Waziri Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini, amtaka Mkurugenzi wa TPDC akajieleze kabla hawajachukua hatua

Kazi imeanza mmeshaanza kuhujuma hadi mafuta jamani nchi kama viel amna kiongozi madili kila mahala yameshaamza kutengenezwa
Hivi umeambiwa mafuta yamefichwa, au umeambiwa meli zilizobeba mafuta zisipofika within 15 days inaweza kusababisha uhaba wa mafuta?!
 
January Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini. Hakuna sababu ya kuwa na taharuki. Utaratibu wa kuingiza mafuta unahakikisha kwamba mahitaji yapo wakati wote. Serikali inaendelea kuchukua hatua kuongeza uhakika wa upatikanaji na unafuu wa bei.

Akijibu swali la mdau alieuliza mkanganyiko kati ya mkurugenzi wa TPDC na kauli yake kujichanganya, Makamba amesema yake ni Kauli ya uhakika ya Serikali. Mkurugenzi wa TPDC atatoa taarifa kuhusu taarifa yake kwasababu aliitoa kwenye semina ya wanahabari lakini ni gazeti moja tu ndio limeandika.

Pia amemtaka mkurugenzi wa TPDC aende ofisini kutoa maelezo kabla hajachukuliwa hatua za ziada.

Aidha, amesema Dizeli iliyopo kwenye matenki nchini hadi leo asubuhi ni lita milioni 90.7. Meli inayoitwa SLOANE SQUARE muda huu inashusha lita milioni 60.9 hivyo kupelekea mafuta ya dizeli kuongezeka na kuwa lita 151,694,926 yanayotosheleza kwa siku 24.

Petroli iliyopo kwenye matenki nchini hadi leo asubuhi ni lita 100,345,631. Meli iitwayo JAMES COOK inashusha lita 22,493,188; meli iitwayo JAG PUNIT iko njiani na lita 30,579,019 hivyo kupeleka mafuta ya petroli kuongezeka na kuwa lita 153,417,838 yanayotosheleza kwa siku 34

Pia soma > TPDC: Mafuta yaliyopo yatosha siku 15

Mkurugenzi wa TPDC pia wapigaji wana mpango wa kumtema. Kumbukeni teuzi za mama za kwanza walimtema saa24 zilizofuata wakamrejesha. Waliona aibu maana waliyemteua hana weledi hata chembe kwenye mambo ya mafuta. Nchi imeshikwa jamani.
 
January Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini. Hakuna sababu ya kuwa na taharuki. Utaratibu wa kuingiza mafuta unahakikisha kwamba mahitaji yapo wakati wote. Serikali inaendelea kuchukua hatua kuongeza uhakika wa upatikanaji na unafuu wa bei.

Akijibu swali la mdau alieuliza mkanganyiko kati ya mkurugenzi wa TPDC na kauli yake kujichanganya, Makamba amesema yake ni Kauli ya uhakika ya Serikali. Mkurugenzi wa TPDC atatoa taarifa kuhusu taarifa yake kwasababu aliitoa kwenye semina ya wanahabari lakini ni gazeti moja tu ndio limeandika.

Pia amemtaka mkurugenzi wa TPDC aende ofisini kutoa maelezo kabla hajachukuliwa hatua za ziada.

Aidha, amesema Dizeli iliyopo kwenye matenki nchini hadi leo asubuhi ni lita milioni 90.7. Meli inayoitwa SLOANE SQUARE muda huu inashusha lita milioni 60.9 hivyo kupelekea mafuta ya dizeli kuongezeka na kuwa lita 151,694,926 yanayotosheleza kwa siku 24.

Petroli iliyopo kwenye matenki nchini hadi leo asubuhi ni lita 100,345,631. Meli iitwayo JAMES COOK inashusha lita 22,493,188; meli iitwayo JAG PUNIT iko njiani na lita 30,579,019 hivyo kupeleka mafuta ya petroli kuongezeka na kuwa lita 153,417,838 yanayotosheleza kwa siku 34

Pia soma > TPDC: Mafuta yaliyopo yatosha siku 15

Huyu waziri kilaza tu hana ubavu wa kumgusa huyu DG wa TPDC,kaamua kurupoka tu na bichwa lake kma boga changa
 
wafuasi wa Chadema kama kawaida yao na tabia zao za kigaidi za kutaka nchi iwe ktk taharuki na shida,
muda wote wao wanataka habari mbaya ziikumbe Tanzania.
kweli nimeamini wafuasi wa mboe wana chembe chembe za kihalifu.

ukiwafuatilia wafuasi wa mboe utagundua mara zote kunapokuwa na tatizo kama nchi basi huwa wao wana shangilia sana.
hawa watu ni hatari sana, mwaka 2025 hawafai hata kupata kiti kimoja cha ubunge.
Hata saa hii hawana nafikiri isipokuwa vile vya uviko 19 ambavyo wao pia wanadai hawavitambui
 
James Mataragio huyuhuyu alikumbana na sekeseke la kuondolewa na mwisho kurudishwa kwa kuwa hakuwa na makosa....

Kati ya watu ambao wanaweza kuwa na simulizi za kusisimua juu ya utumishi wa umma ni huyu Dr.Mataragio.......

Je Dr.James Mataragio si sehemu ya serikali ambayo mh.komredi Makamba amenukuliwa akiisemea?!!!!

Siempre JMT
 
Sasa acheni kutunga stori zenu mkiongozwa na uzandiki na chuki zenu!

Kama mna ushahidi na mnayosema ndo muandike humu
Hata ukipewa ushahid wa kweli utafanya nin kwa mfano
Ni wanasiasa wangapi ushahid upo wameiba fedha za umma na bado wako uraiani
Richmond, escrow, meremeta, dowans n.k kote huku watu wametafuna hela umeshaona hata mmojawapo amefungwa
 
Mwisho wa siku mkurugenzi ajue kwa sasa amekalia ‘kuti kavu’ nakala ya gazeti aijatunga uongo wowote na waziri anajua reserve ya mafuta kwa ushauri wa IEA ni miezi mitatu, so 15 days reserve is very risky.

Reserve inatakiwa kuwa 60-90 days ikitokea disruption sehemu moja unakuwa na muda wa kutosha kufuata mahala pengine.

Mfano kesho Iran akianzisha fujo hakuna meli ya mafuta kukatiza ‘strait of Hormuz’, inabidi watu wakimbilie Russia, Venezuela, Brasil na nchi nyingine zenye source kubwa za mafuta na hao watu inabidi waongeze capacity refinery zingine zijipange it takes time.

Sasa sisi reserve yetu ni ya week mbili tu ambayo madhara madogo tu kama natural disaster yatakayofanya meli zishindwe kufika Tanzania yanaweza kupelekea athari kubwa za kiuchumi kwa muda mfupi.

Pamoja na wachangiaji wa JF kwenye ile mada husika kutoelewa hoja ya bwana Mataragio; waziri alielewa sema keshaanza majungu ana mtu wake wa mfukoni ambae ni inexperienced sema ana makelele tu huko twitter wanaposhinda talking nonsense if you ask me.

Angekuwa na washauri wa maana hatua ya kuagiza mafuta kutoka source moja pia ni risk kama mikataba anayotaka kuingia nchi za kiarabu hiyo region is not political stable hakuna mtu anaetegemea mafuta yao 100% because of instability ya eneo lenyewe. Moreover unaweza kuwa mtumwa wao wa siasa ku support agenda UN zao ukizingua upati mafuta ndio maana you need different sources.
 
Mbona Sasa alichokisema makamba kua yanayotarajiwa kuepo yanatosha kwa siku 24 ndicho hicho hicho alichosema Mkurugenzi kua kama meli haitokua imefika ndani ya wiki 2 hizi basi kutakua na uhaba wa mafuta kwakua yaliyopo yanatosha siku 15 tu.Sasa hapo Mkurugenzi anakosa gani na ninani kati ya Mkurugenzi na waziri mwenye taarifa sahihi? Sababu waziri anapokea report kutoka kwa Mkurugenzi.
 
Nilitaka Usome alivyosema Mtaalam Dr.Mataragio Kuwa Watakuwa wananunua Moja Kwa moja,Pia Akazungumza Bei ya Mafuta Imwshuka Mpaka Sifuri,Lakini Huku hayashuki,
Waache wataalam wachukue nafasi yao Mkuu,Kama wewe uko Camel oil sijui oryx kuwa Mpole tuu Kaka[emoji3516][emoji41][emoji2]
Yaani hii Issue naifananisha ya Bwawa la Stiegliers,Wengi wanapenda Mradi Ukamilike tupate Umeme wa Nafuu...Ila wengine wenye maslahi yao binafsi/Ya Wachache wanataka tutumie gas kuzalisha Umeme wakati gas ni ghali! Kama Hawana Pa Kuipeleka Gas Waiuze nje au Viwandani.watuachie Umeme wetu wa maji[emoji39]
Yaani Kuna Watu hawataki Tannesco Ijiendeshe kwa faida aisee[emoji3516][emoji15][emoji15][emoji41][emoji119]
Wewe utakuwa mfanyakazi wa Tanesco kama mimi Camel dua lako likubaliwe nimiliki Camel. Ameen. Mafuta yalishuka mpaka sifuri 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 sasa kwanini Ewura hawakutoa bei elekezi sifuri.
 
Yawezekana January yuko pale kwa mission ya kuangalia 'makosa' ya James ili kumpa sababu Chifu Hangaya kumtumbua. Bila shaka unakumbuka SSH alipoingia tu madarakani alimtoa James na wakambandika yule kada wa CCM mweupe kabisa na baada ya umma kupiga kelele na kuweka CV ya yule kada peupe mama akabaini kuwa ameingizwa chaka akamrejesha James baada ya saa 24!

Vv
Hamna bhana...

Ile ya kumtoa James was just a stupid mistake kwa sababu hata kama kweli walitaka kumtoa, wasingemweka yule mshikaji... NEVER!!

Na kama mnaamini SSH ni kivuli cha JK, how come tena wamwondoe mtu wa JK?! Msisahau, James alichomolewa US na Kikwete.

To be honest, hata mimi nilishangaa kwanini James aliacha kazi mzuri kabisa US, na kukubali uteuzi utakaomfanya kuwajibika kwa wanasiasa!! Sema ndo vile tena, JK mjanja mjanja sana... sijui alimwambia nini, James akapiga chini kazi yake US, akarudi!!

Na hofu yangu hiyo ikaja kutimia alipoingia Magufuli kwa sababu watu wake walimwambia watu wa Kikwete ni mafisadi watupu, James nae akatumbuliwa.

Nadhani baadae JPM akagundua kwamba alichemka, ndipo alipomrudisha tena madarakani!!
 
Sasa acheni kutunga stori zenu mkiongozwa na uzandiki na chuki zenu!

Kama mna ushahidi na mnayosema ndo muandike humu
Naona unataka kuvuka mipaka kiasi cha kupangia watu ni kitu gani wanatakiwa kuandika humu, unless uwe ni mke wa Maxence vinginevyo mahaba yako kwa makamba yanatia wasiwasi sana.
 
Mbona unakomaa na uthinitisho?? Utakuwa ni makamba ww, au mnufaika wake

FE3B8B35-BDFB-45DC-BA35-22B033C512F2.jpeg
 
Mwisho wa siku mkurugenzi ajue kwa sasa amekalia ‘kuti kavu’ nakala ya gazeti aijatunga uongo wowote na waziri anajua reserve ya mafuta kwa ushauri wa IEA ni miezi mitatu, so 15 days reserve is very risky.

Reserve inatakiwa kuwa 60-90 days ikitokea disruption sehemu moja unakuwa na muda wa kutosha kufuata mahala pengine.

Mfano kesho Iran akianzisha fujo hakuna meli ya mafuta kukatiza ‘strait of Hormuz’, inabidi watu wakimbilie Russia, Venezuela, Brasil na nchi nyingine zenye source kubwa za mafuta na hao watu inabidi waongeze capacity refinery zingine zijipange it takes time.

Sasa sisi reserve yetu ni ya week mbili tu ambayo madhara madogo tu kama natural disaster yatakayofanya meli zishindwe kufika Tanzania yanaweza kupelekea athari kubwa za kiuchumi kwa muda mfupi.

Pamoja na wachangiaji wa JF kwenye ile mada husika kutoelewa hoja ya bwana Mataragio; waziri alielewa sema keshaanza majungu ana mtu wake wa mfukoni ambae ni inexperienced sema ana makelele tu huko twitter wanaposhinda talking nonsense if you ask me.

Angekuwa na washauri wa maana hatua ya kuagiza mafuta kutoka source moja pia ni risk kama mikataba anayotaka kuingia nchi za kiarabu hiyo region is not political stable hakuna mtu anaetegemea mafuta yao 100% because of instability ya eneo lenyewe. Moreover unaweza kuwa mtumwa wao wa siasa ku support agenda UN zao ukizingua upati mafuta ndio maana you need different sources.
Na hiyo reserve iliyopo ya siku 60, kama meli hazitafika katika siku kumi na tano, ujue uhaba utakuwepo. Reserve ni lazima ijaziliwe kila mafuta yanapotumika.
 
Mwisho wa siku mkurugenzi ajue kwa sasa amekalia ‘kuti kavu’ nakala ya gazeti aijatunga uongo wowote na waziri anajua reserve ya mafuta kwa ushauri wa IEA ni miezi mitatu, so 15 days reserve is very risky.

Reserve inatakiwa kuwa 60-90 days ikitokea disruption sehemu moja unakuwa na muda wa kutosha kufuata mahala pengine.

Mfano kesho Iran akianzisha fujo hakuna meli ya mafuta kukatiza ‘strait of Hormuz’, inabidi watu wakimbilie Russia, Venezuela, Brasil na nchi nyingine zenye source kubwa za mafuta na hao watu inabidi waongeze capacity refinery zingine zijipange it takes time.

Sasa sisi reserve yetu ni ya week mbili tu ambayo madhara madogo tu kama natural disaster yatakayofanya meli zishindwe kufika Tanzania yanaweza kupelekea athari kubwa za kiuchumi kwa muda mfupi.

Pamoja na wachangiaji wa JF kwenye ile mada husika kutoelewa hoja ya bwana Mataragio; waziri alielewa sema keshaanza majungu ana mtu wake wa mfukoni ambae ni inexperienced sema ana makelele tu huko twitter wanaposhinda talking nonsense if you ask me.

Angekuwa na washauri wa maana hatua ya kuagiza mafuta kutoka source moja pia ni risk kama mikataba anayotaka kuingia nchi za kiarabu hiyo region is not political stable hakuna mtu anaetegemea mafuta yao 100% because of instability ya eneo lenyewe. Moreover unaweza kuwa mtumwa wao wa siasa ku support agenda UN zao ukizingua upati mafuta ndio maana you need different sources.

Waarabu hata hivyo wanazalisha crude oil tu. Na wanafanya refinery kidogo sana kwa matumizi yao ya ndani. Waarabu hawauzi sana mafuta yaliyo tayari kwa matumizi. Nafikiri Makamba atakuwa ametuingiza chaka hata ktk hilo.
 
Back
Top Bottom