FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,820
Wameshindwa nini na wapi?JPM aliwezaje na hawa washindwe?
Wameshindwa nini na wapi?JPM aliwezaje na hawa washindwe?
Hivi uliwahi lipia gharama za mtandao wa simu? Huu umeme hatuutumii bure!! Tuna lipa kila mwezi. Tanesco wana takiwa wasambaze mitandao yao free if charge. Na sio mteja alipie gharama za kumletea umeme halafu kila mwezi naulipia. Viongozi acheni kutuona sisi mabwege.Waziri wa Nishati January Makamba amemshukuru Rais Samia kwa kuwapa tsh 500bil kwa ajili ya ukarabati wa Miundo mbinu ya Umeme, jumla ya Fedha inayohitajika ni zaidi ya tsh trillion 1
Makamba amesema iwe Mjini au Kijijini Gharama za kuunganisha Umeme wanazotumia Tanesco ni wastani wa tsh 800,000
Source ITV Dakika 45
Mytake Baada ya ufafanuzi wa Tanesco ni wazi Shirika linatumia Gharama kubwa kuwasambazia Umeme Wananchi ikilinganishwa na kile mteja anachochangia
Ndio wanataka uende huko kwenye solar, ndio biashara zao hao watu wa kulamba asali, watanzania kazi tunayo mpaka 2025 tutakuwa tumeyonywa mpaka damuNadhani Hizo ni gharama wanazotumia Tanesco, shirika ni la Uma linalotumia Tozo na kodi zetu. Pia kila tunaponunua imeme tunakatwa rea, so Waziri atulize kichwa, in fact umeme ulipaswa tuunganishiwe Bure.
Wakihaimisha hiyo laki 8 kwa mfungaji, Tutarudi kwenye sola Mkopo.
Kuunganisha umeme kwa kiasi cha tshs 27000 kama JPM alivyoweza.Wameshindwa nini na wapi?
Elfu 27 kama JPMTupe wewe basi gharama uzijuazo.
Linajiendesha kibiashara, lakini naona hawataki kuweka mfumo utaoonesha faida na hasara kiwepesi. Linaendeshwa kiukiritimba. Sahau kuona likipata faida kwa mfumo uliopo sasa.Hivi hili Shirika halijiendeshi kwa faida au kibiashara?
Licha ya mabaya ya ngosha ila alikuwa na mazuri mengi tu, moja kubwa ni suala la umeme, elfu 27 was real ila wenzangu na mimi mnaounga umeme sasa hivi kazi mnayoNdio ni kweli
Kama aliweza kwani hawa wanaoshindwa kupatiwa sasa umeme kwa 27,000 hawakuwepo wakati wa Magufuli? Kwanini na wao wasiwe nao?Kuunganisha umeme kwa kiasi cha tshs 27000 kama JPM alivyoweza.
Na umeuliza wapi? Jibu: nyumba za wananchi.
Ndio na mimi nimeuliza sijapata majibuKama aliweza kwani hawa wanaoshindwa kupatiwa sasa umeme kwa 27,000 hawakuwepo wakati wa Magufuli? Kwanini na wao wasiwe nao?
Mbona wengine hawana mpaka leo?Elfu 27 kama JPM
Walizembea wakijua watoza TOZO wasingekuja.Mbona wengine hawana mpaka leo?
Bei inawahusu chadema tu sisi wanaccm tutaendelea ni 27,000/Ndoto za mwananchi wa kawaida kuvuta umeme basi tena
Magufuli heshima kwake kwa hili la wananchi kuvuta umeme kwa 27,000
Kosa lake nn mkuu?This is rubbish! Ndiyo maana Jiwe aliwafurumusha. Eti naye huyu ni waziri. hana sifa ila anabebwa na UCCM wa baba yake., Rubbish!
Kama waliweza kujenga kibanda hata kunyosha miguu ni vigumu kwa tshs 13 million basi haya mengine kwao yanawezakana mkuu.Leo ikitokea sensa ikatoa taarifa, jumla ya wakuu wa kaya ni milioni kumi na jumla ya wategemezi ni milioni sitini.
Alafu, mtu anajitokeza anasema kila Mtanzania amesensabika kwa gharama ya shilingi elfu 6+, wakati kiuhalisia watu waliosensabika ni wale milioni kumi tu kwasababu wao ndio waliotoa taarifa za wategemezi wao. CCM wanatuibia sana hapa maana wao wanasema kila Mtanzania aliyepo nchini amehesabiwa kwa gharama ya elfu 6+ huuu ni uhuni.
Ni sawa na huyo Makamba aseme umeme kwa kila nyumba ni laki 8, si kweli. Hawa watu kiufupi ni kwamba wameshiba makande.
Hizo gharama zinajumuisha nini? Watuwekee aina ya kila kifaa na bei yake ili ku-justify hizo gharama anazosema, tutazilipa.Waziri wa Nishati January Makamba amemshukuru Rais Samia kwa kuwapa tsh 500bil kwa ajili ya ukarabati wa Miundo mbinu ya Umeme, jumla ya Fedha inayohitajika ni zaidi ya tsh trillion 1
Makamba amesema iwe Mjini au Kijijini Gharama za kuunganisha Umeme wanazotumia Tanesco ni wastani wa tsh 800,000
Source ITV Dakika 45
Mytake Baada ya ufafanuzi wa Tanesco ni wazi Shirika linatumia Gharama kubwa kuwasambazia Umeme Wananchi ikilinganishwa na kile mteja anachochangia
Nobody will pay that sum in the village. Wajenge miundombinu then watu walipie service through kila unaponunua umemeUsilete Siasa kwenye mambo muhimu
Hii lugha ya Rais kawapa fedha sijui itaisha lini! Ni tatizo ambalo tumelizalisha na kulizoesha. Why tusiseme serikali? Hata kama ni kodi zetu mnasema Rais.Waziri wa Nishati January Makamba amemshukuru Rais Samia kwa kuwapa tsh 500bil kwa ajili ya ukarabati wa Miundo mbinu ya Umeme, jumla ya Fedha inayohitajika ni zaidi ya tsh trillion 1
Makamba amesema iwe Mjini au Kijijini Gharama za kuunganisha Umeme wanazotumia Tanesco ni wastani wa tsh 800,000
Source ITV Dakika 45
Mytake Baada ya ufafanuzi wa Tanesco ni wazi Shirika linatumia Gharama kubwa kuwasambazia Umeme Wananchi ikilinganishwa na kile mteja anachochangia