Linajiendesha kibiashara, lakini naona hawataki kuweka mfumo utaoonesha faida na hasara kiwepesi. Linaendeshwa kiukiritimba. Sahau kuona likipata faida kwa mfumo uliopo sasa.
Biashara ya kufua, kusafirishà na kutawanya umeme kwa nchi kubwa kama Tanzania, sio ya mtaji mdogo.
Mimi naishauri serikali wangelikata kata hili Shirika liwe vishirika vingi vya umeme, wangeanza kuvikata kwa mikoa.
Baadae wakate kwa vitengo, wafuaji umeme wawe Shiraka la kila panapofuliwa umeme, wasambazaji wawe kishirika cha kusambaza kwa mkoa husika tu.
Dah, tuna safari ndefu sana ya kwenda.