Ndio tuseme na usafiri wa umma na binafsi nao utasimama?
Wafanyakazi maofisini na wanafunzi mashuleni wataendaje?
Au serikali itoe likizo ya muda mfupi kwa wote mpaka pale mafuta yatakaporejea?
Haya mambo ya ajabu ajabu huanza pale ambapo taifa linakuwa na kiongozi toka ukanda wa Pwani, bahati mbaya na waziri husika nae ana tabia za kijanja janja tu.
Mafuta yakiwa machache maana yake kuna uwezekano mkubwa yakapanda bei, yakipanda bei na nauli zitaongezeka, gharama za maisha zinazidi kupanda kila siku