Waziri Makamba: Iwe Mjini au Kijijini Gharama wanayatumia Tanesco kumuingizia mtu umeme ni Tsh 800,000

Waziri Makamba: Iwe Mjini au Kijijini Gharama wanayatumia Tanesco kumuingizia mtu umeme ni Tsh 800,000

Nchi imechukuliwa na wenyewe na kamwe hawataruhusu hawatapewa tena nafasi nchi hii
Kwa mara ya kwanza CCM inaenda kushinda uchaguzi 2025 kama tutafika huko, nchi nyingi palitokea mapinduzi ni sababu ya mambo kama hya

Wenye nchi ni sisi Raia sio hao mazwawa,nchi haimilikiwi na kikundi kidogo cha wahuni
 
Kuunganisha umeme kwa kiasi cha tshs 27000 kama JPM alivyoweza.

Na umeuliza wapi? Jibu: nyumba za wananchi.
We kweli msukule wa mwendazake, Bei ya 27000 Rais wasasa ndio alishusha, muwe na kumbukumbu wajinga nyie.

Huyo jpm utadhani kawa mungu wenu
 
Dah....Hivi kweli imeshindika kabisa kuongea na wenzetu wakamchukua mtu wao na sisi tumchukue wetu? Kweli? 🤭
 
Chiizi wewe, umeme kwa Bei ya 27000, SAMIA ndio alishusha, muwe na kumbukumbu nyie wafuasi wa mwendazake
Mara nyingi unaingia kwenye mijadala ambayo pengine unakua huna taarifa za kutosha kidogo, anayway hii Bei ya 27000 ilianza mwaka wa fedha 2018/2019. Ila ikiwa mama Samia ameona ni ndogo Sana na Kuna changamoto zingine basi alikuwa sahihi kuiondoa. Sioni shida hii Bei kuondolewa na mama Samia ikiwa Kuna kitu aliona hakipo sawa
Screenshot_20220904-112806_1.jpg
 
View attachment 2345314
Acha uongo wako, ghalama ya kuunganisga umeme kwa 27000 Samia ndio alishusha kutoka laki tatu na 21, wenzio tulishavuta kwa Bei hiyo ya 27000 kwahiyo tuna uhakika na tusemacho bibie
 
Acha uongo wako, ghalama ya kuunganisga umeme kwa 27000 Samia ndio alishusha kutoka laki tatu na 21, wenzio tulishavuta kwa Bei hiyo ya 27000 kwahiyo tuna uhakika na tusemacho bibie
Ngoja nikuulize hili swali, aliishusha lini na akairudisha laki 3 lini. Tuanzie hapo maana nimekuwekea taarifa rasmi bado hujaiamini.
 
Acha uongo wako, ghalama ya kuunganisga umeme kwa 27000 Samia ndio alishusha kutoka laki tatu na 21, wenzio tulishavuta kwa Bei hiyo ya 27000 kwahiyo tuna uhakika na tusemacho bibie
Mkuu hii ni video bungeni 2019 waziri akitangaza bei ya 27000 nchi nzima.

We kweli msukule wa mwendazake, Bei ya 27000 Rais wasasa ndio alishusha, muwe na kumbukumbu wajinga nyie.

Huyo jpm utadhani kawa mungu wenu
Siwezi poteza muda wangu kwa ku argue na mpumbavu.

Kila la Kheri CHAWA wa MAMA KIZIMKAZI.
 
Tuwe makini sana kwenye kuteua wagombea wenza.
 
Bora umemuwekea video mkuu.

Maana anabisha kisa anamchukia hayati.
Ni mpumbavu unamchukiaje mtu ambae hayupo. Mama Samia alipoingia madarakani alichosema ni kusisitiza bei ya 27000 iendelee, japo baadae mwaka huu mwezi wa kwanza aliondoa hiyo bei kwa sababu mbalimbali.
 
Tuongeze tozo kwenye miamala ya kununua umeme, hakuna namna
 
.....and that is his weakness as a political leader, he understands and position himself as a party of TANESCO management team. And he can not do anything cause some of them are his closet friends!

He has to change to be demanding leader. Otherwise Tanesco are going to use billions of taxpayers money without any effective outcomes that can help a normal citizens.
 
Hiyo inainclude mita?

Maana kamwe gharama ya kuvuta umeme haijawahi kufanana vijijini na mijini..

Hata mijini kuna eneo na eneo..

Mimi naweza nikawa nimejenga karibu na nguzo, ambapo kinachohitajika ni mita na nyaya za kuingiza umeme ndani tuu, sasa iweje gharama iwe fixed?
Inaitwa Januari Maths.
 
Hili nalo likatizamwe😂

Kwa jinsi ilivyo mwenza alikuwa anaishi na boss wake kinafiki.
Alikuwa anaishi na mchawi mkubwa.

Kuna mkuu wa mkoa mmoja huko nchini tanzagiza aliwahi kusema katiba yao imulikwe sababu Kuna siku watakuja kupata makamu mchawi atamloga rais aliye madarakani Ili yeye awe rais.
Jambo hili naona limejitokeza huko nchini Tangawizi na Sasa raia wake wanapambana na madhara ya ule uchawi na kamwe hawata pona.
 
Hivi ni kweli enzi za Jiwe watu walikuwa wanavutiwa umeme kwa shilingi madafu 27k? Yani 12 USD. Is it really true maamae?!

Extrovert ( kala ban mods mnamuonea Sana huyu Mwamba)
Mimi ni mmoja wa waliolipa 27,000 na kuingiziwa umeme. Siulipia kitu zaidi ya gharama za bracket na wiring
 
Back
Top Bottom