Waziri Makamba: Iwe Mjini au Kijijini Gharama wanayatumia Tanesco kumuingizia mtu umeme ni Tsh 800,000

Pathetic liar!
Waziri wa Nishati January Makamba amemshukuru Rais Samia kwa kuwapa tsh 500bil kwa ajili ya ukarabati wa Miundombinu ya Umeme, jumla ya Fedha inayohitajika ni zaidi ya tsh trillion 1.

Makamba amesema iwe Mjini au Kijijini Gharama za kuunganisha Umeme wanazotumia Tanesco ni wastani wa tsh 800,000

Source ITV Dakika 45

Mytake Baada ya ufafanuzi wa Tanesco ni wazi Shirika linatumia Gharama kubwa kuwasambazia Umeme Wananchi ikilinganishwa na kile mteja anachochangia.
 
Sasa tunakoelekea pameanza kueleweka.
Samia mitano tena
E119B034-3BE4-4366-AA68-37591C3AB933.jpeg
 
Mbowe , Lissu na Lema wamekubaliana na ongezejo hili la bei? CCM sasa imefika mahali kila kitu lazima hawa watu watoe ushauri
 
Waziri wa Nishati January Makamba amemshukuru Rais Samia kwa kuwapa tsh 500bil kwa ajili ya ukarabati wa Miundombinu ya Umeme, jumla ya Fedha inayohitajika ni zaidi ya tsh trillion 1.

Makamba amesema iwe Mjini au Kijijini Gharama za kuunganisha Umeme wanazotumia Tanesco ni wastani wa tsh 800,000

Source ITV Dakika 45

Mytake Baada ya ufafanuzi wa Tanesco ni wazi Shirika linatumia Gharama kubwa kuwasambazia Umeme Wananchi ikilinganishwa na kile mteja anachochangia.

===
Soma hapa ufafanuzi wa gharama kutoka TANESCO Waziri Makamba: Iwe Mjini au Kijijini Gharama wanayatumia Tanesco kumuingizia mtu umeme ni Tsh 800,000
Ata km gharama ni milioni 2 hiyo ni huduma ya muhimu kwa wananchi naserikali inapaswa kuisambaza kwa wananchi wote.

Haina maana kwa kuwa Tanesco wanatumia laki 8 basi na mwanchi pia atoe laki nane hata km hana uwezo.

huo ni upuuzi nini maan ya kukopa ma trilioni huko nje sasa?
 
Waziri wa Nishati January Makamba amemshukuru Rais Samia kwa kuwapa tsh 500bil kwa ajili ya ukarabati wa Miundombinu ya Umeme, jumla ya Fedha inayohitajika ni zaidi ya tsh trillion 1.

Makamba amesema iwe Mjini au Kijijini Gharama za kuunganisha Umeme wanazotumia Tanesco ni wastani wa tsh 800,000

Source ITV Dakika 45

Mytake Baada ya ufafanuzi wa Tanesco ni wazi Shirika linatumia Gharama kubwa kuwasambazia Umeme Wananchi ikilinganishwa na kile mteja anachochangia.

===
Soma hapa ufafanuzi wa gharama kutoka TANESCO Waziri Makamba: Iwe Mjini au Kijijini Gharama wanayatumia Tanesco kumuingizia mtu umeme ni Tsh 800,000
Inakuwa kwenye maandishi tu so wakiwaambia waamue taneeesiko wenyewe kusema gharama hata bilion moja kwa mtu inawezekana maana wao wanatoa huduma
 
Kupandisha gharama za uneme na mafuta ndiyo legacy aliyoacha Tanesco huyo Makamba wenu
 
Back
Top Bottom