Waziri Makamba kaanza vibaya, nahofia atafeli kama wenzie

Hii ni wizara tamu sana.....
 
Aliyeweza kuendesha tanesco mpaka ikawa kwenye mrengo wa kupata faida ni Idris Rashid peke yake, maana yule alikuwa na muelekeo wa kibiashara. Mimi niliambiwa hayo na wafanyakazi wenyewe wa tanesco kipindi kile.

Hilo ni kweli asilimia 100..
Ajabu halisemwi kabisa
 
baadhi ya wafanyakazi wa kibongo ni hatari sana kuliko kansa.
hata ningekuwa mimi dawa yao ni kuwafukuza tu, wapo baadhi yao wanajituma lkn baadhi wapo wapo tu kazi yao kupiga majungu na fitina, hao hawafai kuhamisha bali kufukuza kabisa wakalime maharagwe.
naunga mkono kauli ya waziri Makamba.
asikubali kubembeleza mtu, hawataki kubadilika, wanahujumu juhudi za serikali ni bora kuwatupa.
Kwa aina ya wafanyakazi wa kitz hakuna jinsi ya kudili nao zaidi ya kuwafukuza kazi, nje wapo watanzania wengi wanataka kazi.
Umeme ndio uchumi wa nchi, ktk karne hii ni aibu sana kuona umeme unakatika katika ovyo eti kwa sababu tu ya uzembe wa wafanyakazi wachache hilo halikubaliki!!
wananchi wanataka umeme wa Uhakika na wenye nguvu ya kutosha.
 
Nchi hii hakuna jipya, January aliwahi kuwa waziri ,sitegemei jipya lolote.....amewahi kutuhumiwa kuwa anahusika na Kigogo2014 kule twita......naunganisha dots naona saizi ghafla Kigogo2014 kawa pro-gavamenti.....anewei ngoja niishie hapo ila Tanzania hatuhitaji watu wachapakazi ila TAASISI IMARA
 
Makamba kaletwa na kapewa maelekezo maalum na wanachokitaka watawala, msitegemee lolote jipya. Na kama alishindwa kwenye wizara muchekea kama ya muungano hivi nishati ataiweza wapi? Sema yuko pale kwa "mpango" maalum tu na si eti kuwasaidia watumiaji
 
Makamba hana lolote ukifikiria haya,
mosi. Ndo alikuwa mpinga mradi wa bwawa la kufua umeme la mwal Nyerere na leo kapewa idara yenye huo mradi.
pili. Yeye atakuwa kawekwa lengo likiwa kuchota pesa ama kuua ule mradi wa Nyerere
 
Usishangae hata vijiji vilivyobaki kuwekewa umeme vikamshinda huyu jamaa!
Kwanini ashindwe? Wakandarasi wapo na hela zipo kunashindikana nini? Shida ni watu kimpenda jamaa sababu alijisahau na kufunga watu bila sababu
 
Makamba hana lolote ukifikiria haya,
mosi. Ndo alikuwa mpinga mradi wa bwawa la kufua umeme la mwal Nyerere na leo kapewa idara yenye huo mradi.
pili. Yeye atakuwa kawekwa lengo likiwa kuchota pesa ama kuua ule mradi wa Nyerere
Ila kama wana lengo la kuua ule mradi watakuwa hawafai kabisa, maana ni wapi tutakuja pata umeme mwingi na wa uhakika, ila naamini hata wakifanya hivyo, Mungu atatuletea mwingine wa kufanya kama JPM
 
Makamba hana lolote ukifikiria haya,
mosi. Ndo alikuwa mpinga mradi wa bwawa la kufua umeme la mwal Nyerere na leo kapewa idara yenye huo mradi.
pili. Yeye atakuwa kawekwa lengo likiwa kuchota pesa ama kuua ule mradi wa Nyerere
Ila kama wana lengo la kuua ule mradi watakuwa hawafai kabisa, maana ni wapi tutakuja pata umeme mwingi na wa uhakika, ila naamini hata wakifanya hivyo, Mungu atatuletea mwingine wa kufanya kama JP
Kwanini ashindwe? Wakandarasi wapo na hela zipo kunashindikana nini? Shida ni watu kimpenda jamaa sababu alijisahau na kufunga watu bila sababu
Ni nani alifunga watu bila sababu?
 
Ila kama wana lengo la kuua ule mradi watakuwa hawafai kabisa, maana ni wapi tutakuja pata umeme mwingi na wa uhakika, ila naamini hata wakifanya hivyo, Mungu atatuletea mwingine wa kufanya kama JP

Ni nani alifunga watu bila sababu?
Aliyetoka alikuwa anaona sifa kuvuruga watu tena kwa kuwaonea
 
Awafukuze tu tuone kama umeme utaacha katika...
 
Hakika mkuu umenena
Moja ya kauli zake "CCM hawezi ondoka kwa njia ya makalatasi" afu utashangaa watu wanakuja kumwagia sifa kibao. Huyu jamaa hafai hata kupewa uwenyekiti wa kitongoji. Upigaji utarudi kama enzi za JK , maneno haya yawe kama akiba uko tuendako
 
Its too early to judge someone in this short a time. Tunahitaji Waziri aneweza kufikiri strategically not operational wise. Waziri Makamba please think trategically isiingie kwenye kuayaendesha mashirika yaliyo chini yako utapoteza mwelekeo kama aliyekutangulia. Nashindwa kuelewa mwelekeo wa viongozi wa leo kazi yao kubwa ni kukagua miradi badala ya kufikiri solution zitakazopeleka nchi mbele. Fukuza huyu fukuza yule kumbe tatizo ni mwajiri mwenyewe hii sio njia sahihi ya kuongoza nchi. Ministers should think big not operational. Wamefunga nguzo mkataba ilikuwaje ooh Mkandarasi ametender high nakadhalika. Waziri mwenyewe mwalimu anahoji tender ya kiufundi mtu anafukuzwa. Hii ni ujima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…