johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ndiyo maana Jiwe aliwafurumusha. Eti naye huyu ni waziri. hana sifa ila anabebwa na UCCM wa baba yakeWaziri wa Nishati January Makamba amemshukuru Rais Samia kwa kuwapa tsh 500bil kwa ajili ya ukarabati wa Miundo mbinu ya Umeme, jumla ya Fedha inayohitajika ni zaidi ya tsh trillion 1
Makamba amesema iwe Mjini au Kijijini Gharama za kuunganisha Umeme wanazotumia Tanesco ni tsh 800,000
Source ITV Dakika 45
Wale wapumbavu waliosema umeme wa REA NA ELIMU BURE BADO VIPO WAPO WAPI tuliwaambia kuwa SA100 hana akili yoyote ya kuongoza hata nguruwe wakabishaWaziri wa Nishati January Makamba amemshukuru Rais Samia kwa kuwapa tsh 500bil kwa ajili ya ukarabati wa Miundo mbinu ya Umeme, jumla ya Fedha inayohitajika ni zaidi ya tsh trillion 1
Makamba amesema iwe Mjini au Kijijini Gharama za kuunganisha Umeme wanazotumia Tanesco ni tsh 800,000
Source ITV Dakika 45
Juzijuzi katembeteza mitungi midogo ya gesi ya kupikia huko Musoma kupunguza gharama kubwa nishati ya umeme huko vijijini? Leo yamekuwa Haya? Au nasema uwongo Bwashe?Waziri wa Nishati January Makamba amemshukuru Rais Samia kwa kuwapa tsh 500bil kwa ajili ya ukarabati wa Miundo mbinu ya Umeme, jumla ya Fedha inayohitajika ni zaidi ya tsh trillion 1
Makamba amesema iwe Mjini au Kijijini Gharama za kuunganisha Umeme wanazotumia Tanesco ni tsh 800,000
Source ITV Dakika 45
Lakini si kuna aliyemteua? Mlaumu aliyemteua, isipokuwa awe amejiteua mwenyewe.Ndiyo maana Jiwe aliwafurumusha. Eti naye huyu ni waziri. hana sifa ila anabebwa na UCCM wa baba yake.
Waziri wa Nishati January Makamba amemshukuru Rais Samia kwa kuwapa tsh 500bil kwa ajili ya ukarabati wa Miundo mbinu ya Umeme, jumla ya Fedha inayohitajika ni zaidi ya tsh trillion 1
Makamba amesema iwe Mjini au Kijijini Gharama za kuunganisha Umeme wanazotumia Tanesco ni tsh 800,000
Source ITV Dakika 45
Hivi ni kweli enzi za Jiwe watu walikuwa wanavutiwa umeme kwa shilingi madafu 27k? Yani 12 USD. Is it really true maamae?!Ndoto za mwananchi wa kawaida kuvuta umeme basi tena
Magufuli heshima kwake kwa hili la wananchi kuvuta umeme kwa 27,000
Kwani bei ni shilingi ngapi GT wa JF?This is rubbish! Ndiyo maana Jiwe aliwafurumusha. Eti naye huyu ni waziri. hana sifa ila anabebwa na UCCM wa baba yake., Rubbish!
Hivi ni kweli enzi za Jiwe watu walikuwa wanavutiwa umeme kwa shilingi madafu 27k? Yani 12 USD. Is it really true maamae?!
Extrovert ( kala ban mods mnamuonea Sana huyu Mwamba)
Hivi ni kweli enzi za Jiwe watu walikuwa wanavutiwa umeme kwa shilingi madafu 27k? Yani 12 USD. Is it really true maamae?!
Extrovert ( kala ban mods mnamuonea Sana huyu Mwamba)
Asee imefikia huku?Nitaamini nikiona mchanganuo.Waziri wa Nishati January Makamba amemshukuru Rais Samia kwa kuwapa tsh 500bil kwa ajili ya ukarabati wa Miundo mbinu ya Umeme, jumla ya Fedha inayohitajika ni zaidi ya tsh trillion 1
Makamba amesema iwe Mjini au Kijijini Gharama za kuunganisha Umeme wanazotumia Tanesco ni tsh 800,000
Source ITV Dakika 45