misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,894
- 14,783
Nakubaliana na wewe mkuu.Alikuwa anaishi na mchawi mkubwa.
Kuna mkuu wa mkoa mmoja huko nchini tanzagiza aliwahi kusema katiba yao imulikwe sababu Kuna siku watakuja kupata makamu mchawi atamloga rais aliye madarakani Ili yeye awe rais.
Jambo hili naona limejitokeza huko nchini Tangawizi na Sasa raia wake wanapambana na madhara ya ule uchawi na kamwe hawata pona.
Ila sijui kama hayati alingamua kama mwenza ni NDUMILAKUWILI.