Nyumbu ni babako na mamako
Mimi nadhani alitaka kuweka worse case scenario kwamba ikitokea meli haijafika ila alikosea sababu bulk system ndio wanajukumu hilo kuhakikisha wale walioshinda tender wanaleta kwa wakati na hii imekuwa toka 2012 sasa mkurugenzi wa TPDC hii sio kazi yake kusemea serikali nadhani ameshajuwa kuna chance TPDC wakarudishiwa wao wawe kama waagizaji pekee kitu ambacho hakitatokea wameshanusa ulaji sasa wamefufuka. Kwa kauli hii mkuregenzi wa TPDC kaingilia mamlaka sio yake kabisa maana hata yeye na kampuni yake wameshinda tender kwa kushindana na wengine hawakupewa tu kama zawadi. Waziri yuko sahihi jamaa kachemka ila naamini hakuwa na nia mbaya ila hakuliweka sawa na vile waandishi wetu hawa wanadaka moja baya tu.
Anamtafutia visa na atatoka. James atoke aende akatumikie wazungu sio blacks roho koroshoJames kwa uzalendo wake na kwa u mimi na upigaji wa January kamwe hawezi kudumu pale.
Wewe mwenywe ni kazi maana kwa jinsi unavyo tuhudumia hapa mkwajuni inaridhishaDogo akili zikikurudia nakutafutia kazi ya kufanya la sivyo ntakuacha ufe njaa...
Hakuna mafuta yanauzwa visimani, kuna watu wana produce crude wanauza crude tu na wako wana refine products ni biashara nyingine kabisa sasa huwa nashangaa hizi kauli za kupotosha watu tunanunua visimani moja kwa moja. Ungeniambia kuwa tanzania wana refinery hapo ningekuelewa maana ungenunua crude direct lakini ku refine crude upate products ni gharama pia kuna process ndefu na ya gharama. Hapo unamaanisha kununua refinery direct labda ila kumbuka hakuna biashara ya direct wako mawakala ndio kazi yao kwa hiyo hakuna ukweli wowote tunanunua direct mafuta yanapanda dunia nzima. Wao wana kodi zaidi ya 10 unategemea nini? Huwezi ku control bei ya mafuta ni soko linaamua tatizo liko katika system ya uagizaji mafuta nchini limekaa kijamaa zaidi sio kiushindani. Mzigo mnaleta nyinyi na bulk system yenu bei elekezi inatolewa na serikali kulaumu una mlaumu mfanya biashara wakati bei mmepanga nyinyi na huwa wanasema bei itakuwa hivi sababu bei imepanda duniani.Kuna Vitu umeongea sahihi vingine kama Unatak kupotosha...
Tpdc watanunua Mojoa kwa moja toka Visimani,Hivyo hakuna Mtu kati,Na Bei itakuwa chini,Sasa haya Makampuni yakikuwa yakiagiza Bei inakuwa juu tuuu hata Kama Bei kule wanakununulia Iko chini”
Mwisho wa Kunukuu
Wewe msovieti ulikuwa na haja ya kumuita huyu mkuu kilaza?Dr Bashiru alikuwa waziri wa wizara gani kilaza mkubwa ww
USSR
Hahahahah ni kweli uhuru wa kuongea pumba ulikuwa hamna! Kwa sasa uhuru huo umeruhusiwaHahaha,si muda kuna TEAM MAMA ANAUPIGA MWINGI mmoja eti alinijibu,HAKUKUA na UHURU wa kuongea.Daah aiseee tutaona mengi sana Sasa hivi
Hakuna mafuta yanauzwa visimani, kuna watu wana produce crude wanauza crude tu na wako wana refine products ni biashara nyingine kabisa sasa huwa nashangaa hizi kauli za kupotosha watu tunanunua visimani moja kwa moja. Ungeniambia kuwa tanzania wana refinery hapo ningekuelewa maana ungenunua crude direct lakini ku refine crude upate products ni gharama pia kuna process ndefu na ya gharama. Hapo unamaanisha kununua refinery direct labda ila kumbuka hakuna biashara ya direct wako mawakala ndio kazi yao kwa hiyo hakuna ukweli wowote tunanunua direct mafuta yanapanda dunia nzima. Wao wana kodi zaidi ya 10 unategemea nini? Huwezi ku control bei ya mafuta ni soko linaamua tatizo liko katika system ya uagizaji mafuta nchini limekaa kijamaa zaidi sio kiushindani. Mzigo mnaleta nyinyi na bulk system yenu bei elekezi inatolewa na serikali kulaumu una mlaumu mfanya biashara wakati bei mmepanga nyinyi na huwa wanasema bei itakuwa hivi sababu bei imepanda duniani.
Nadhan James anachokesema ni sahii ila wakina wizara wanaleta siasa watz hatuwez kusonga mbale kwa kuendelea kuwa na watu wale wale wenye mawaz yale wanaobebwa na ccm na hawajachaguliwa na wananchi wapewa tu vyeo tunahitaji katiba mpyaJanuary Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini. Hakuna sababu ya kuwa na taharuki. Utaratibu wa kuingiza mafuta unahakikisha kwamba mahitaji yapo wakati wote. Serikali inaendelea kuchukua hatua kuongeza uhakika wa upatikanaji na unafuu wa bei.
Akijibu swali la mdau alieuliza mkanganyiko kati ya mkurugenzi wa TPDC na kauli yake kujichanganya, Makamba amesema yake ni Kauli ya uhakika ya Serikali. Mkurugenzi wa TPDC atatoa taarifa kuhusu taarifa yake kwasababu aliitoa kwenye semina ya wanahabari lakini ni gazeti moja tu ndio limeandika.
Pia amemtaka mkurugenzi wa TPDC aende ofisini kutoa maelezo kabla hajachukuliwa hatua za ziada.
Aidha, amesema Dizeli iliyopo kwenye matenki nchini hadi leo asubuhi ni lita milioni 90.7. Meli inayoitwa SLOANE SQUARE muda huu inashusha lita milioni 60.9 hivyo kupelekea mafuta ya dizeli kuongezeka na kuwa lita 151,694,926 yanayotosheleza kwa siku 24.
Petroli iliyopo kwenye matenki nchini hadi leo asubuhi ni lita 100,345,631. Meli iitwayo JAMES COOK inashusha lita 22,493,188; meli iitwayo JAG PUNIT iko njiani na lita 30,579,019 hivyo kupeleka mafuta ya petroli kuongezeka na kuwa lita 153,417,838 yanayotosheleza kwa siku 34
Pia soma > TPDC: Mafuta yaliyopo yatosha siku 15
Huoni wafuasi wa mboe walivyo furahia na kejeli juu baada ya Askari 3 kuuwawa na Gaidi Hamza?Kumbe hata Hamza alikuwa ni mwana cdm?
Hii sio habari mpya toka 2012 hatujawahi kuwa na akiba ya miezi sababu vendor wanabadilika kila mwezi wa kuleta mafuta na meli zinaingia kwa muda yakitoka inakuja meli nyingine inajazia hakuna habari mpya. Labda unataka kusema wanataka kuweka reserve ya nchi kama ni hivyo waweke lakini wanapesa ya kutumbukiza kuweka akiba? msidanganywe na hawa wana siasa nchi hii haijawahi kuwa na zaidi ya akiba ya mwezi.TPDC: Mafuta yaliyopo yatosha siku 15
TPDC: Mafuta yaliyopo yatosha siku 15
Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dk. James Mataragio, alibainisha hayo jana mkoani Dar es Salaam, akitafsiri kwamba ni hali inayoiweka nchi katika hali ya hatari endapo hatua zinazokwenda kuchukuliwa hazitafanikiwa. “Hivi karibuni kumekuwa na upandaji wa bei ya mafuta na hii inatishia usalama wa...www.jamiiforums.com
Hii sio habari mpya toka 2012 hatujawahi kuwa na akiba ya miezi sababu vendor wanabadilika kila mwezi wa kuleta mafuta na meli zinaingia kwa muda yakitoka inakuja meli nyingine inajazia hakuna habari mpya. Labda unataka kusema wanataka kuweka reserve ya nchi kama ni hivyo waweke lakini wanapesa ya kutumbukiza kuweka akiba? msidanganywe na hawa wana siasa nchi hii haijawahi kuwa na zaidi ya akiba ya mwezi.
Pumbaf chawa wa sukuma gangHuoni wafuasi wa mboe walivyo furahia na kejeli juu baada ya Askari 3 kuuwawa na Gaidi Hamza?
chunguza utaona kuwa kila tukio baya linalo wakumba askari au viongozi au nchi kwa ujumla utakuta wafuasi wa mboe wanafurahia na kukejeli.
hiyo ndio dalili tosha kuwa kazi mbaya ya kupandikiza vitendo vya kihalifu lilifanywa na Mwenyekiti wao.
Hamza naona tayari mshamsahau mwenzenu.Zandrano Yuko sahihi machadema ni magaidi mkiongozwa na gaidi mbowe [emoji23][emoji1787]
Mbona bei ineshuka Mwezi wote huuKwa nini bei ya mafuta inapanda?
Yaani wasilipe kodi kwa sababu ganiKampuni ya simu ya Halotel ni ya January Makamba na JK . Kampuni hii hailipi kodi na imewekeza minara yao kwenye maeneo ya taasisi za serikalu mfano shule za serikali, bure na hawalipi kodi ya pango popote waliopoweka minara. Wizi mkubwa huu