesha. Waliona aibu maana waliyemteua hana weledi hata chembe kwenye mambo ya mafuta. Nchi imeshikwa jamani.January Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini. Hakuna sababu ya kuwa na taharuki. Utaratibu wa kuingiza mafuta unahakikisha kwamba mahitaji yapo wakati wote. Serikali inaendelea kuchukua hatua kuongeza uhakika wa upatikanaji na unafuu wa bei.
Akijibu swali la mdau alieuliza mkanganyiko kati ya mkurugenzi wa TPDC na kauli yake kujichanganya, Makamba amesema yake ni Kauli ya uhakika ya Serikali. Mkurugenzi wa TPDC atatoa taarifa kuhusu taarifa yake kwasababu aliitoa kwenye semina ya wanahabari lakini ni gazeti moja tu ndio limeandika.
Pia amemtaka mkurugenzi wa TPDC aende ofisini kutoa maelezo kabla hajachukuliwa hatua za ziada.
Aidha, amesema Dizeli iliyopo kwenye matenki nchini hadi leo asubuhi ni lita milioni 90.7. Meli inayoitwa SLOANE SQUARE muda huu inashusha lita milioni 60.9 hivyo kupelekea mafuta ya dizeli kuongezeka na kuwa lita 151,694,926 yanayotosheleza kwa siku 24.
Petroli iliyopo kwenye matenki nchini hadi leo asubuhi ni lita 100,345,631. Meli iitwayo JAMES COOK inashusha lita 22,493,188; meli iitwayo JAG PUNIT iko njiani na lita 30,579,019 hivyo kupeleka mafuta ya petroli kuongezeka na kuwa lita 153,417,838 yanayotosheleza kwa siku 34
Pia soma > TPDC: Mafuta yaliyopo yatosha siku 15
Mzee James walikuwa wakimtafutia zengwe kwa muda sasa, na amejikwaa hapohapo.James kwa uzalendo wake na kwa u mimi na upigaji wa January kamwe hawezi kudumu pale.
Huyu waziri kilaza tu hana ubavu wa kumgusa huyu DG wa TPDC,kaamua kurupoka tu na bichwa lake kma boga changaJanuary Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini. Hakuna sababu ya kuwa na taharuki. Utaratibu wa kuingiza mafuta unahakikisha kwamba mahitaji yapo wakati wote. Serikali inaendelea kuchukua hatua kuongeza uhakika wa upatikanaji na unafuu wa bei.
Akijibu swali la mdau alieuliza mkanganyiko kati ya mkurugenzi wa TPDC na kauli yake kujichanganya, Makamba amesema yake ni Kauli ya uhakika ya Serikali. Mkurugenzi wa TPDC atatoa taarifa kuhusu taarifa yake kwasababu aliitoa kwenye semina ya wanahabari lakini ni gazeti moja tu ndio limeandika.
Pia amemtaka mkurugenzi wa TPDC aende ofisini kutoa maelezo kabla hajachukuliwa hatua za ziada.
Aidha, amesema Dizeli iliyopo kwenye matenki nchini hadi leo asubuhi ni lita milioni 90.7. Meli inayoitwa SLOANE SQUARE muda huu inashusha lita milioni 60.9 hivyo kupelekea mafuta ya dizeli kuongezeka na kuwa lita 151,694,926 yanayotosheleza kwa siku 24.
Petroli iliyopo kwenye matenki nchini hadi leo asubuhi ni lita 100,345,631. Meli iitwayo JAMES COOK inashusha lita 22,493,188; meli iitwayo JAG PUNIT iko njiani na lita 30,579,019 hivyo kupeleka mafuta ya petroli kuongezeka na kuwa lita 153,417,838 yanayotosheleza kwa siku 34
Pia soma > TPDC: Mafuta yaliyopo yatosha siku 15
Walitaka wale wao tu🤣😂Acheni roho mbaya
Hata saa hii hawana nafikiri isipokuwa vile vya uviko 19 ambavyo wao pia wanadai hawavitambuiwafuasi wa Chadema kama kawaida yao na tabia zao za kigaidi za kutaka nchi iwe ktk taharuki na shida,
muda wote wao wanataka habari mbaya ziikumbe Tanzania.
kweli nimeamini wafuasi wa mboe wana chembe chembe za kihalifu.
ukiwafuatilia wafuasi wa mboe utagundua mara zote kunapokuwa na tatizo kama nchi basi huwa wao wana shangilia sana.
hawa watu ni hatari sana, mwaka 2025 hawafai hata kupata kiti kimoja cha ubunge.
Ma DG kama akina Richard Mwesiga waziri wa UDASO UdomHuyu waziri kilaza tu hana ubavu wa kumgusa huyu DG wa TPDC,kaamua kurupoka tu na bichwa lake kma boga changa
Popatlai ndio wapi wewe mmakonde wa Msumbiji?!!🤣Nasikia Popatlai alifanya yake ya kina Bashite
Hata ukipewa ushahid wa kweli utafanya nin kwa mfanoSasa acheni kutunga stori zenu mkiongozwa na uzandiki na chuki zenu!
Kama mna ushahidi na mnayosema ndo muandike humu
Wewe utakuwa mfanyakazi wa Tanesco kama mimi Camel dua lako likubaliwe nimiliki Camel. Ameen. Mafuta yalishuka mpaka sifuri 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 sasa kwanini Ewura hawakutoa bei elekezi sifuri.Nilitaka Usome alivyosema Mtaalam Dr.Mataragio Kuwa Watakuwa wananunua Moja Kwa moja,Pia Akazungumza Bei ya Mafuta Imwshuka Mpaka Sifuri,Lakini Huku hayashuki,
Waache wataalam wachukue nafasi yao Mkuu,Kama wewe uko Camel oil sijui oryx kuwa Mpole tuu Kaka[emoji3516][emoji41][emoji2]
Yaani hii Issue naifananisha ya Bwawa la Stiegliers,Wengi wanapenda Mradi Ukamilike tupate Umeme wa Nafuu...Ila wengine wenye maslahi yao binafsi/Ya Wachache wanataka tutumie gas kuzalisha Umeme wakati gas ni ghali! Kama Hawana Pa Kuipeleka Gas Waiuze nje au Viwandani.watuachie Umeme wetu wa maji[emoji39]
Yaani Kuna Watu hawataki Tannesco Ijiendeshe kwa faida aisee[emoji3516][emoji15][emoji15][emoji41][emoji119]
Hamna bhana...Yawezekana January yuko pale kwa mission ya kuangalia 'makosa' ya James ili kumpa sababu Chifu Hangaya kumtumbua. Bila shaka unakumbuka SSH alipoingia tu madarakani alimtoa James na wakambandika yule kada wa CCM mweupe kabisa na baada ya umma kupiga kelele na kuweka CV ya yule kada peupe mama akabaini kuwa ameingizwa chaka akamrejesha James baada ya saa 24!
Vv
Naona unataka kuvuka mipaka kiasi cha kupangia watu ni kitu gani wanatakiwa kuandika humu, unless uwe ni mke wa Maxence vinginevyo mahaba yako kwa makamba yanatia wasiwasi sana.Sasa acheni kutunga stori zenu mkiongozwa na uzandiki na chuki zenu!
Kama mna ushahidi na mnayosema ndo muandike humu
Mbona unakomaa na uthinitisho?? Utakuwa ni makamba ww, au mnufaika wake
Halotel kapiga sana na JK hatavhiyo nafasi amepewa na JK sio SSHJanuary kapiga kwenye nini? Weka uthibitisho
Na hiyo reserve iliyopo ya siku 60, kama meli hazitafika katika siku kumi na tano, ujue uhaba utakuwepo. Reserve ni lazima ijaziliwe kila mafuta yanapotumika.Mwisho wa siku mkurugenzi ajue kwa sasa amekalia ‘kuti kavu’ nakala ya gazeti aijatunga uongo wowote na waziri anajua reserve ya mafuta kwa ushauri wa IEA ni miezi mitatu, so 15 days reserve is very risky.
Reserve inatakiwa kuwa 60-90 days ikitokea disruption sehemu moja unakuwa na muda wa kutosha kufuata mahala pengine.
Mfano kesho Iran akianzisha fujo hakuna meli ya mafuta kukatiza ‘strait of Hormuz’, inabidi watu wakimbilie Russia, Venezuela, Brasil na nchi nyingine zenye source kubwa za mafuta na hao watu inabidi waongeze capacity refinery zingine zijipange it takes time.
Sasa sisi reserve yetu ni ya week mbili tu ambayo madhara madogo tu kama natural disaster yatakayofanya meli zishindwe kufika Tanzania yanaweza kupelekea athari kubwa za kiuchumi kwa muda mfupi.
Pamoja na wachangiaji wa JF kwenye ile mada husika kutoelewa hoja ya bwana Mataragio; waziri alielewa sema keshaanza majungu ana mtu wake wa mfukoni ambae ni inexperienced sema ana makelele tu huko twitter wanaposhinda talking nonsense if you ask me.
Angekuwa na washauri wa maana hatua ya kuagiza mafuta kutoka source moja pia ni risk kama mikataba anayotaka kuingia nchi za kiarabu hiyo region is not political stable hakuna mtu anaetegemea mafuta yao 100% because of instability ya eneo lenyewe. Moreover unaweza kuwa mtumwa wao wa siasa ku support agenda UN zao ukizingua upati mafuta ndio maana you need different sources.
😂😂😂James kwa uzalendo wake na kwa u mimi na upigaji wa January kamwe hawezi kudumu pale.
Mwisho wa siku mkurugenzi ajue kwa sasa amekalia ‘kuti kavu’ nakala ya gazeti aijatunga uongo wowote na waziri anajua reserve ya mafuta kwa ushauri wa IEA ni miezi mitatu, so 15 days reserve is very risky.