Waziri Makamba kaanza vibaya, nahofia atafeli kama wenzie

Tofauti yake na wengine ni kwamba wengine waliwajibishwa na watu lakini huyu atawjibishwa na Mungu kwa sababu hakuna mtu atamwajibisha maana ni gengemate.
 
Of course Mh. Makamba kakosea kutoa hiyo kauli. TANESCO imeelemewa na miundombinu chakavu. Managers hawana control na hilo. Ni vizuri akae na viongozi wa Tanesco wamuambie changamoto na namna ya kuzitatua.
 
My little experience na watendaji wengi wakubwa ni kwamba they want to deal with what is visible

The whole energy sector needs an end to end review, and in between Tanesco naye aangaliwe

Second layer ya hiyo review ndio iwe fully focused Kwa Tanesco

Bila hivyo, tutaendelea kudumu na siasa tu
 
Wewe mpumbavu nivigumu kukwepa magufuli legacy, maana ili miradi iliyo anzishwa na magufuli ikamilike na maendeleo yapatikane ni lazima MAGUFULU LEGACY ITATUMIKA HATA NA WANAO ICHUKIA
Dah

Umekasirika?
 
Watanzania kila kitu Ni kukosoa.....piga kazi Mh.Makamba. Wenye kumbukumbu tunajua ulipokuwa wizara ya mawasiliano vifurushi vilikuwa bei chee
 
Nchi kama Tanzania usipotisha watu hawaendi, wabongo kwa kiasi kikubwa hatuwezi kufanya kazi bila kuwekwa mtu kati. It's sad kwamba taifa lina human resources tia maji sana.

Ukitaka kufeli fuata principles za kazi hapa bongo, people don't care, utafeli hadi ujishangae!
 
Tatizo la Chaggadema hamjawahi kushindwa uchaguzi.

Chaguzi zote huwa mnashinda nyie isipokuwa huwa mnaibiwa tu kura.

Takataka kabisa
 
Kwa maana nyingine anataka kui micro-manage TANESCO - which is quite ridiculous for a minister!

Nakubaliana na maoni yako.
 
Mambo ya kufukuza watu ni kutafuta tu wa kuwaangushia jumba bovu.
 
Haya mambo ya kuteua ma MD na CEOs kwenye mashirika ya Umma na hata kwenye taasisi na kampuni za chama ni uzwazwa wa kikomunisti ambao hata wao walishautema na haupo na enzi hizo walikua wanajali sifa n sio ili mradi ili miradi ya kujuana.

Watume maombi wafanyiwe usaili wachujwe ndio wakabidhiwe majukumu othwrswie watakua wanapiga marktime tu

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Iron fist ndio mode inayofaa kwa serikali na mashirika yake. Mradi top uwe mwadilifu mwenye kushirikisha kupata maoni pia uwe na ujuzi na maarifa ya kutosha. Ukiwa legelege waswahili hawajui wanapiga kula binafsi uwekezaji wa umma.
 
Hayo mashirika ya yakiendelea kuendeshwa ' kisiasa' msitegemee tija yoyote...kila mtendaji mpaka Rais au sijui waziri ateue... badala ya kuwa na mifumo mizuri ya kuwa na independent competent bodies zitakazowezesha kupata watendaji mahiri kuongoza mashirika hayo na kupunguza majukumu mengi waliyonayo Rais au mawaziri.... kaazi kwelikweli.
 
Hili la kusema MD atoke nje ya nchi sio sahihi.Hivi unakumbuka TANESCO iliwahi kuongozwa na watu kutoka nje wanaitwa "Net grouy solution?"walileta manufaa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…